VIFUNGO NUSKI ZA KUJITIA MWENYEWE BILA KUJUA ALAF UKATAFUTA MCHAWI EPUKA MAMBO HAYA



SIKU kadhaa zilizipita niliwahi kuongelea kuhusiana na madhara yampasayo mtu ambaye haogi janaba hedhi na nifasi. Niliorodhesha madhara yake na pia nikaweka muongozo jinsi ya kuoga na kujitwayarisha. Darasa zangu huwa hazimuachi mtu njia panda ukisoma unapata ufahamu na ufumbuzi moja kwa moja darasa hiI zinaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ.


Mbali na makala hiyo pia niliweka makala ya kwanini unakoshwa unashughulikiwa lakini mambo kwakao hayakai sawa unakoshwa hata mara kumi lakini hakuana afuen jaribu kuitafuta hiyo makala usome utaongeza kitu kwenye ubongo wako lakini pia utapata point ya kuanzia kwenye kutafuta suluhu ya jambo lako. Kwa ufup madawa ya kuoga ni mengi sana siku hz kila mtu anatoa dawa sijui oga iki changanya na hiki kwanza uganga ni karama na kipaji kutoka kwa allah kitu kinachofanya kazi ni kile atakachokupa mwenyewe huyu mtaalam.

Pili nuski ina vyanzo vyake sasa chakutibua ni chanzo na si kukosha mwili kwanza tibia chanzo ndo ushughulike na mwili. Leo nitaongelea mambo ya kawaida ambayo mmeyazoea kuyafanya lakini unajipa nuksi mwenywe alaf baadae unatafuta mchawi ni nani mmbo yangu hayaend. Kwenye makala ya kwanza nilifafanua  nadhiri laana ya wazazi au ndugu na mambo mengine leo nitakupa mambo mengine unayoyafanya kila siku lakini ni uadui kwako na unajitengenezea nuksi.

Kufanya mapenzi chooni au baharini, sehemu hizi si nzuri kwa sababu zinamilikiwa na majini na nyumba za viumbe visivyoonekana. Ikitokea ukafanya mapenzi sehem hizo wao huvuta picha kuwa unaleta dharau kwao ni sawa na mtu atoke huko na mgomvi wake kisha ajae apiganie ukumbini kwako, unaweza kuwafanya vyovyote utakavyo. Hapa pia najumusiha madhara ya zinaa.

Pale unapokuwa unapokua unashiriki tendo na MTU ambaye si halali yako ikiwa  mtu huyo alirogwa au ana vifungo mwilini mwake  au ana jini mahaba ,haviwezi kukuacha salama ni lazima vikupate tu. Na ukirejea kwa nyumban unamletea mwenzio ile nuksi kwa watembeaji kwa waganga ukisikia unaambiwa badilisha kizingiti chako maana yake ndo hii.

Vitu vyote vinavyohusika na chooni huwa ni miliki ya majini hawa majini wabaya ikiwa pamoja na ndoo za chooni na makopo sabuni hivi vtu kama utaviacha choon kutwa nzima alaf usiku ndo ulale navyo ndani kwako ndani ya wiki ww utakuwa ukisikilizia ahad utatembea na bahasha sana kuomba kazi lakini chanzo ni wewe mwenywe kuchukua milki za watu kuweka ndani kwako.

Jambo jengine kuchukua vitu kwenye milki isyo ya kawaida. Nimeongelea chooni na baharini lakini hawa viumbe wana sehem zao ambapo watu huenda kufanya maagano nao kwa mahitaji yao maalumu sehem hizo ni njia, panda makaburini, maeneo ya miti mikubwa kama mizimu nk. Sasa ukikuta kitu chochote kimewekwa au kutupwa katika hizo sehem kiache kama kilivyo vinginenvyo utakuwa unautafuta ubaya ambao haujakusudiwa.

Ikiwa utakuta fedha sehem hizo iwe noti au coins usiokote hilo ni kafara maagano tayar yashafanyika, ikiwautakuta hirizi au tarasimu pia achana nayo usikanyage wala usiguse ikiwa kwa bahat mbaya landa umeiokota fika kwa wataalam muonyeshe aitizme ikiwa kuna athar unaweza kuipata akuepushe nayo haraka wapo waliopooza miili kuvimba miguu lakini uchawi hawakukusudiwa wao ila wameingia sizo. Ikiwa utakuta nyungu au vyungu usiviruke pinda kando kabisa.

Kuna watu wanafanya mapenzi juu ya makaburi, wanakojoa au kujisaidia haja kubwa chini ya miti mikubwa ambayo ni makazi ya hawa mabwana wasioonekana. Wanaweza kukuvaa ndo ukasikia kakubwa na jini kwenye mti mkubwa au wakakupa nuksi kila unachofanya hakiwi ndo utasikia una nuksi ya jini. Hata ukijisaidia kwenye maji ambayo watu wanakunywa kwa makusud mungu hukulaan pia unapata nuksi kubwa tu haitoki mpaka visomo tena sio siku moja na utoe sadaka.

Uispende kuacha vyakula wazi usiku halaf asubuhi una mpango wa kukila tena si vizur kiusalama kula vyakula vinavyolala wazi usiku kucha ,sababu wachawi wanakawaida wanapoingia katika nyumba ya mtu na kumaliza kufanya yao wanatia sumu za kichawi katika vyakula vinavyolala wazi.

Kila nuksi au kila tatzo lina ufumbuzi wake kwa mfano maelezo niliyoyatoa hapo jinsi yalivyokuwa na uzito jinsi mwenyewe ulivyoitafuta alaf mtu anakuambia kaoge mpendwapendwa lazima uanze kutegua jambo moja baada ya jengine kama nuski ilivyoingia, kama ilikuwa baharn bas upate maji ya bahar ya kutoka na kuingia na vtu vyake vya kutegulia hilo jini likuache. Huo ni mfano tu.

Mambo muhimu yakuzingatia usipige mswaki kwa mkaa, usiokote shanga cheni hirizi wala kitu chochote usichokifahamu na kukitumia. Ukimaliza kufanya mapenzi jitwayarishe hata kama ni gest. Usichukue mke wala mume wa mtu kile kias au raha unayoipta umedhulumu haki ya mwenzio mungu huanza kukunyoosha hapahapa ikiwa hujaleta toba. 

swali uliza hapo chini

Una tatzo la kazi hedhi, biashara, mapenzi nuksi, kesi, nguvu za kiume kukuza dhakar, uzazi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI