SIRI NA MATUMIZI YA CHUMVI YA MAWE YA BAHARINI SEHEMU YA TATU


HERI ya siku mpya mpenzi mfuatiliaji wa dondoo za afya na jinsi ya kujitibu kupitia dawa za asili na kisunna. Hii ni makala ya pili ya muendelezo wa faida zipatikanazo kwa kutumia chumvi ya mawe. Km ulipitwa pitia ukurasa wangu.


Niliongelea faida mbili mapenzi na kukidhi haja leo nitaendelea na faida nyingine. Kwa ujumla chumvi ina faida nyingi sana hasa kwenye ulimwengu wa tiba kama nlvyogusa kwenye makala iliyopita halipigwi kafara bila chumvi ya mawe haisomwi albadiri bila hii kitu.

MATUMIZI KATIKA ENEO LA BIASHARA

Watakiwa upate maji ya kisima cha wazi lita tano chumvi kilo moja utaroweka kwa masaa saba kisha utayatumia hayo maji kupigia deki eneo la biashara hii inaendana na yale ya bahar kama nilivyoeleza kweny ile makala ya mvuto wa biashara.

Pili utatfuta muita mfunguo muharaka mripu mvuma nyuki na unga wa majani ya mkomamanga utachoma eneo la biashara kwa manuizi.

Hivyo vtu vnapatikana maduka ya dawa za asili popote ulipo mkoma manga unaptikana majumbani.

 MATUMIZ DHIDI WA WAENDA USIKU

Chukua kiasi kidogo cha chumvi nyunyizia kuzunguka chumba au hata nyumba yako, fanya hivyo huku ukinuia ama kunuizia yale utakayo. Usifanye kwa kujaribu Fanya ukiamini na kumaanisha.

Au weka chini ya kitanda na kombe la pwani, njia hii kama huna kinga nzur ya mwili unatafuta vita maana utajikinga utakapokuwa kitandani au chumban tu ukitoka kwenda kukojoa unao, ukienda kutembea mchana upo kwenye rada zao na vita yake si ya kitoto

   KWA KUSAFISHA MWILI

Tafuta Kindu 7 zile zinazotumika kusukia mikeka, unga wa muosha fedha original, nazi iliyodondoka yenyewe inaitwa nazi ya mdindo, yai la kuku wa kienyeji lisilolaliwa. Upate na majani ya mbaaz makavu yaliyoangaka yenyewe twanga upate unga, unga wa Mwembe jini. Na fedha za coins sarafu idadi ziwe kati ya kumi na nne na 21 usiweke sarafu za kufanana zote yaan uchanganye shikingi hamsini mia, mia, mbili, mia tano shilingi kumi shilingi ishirini nk.

Chukua kindu saba usiku wakati unataka kulala kisha uzifunge fundo moja moja kisha unasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni unalala na ikifika asubuhi unazitia ndani ya maji kwenyendoo ya kuogea weka na nlvyovtaja hapo juu.

Oga hivyo vyote vikiwa ndani ya hiyo ndoo ya maji kisha unaanza kufungua kindu kwa kusema,

"alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua" Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi, Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui alie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja. Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.

Ukimaliza kuvunja zoa katupe jalalan, zile fedha tafuta watoto wadogo wasiokuwa wanao yaan wasiohusiana na wewe wape wakatumie

Hakikisha nazi inqvunjikq kifunuka vipande vyote ikijifunika tatizo lako n kubwa tafuta usaidiz wa kitaalam kuangalia hasa nini kimeleta nuksi na ukishughulikie

Kwa kumuita mpenzi au kumrudisha aliyekuacha

Tafuta chumvi ya mawe, mvuti, muita, mripu na mafuta ya mjahiduru somo hili nitalieleza kwenye group la whatsap. Km huna whatsap na unalihitaji pitia group la dawa za kisuna na tiba asili fb

MAMBO MUHIMU CHUMVI YA MAWE YA BAHARI INAPATIKANA MADUKA YA DAWQ ZA ASILI PAMOJA NA VTU VINGINE NILIVYOVITAJA. KAMA UNATAKA MAKALA YA KWANZA NA PILI INAYOHUSIANA NA CHUMVI ANGALIA POST ZILIZOPITA NILIZUNGUMZIA

Una tatizo lolote la mapenzi, ndoa, uzazi, kesi, biashara nyota nk 0621442936

kwa wahtaji wa group ni la kulipia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI