NDOTO ZA KUWAONA, KUPIGANA KULA NYAMA YA PAKA MAANA NA HATUA ZA KUCHUKUA



LEO tunazungumziw ndoto zinazohusiana na mnyama Paka. Tumezoea kuwaona Paka majumbani mwetu kwan ni mnayama afugwae hasa kwa watu wa imani ya dini fulani ambao wanaishi ukanda wa Pwani kufuga mnyama huyu kwao ni moja ya ufahar wao. Pia utandawazi umekuja kufumbua macho watu kwan siku hizi kumekuwa na wafugaji wengi wa paka wengine hata wasijue maana ya kufuga mnyama huyo humtumia kama Pambo la nyumba tu.


Paka hutumika kukimbiza Panya nyumba yenye paka panya hawakai, kuna nadharia kuwa paka hutumiwa na wachawi ina ukweli japo sio wote wachawi wanauwezo kujibadilisha kwenye umbile la paka pale wanapotaka kufanya mambo yao mchana, na si paka tu umbile lolote wanalotaka hujigeuza kwa msaada wa jini wao wanayemtumia.

Leo tuangalie tafsiri za paka, ukimuona paka ndotoni ni ishara ya Mwizi, Ugonjw, Unyonge na wakati mwingine pia huwa Faraja inategemea n mazingira ya muotaji na aina ya ndoto uliyoita siku hiyo.

 Ikiwa umeotaPaka ameingia ndani ya nyumba jua humo yumo mwizi. Kwenye nyumba yako kuna mwizi ameingia pia ni ishara ya kufichwa vitu na mwenzio unayoish nae iwe mume mke au watoto kuna vtu vya siri vinafanyika.

Ikiwa umeota paka alieingia ndani ya nyumba akatoka na kitu basi inaashiria mwizi ameingia ndani tayari ameiba au kuna tukio la wizi litafanyika siku za usoni kwenye himaya yako.

Ukiota unagombana na paka jua utaugua sana kwa muda mrefu kisha baadae utapona.Pia ni ishara ya uadui na watu wanaomiliki usiku bimaana wanga ikiwa unaota sana unapigana na paka basi utakuja kuumwa sana maradhi ya sihiri na ukichelewa kujitibia yanaweza yakakuua. Ikiwa idadi ya Paka unaogombana nao ni kubwa ndio ishara ya uadui na madhara ya uchawi yalivyo kwenye uhalisia wa maisha yako.

 Kuota unaua paka, inaashiria kwamba unagundua mwizi na kumshtaki kwa hatia; tarajia pia kupoteza uhuru wako mwenyewe kupitia rafiki fulani aliyejifanya mwema kumbe anakudanganya. Pia inaashiria kumshinda adui anayetumia uchawi.

Ukiota unakula nyama ya paka hii ni ishara ya kuingizwa kwenye chama cha wanga, pia ishara ya kulishwa sihiri ukiota ndoto hii asubuhi lazima tumbo likuume na lazima utapata kichefuchefu sihiri hii hukaa mwili huua viungo vya mwili na kupoozesha unaweza ukapararaiz, au mwili ukadhoofu ukipimwa hakuna ugonjwa.

Ukimuona paka amekufa ndotoni inaashiria mgogoro au mapambano utakuwa na hali mbaya kimazungumzo na watu, japo utakuwa na watu wanaoweza kukusaidia lakini mwenyewe utakuwa na hali ya kujitenga nao.

Kuota unalisha paka unawapa paka chakula au msaada wowote, kuna tafsiri mbili kama una jambo unalitaka kulifanya inakupasa lazima utoe kitu mfano una kesi au unaomba kazi au umeposa au jambo lolote kisha ukaota unalisha paka yakupasa utoe kitu ili mambo yako yanyooke, tasfiri nyengine utakuja kuwasaidia watu ambao walikuwa na ubaya na wewe.

Ukiota unakula na paka sehem moja au sahani moja utapata taarifa za maadui zako na utakuwa nao karibu, pia ishara ya kuwa mtu wa aibu na kufanya mambo yako kwa kifichaficha, ikiwa unaota mara kwa mara unakula na paka si ndoto nzur ni ishara ya uchawi maana wachawi ndio wanaweza kujibadili na kuwa umbo la paka.

Ukiota paka ana mimba ni ishara ya kuzaliwa kwa mawazo mapya, mipangilio, ambayo inaonekana ambayo itaimarisha ustawi wako. Unapoota mara kwa mara ndoto hii, inamaanisha kwamba katika maisha yako kuna fursa nyingi za kujiona kama mtu mwenye vipaji na mwenye ujuzi.

Kuwaona paka wa rangi nyeusi ishara ya uadui na uchawi unaokuzunguka, paka weupe wawe wadogo au wakubwa ishra ya furaha katika mahusiano ya familia. Pia, ndoto hii inalenga uboreshaji katika maisha ya kila siku, mabadiliko ya makazi kwa moja zaidi ya urahisi na yenye starehe. Paka wa kijivu ndotoni  ina maana kwamba muotaji hafurahi na maisha yake, hakuna chochote anachokifanya kinachopendeza.

Ikiwa utaota paka wekundu ni ishara ya matumaini ya kweli kama una jambo pahala baada ya ndoto hii kila kitu kitakuwq sawa kama ulivyopanga.

Paka anatabia ya aibu na busara hata kama ni paka mwizi, Paka anapoiba kitu hutafuta pahala pakujificha ili asionekane. Paka unapompa chakula hula hadharan ataka yule ampae amuone vile alavyo pia hutoa saut kama zakunung'unika ile ni ishara ya furaha kwake. Paka akitaka kwenda haja hutafuta pahala pastara ndo hufanya haja zake.

Kama unafuga paka akakuzoea kabisa ikiwa unatoka safar paka anaweza kukupa habar zote za nyumbani kama kuna mgen alikuja wa jinsia gani kama mume au mke mchepukaji atakuambia kuna ishara huzionyesha kwako kama si mjuzi hiwez fahamu angalia na chungiza Mamwinyi wengi wa Pwani, Tanga, Pangani, Bagamoyo, Unguja, Pemba nyumba zao haizkosi paka.

Hatua za kuchukua fuatilia kila ndoto unayoiota nanuwe makini katika matukio yako ya kila siku
Maswali kuhusu ndoto yaulizwe hapa inbox utalipia gharama za kutafsiri.

Una tatzo lolote la afya, uzazi, nguvu za kiume, kukuza dhakar, biashara, mapenzi, kazi kesi nk kwq dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la kulpia kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI