VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA ILI KULETA MVUTO WA WATEJA NA KUJIKINGA NA WEZ




JUMA lililopota nilizungumzia kuhusiana na nyota za uzawa na uchambuzi wake. Nilichambua kuhusiana siku, rangi, pete za bahati. Pia nikakugusia biahsra au kazi na vipaji vya kila nyota husika halikadahalika nikazungumzia rangi kwa ajili ya biahsra na mafusho yake na muda wakuyachoma kama umepitwa zitafute kwenye post zilizopita.


Makala hii ni ya pili ambayo naitoa kuhusiana na masuala ya mvuto wa biashara. Leo nitagawa mafungu mawili ya biashara zile za kutembeza  na zile za kwenye frem, jitahidi kusoma kwa umakini zaidi na kufuata kile nitakachokiandika.

Zakutembeza nazijumlisha na na wale wanaofanya biashara kwenye mitandao ni sawa tu na wale wanaotembeza. Hawa sasa jinsi kufanya ili biashara yako iwe na mvuto fuata maelezo yafuatayo.

Kwanza wewe mwenyewe uwe na mvuto bimaana usiwe na nuksi mikosi wala hasadi hapa inakupasa utumie dawa za mvuto kulingana na nyota yako ili kukupa mvuto zaid hapa ndio utafahamu kulpitia zile darasa za nyota nilizungumzia mafusho. Pili unatakiwa uwe na pete ya bahati ya nyota yako pia upate dawa za mwili bimaana kuchanja mpaka ulimi ili unapoongea na mtu avutiwe na kile unachokiongea na iwe rahisi kwake kutoa maamuzi.

Ukifanya hivyo utawachoka wateja sasa njia fupi yakukusaidia kwa haraka lakini c yakudumu koga maji ya bahari walau hata mara mbl kwa mwezi hakikisha iwe alhamisi saa sita uck au jmos saa nane wakati ukitoka choma udi au paka mafuta ya mvuto kulinganana na nyota yako.

Wale wenye biashara za frem pia halikadhalika watakiwa kuisafisha frem yako na kuweka dawa za kuita wateja pia na mwenyewe kujiweka mvuto kama nlvyoeleza hapo juu. Washa udi kila ufunguapo duka lako niliwah kueleza nguvu za udi na mshumaa kwenye group sasa utatumia udi pale unapofungua.

Penda kupigia deki au mwaga  maji ya bahari walau mara mbili kwa mwez. Hii inapunguza ule uchawi ambao utafanywa wakati wewe umefunga duka lako ikiwa bado hujaliwekea kinga ya kubwa ya kudumu kwa wwchawi na waiba pesa kwa viini macho.

Epuka kuweka vitu vya kiza dukani epuka kujipamba mapambo ambayo hayaendani na nyota yako  nlishafafanua wiki hii kila nyota na rangi zake na mapambo nenda kasome 

Waweza tumia pilipili manga wengi huita pilipili mtama twanga upate unga wake mwaga sehemu yako ya biashara usiku wakati unafunga siku ya pili fagia huo unga na taka za dukani kwako kisha chimbia kishimo mbele ya duka lako fukia

Nzuri kama utamwaga alahamisi na utafagia ijumaa saa 12 kabla mchomozo wa jua
Watu wakishuka msikitini choma mwita mchekea, muita watu, mvumo na uchanganye na mafusho ya nyota yako.

Hizi ni rasha rasharasha kikubwa ni hicho nilichokufungua hapo juu tengeneza biashara yako. Si kila mtu anapenda ukiopata faida si kila mtu apenda wewe uendelee kuna husda kuna wachawi na hata kifanyiziana na wafanya biashara ulionao eneo moja.

Kama ni kwanza unaanza biashara basi fungua kwa dua na wape watoto sadaka
Mungu atakufungulia milango ya ridhk

Kwann nmezungumzia nyota, fahamu kuwa nyota ndo ufunguo wa kila kitu katika maisha yako ndiyo inayokuonesha mafanikio yako utayapata wapi katika mapenzi biashara. Wengi wanateseka katika ndoa kutokana na kutoangalia hv vtu kabla unaweza ukaoa ukafululiza kuumwa mitihan ya kufilisika jua kuna pahala hujaangalia vzur. Unaweza ukafanya biashara na mtu ambae nyota haziendan pia ni mtihan ikiwa hujazizetengeneza ili ziwape faida.

MAMBO MUHIMU KUHUSU NYOTA MAKALA ZAKE ZIPO SOMA POST ZILIZOPITA, UKIHITAJI UCHAMBUZI BINAFS UTACHANGIA GHARAMA.

Una tatizo lolote la kazi, biashara, mahusiano, ndoa, nguvu za kiume, uzazi, chango, kukuza dhakar niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la malpo kwa wahtaj


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI