NDOTO ZINAZOASHIRIA KUWA UNA MAJINI WAZURI, WABAYA WAKICHAWI NA HATUA ZA KUCHUKUA


UHALI gani mpenzi mfuatiliaji wa darasa zangu zinazohusiana na nyota, ndoto uchambuzi wa miti na mambo mengine ya kidunia. Leo nakultea tafsir ya ndoto zinazoashiria una majini yawe wema au wabaya  utajuaje katika ndoto na baadhi ya dalili zake anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.


Kwanza kuna ukoo una isimu ya majini ya uganga. Namaanisha kuna familia wana historia ya kuwa waganga kuna watu walipita kabla yako aidha uliwaona au uligadithiwa walikuwa waganga. Pia kuna isimu za koo nyenginr ni Uchawi na wengine wana isimu za usharifu sasa kila mmoja ana dalili zake katika ndoto. Lakini pia kuna majini ambayo yanatumwa kuja kusulubu watu aidha ulihombana na mtu au unaringa sana.

Ukiota umeingiwa na kitu mwilini aidha nyoka simba au mnyama yoyote au upepo unekuvaa mwilini. Au unaweza ukaona kabisa umekaa pahala au unatembea ghafla kitu kikakuvaa kisha maumivu yakaanza mwilini. Mwili kukosa nguvu vitu kutembea kujihisi kichefuchefu unaweza pima hospital usiwe na tatzo lolote. Kupungukiwa na damu, kivhwa kugonga sana hiyo ni dalili ya kukumbwa na jini na ameingia mwilini tayar ananhong'onyesha viungo taratibu. 

Ikiwa jini huyo ni wakutumwa na lengo lake kuua basi mgonjwa atazidi hali kuwa mbaya na atakufa ikiwa hamtamshughulikia mapema. Ikiwa ametumwa kuja kunyong'onyesha mwili ndio utaona upende fulan wa mwili unauma vitu vinatembe kila ukichua hakuna kitu. Moja ya madhara yake unaweza ukapata stroke ikiwa hutajitibia mapema na hii wale wanaopenda kuchukua wake za watu utatumiwa kiumbe tu kwanza kinabaka kisha kinanyong'onyesha mwilin  kidogo kidogo.

Katika hili kuna majini wanaotumika kutumwa kwako ikiwa aliyetumwa ni subiani yeye huja kwa lengo moja kuuua. Akishindwa ndo hukupa stroke ili akunalize kidokidogo. Akiingia hukaa kwenye moyo na mishipa ya damu. Ikiwa umeota hizo ndoto nilizotaja au kuona dalili alaf asubh ukaona moyo au mishipa inahitilaf jua mzee kashaingia.

Ikiwa ndoto zako ni za kuzungukwa na watu kama wanahtaj msaada toka kwako kisha ukaota umepandisha shetan au unawafafnulia watu shida zao. Pia kuota wale watu waukoo wako ambao walikuwa ni wataalam ila wametangulia mbele za haki wkuna vtu wanakuelekeza vya kitiba ili usaidie mtu fulan hiyo ni dalili kuwa utakuja kuwa muaguzi siku za usoni na huwez kuepuke hilo. Ikiwa unaota umevaa kilemba cha kijan na mavazi meupe utatibu kwa kutumia vitabu na sheria za mungu. Ikiwa unaota umevaa kaniki ushanga manyonya na kadhalika uganga wako utakuwa wa asili ule wa vinyamkera.

Ukiota upo msibani sana unaona maiti, unashika maiti au wewe mwenyewe unakuwa maiti na ndoto zikajirudia ishara ya kutupiwa jini maiti huyu hana heri na hata mkienda misibani watu wakianza kupandisha basi utaanguka na kunyooka kama maiti vile. Jini huyu hukaa kichwani na hana maumivu yoyote utakayiyasikia yeye akipanda mtu hunyooka tu kama maiti wala haongei, madhara yake ni kuharibu mipango yako kukifanya muda wote kichwa chako hakitulii watu waliotupiwa jini huyu hata ukimpa mipango ya maendeleo atakuambia subiri subiri nyingi.

Ikiwa yuwaota una fanya mapenzi mara kwa mara, unazaa, unanyonyesha, unaolewa, unacheza na nyoka, upo baharini na mtu mzur, una mali. Wakati mwingine una watoto zaid wawili lakini huwaona usiku ukilala kuna mwanaume au mwanamke mnaingiliana kimwili hutaman tena binaadam wenzio kama upo kwenye ndoa migogoro. Ikifikia wqkat wa hedhi maumivu makali, hushiki mimba, ukishika zinatoka maumivu makali wakat wa mimba hasa chini ya kitovu kunakaza. Kukosa nguvu za kiume hata ukinywa madawa wapi.

Hizo ni ndoto na dalili za jini mahaba na huyu ukija kuota umeolewa na umetambulishwa ukwenu. Basi wewe hutaoa na hata kama umeoa au kuolewa kawaida hiyo ndoa haitadumu. Pia kuna watu wakioa au kuolewa waume au wake hufa. Au ikikaribia harusi mchumba anagoma au anakufa hilo jini linakuwa limeshakomaa. 

Sasa anaweza akakupa baraka za pesa lakini matumizi hazina au anaweza akakupa nuksi usioate pesa ili usiwe na wazo la kuanzisha mahusiano na mwanadamu maana sikuhizi mapenz pesa. Dawa yake huyu ni kutolewa ili maisha yako yakae sawa, kutolewa kwake yategemea na ukongwe wake mwilini fika kwa wataalam karbu wakuangalie ikiwa una ndoto na daliki hizo.

Kuna ndoto zinaashiria majini wema ambao wapo kichwan kwako kwa kukusaidia lakini hawapandi na hawatapanda. Moja ya dalili hiyo kuota kitu kikatokea kweli au kuwaza kitu alaf kikakua ukiwa mtu wa namna hii usimuhadisie kila mtu wanaweza wakakufunga ili wapate kukuchezea maana watajua wakikufanya kitu utapata habar. Haya kama umeoa jitahd kuwa na siri maana kuna wanando wanaabudu sana ushirikina sasa akigundua unajua kinachokutokea wanakupiga pini.

 Dalili nyengine unaweza ukawa unapigwa au unaonewa usingizin akaja mti mwenye nguvu akakusaidia akapiga watu wote, anaweza akaja na umbo la uref zaid au unene kupitiliza jua unae jini anayekusaidia ila hapandi. Pia unaweza ukapishana na mtu mwili ukasisimka ghafla au nywele kucheza au kughaili safar kisha ikatokea maafa zote ni dalili zake kikubwa ni siri iwe yako maana huhu jini hana nguvu kubwa ila anakupa habar tu.

Kuna majini ya kichawi watu wanakupa ili wakae mwilini mwako, moja ya dalili zake ni kuwa na chale usijue zimetoka wapi. Akipandisha hana anachongea husema tu chochocho chichixh yaan hakuna vtu maalumu. Hawa wanawapata sana wanawake dalili zao hata akienda msiban kumuangalia mgonjwa hali mbaya akianza kuoandisha mmoja basi wote wanapandisha na hawana wanachozungumza, wakilala hujiona wanapaa hujiona wakubwa ndoto za kucheza na ng'ombe nk.

Madhara ya majini wabaya hula mimba maana wanakula damu. Hukufanya uumwe na kuuchosha mwili. Huoi wala kuolewa, huzai wengine huzaa ila watoto wanakufa. Mtabibu Asili tz Wanaua wake na waume au kuwapa mikosi ili ndoa ivunjike Kwa wale majini wazur ndo ukikataa kile wanachotaka ndio wanaanza kukutesa mwili kufunga mambo yako nk.

KIKUBWA ANGALIA DALILI NA NDOTO ZAKO KISHA CHUKUA HATUA KILW TATIZO AU JINI ANA UTATUZI WAKE HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWA MWENYEZI MUNGU IKIWA AHADI YAKO BADO NA KWELI HUJAMKOSEA MTU. MASWALI KUHUSU NDOTO ULIZA HAPA CHINI INBOX UTACHANGIA

una tatzo lolote la kazi, biashara, kesi, mapenzi, nyota, kesi, nguvu za kiume, kukuza dhakar nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malipo.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI