MITEGO YA KICHAWI JINSI UNAVYOWEZA KUNASWA, KUKUDHURU NA KUIEPUKA.


 JANA niliongelea kuhusiana na uchawi nikagusia pia unavyoweza kutegwa na jinsi gani unavyoweza kujikinga kwa njia nyepesi. Ila sikushaur suala la kuwaona wachawi japo wengi walinuliza tunawezaje kuwaona wachawi jibu langu bado lipo palepale suala la kuwaona hiwa sishaur ikiwa huna kinga.


 Usije ukadanganywa na mtu pasipo kukupa kitu cha kukinga mwili wako. Hili darasa ni refu sana kuna mambo mengi mno yanayofanyika ambayo kwa macho yakawaida huwez kuyaona. Leo nitaongelea mtego mmoja wa kichawi ambao unahusiana na nyoka tafadhari soma vzur kwa umakini wa hali ya juu.

Kwanza tufahamu uchawi wa kurithi, jana niliongea namna kadhaa za kuweza kuingizwa kwenye chama cha wachawi, naomba nifafanue uchawi wa kurithishwa. Hii kama ukoo wako una histor za kichawi kama Babu, Baba, Bibi, Mama, Shangaz nk alikuwa mchawi basi una tabia ya kurithishana kwa vizazi ili jukumu liendelee kufanyika. Kama unavyoona systeam za Serikali watu wanavyopokezana vijiti ndivyo uchawi pia ulivyo mtu akifa mwengine anachukua nafasi.

Katika familia ya kichawi ambao inatoa kiongozi mkubwa huwa anaandaliwa kijana mwingine ili anapokufa huyo kiongozi yeye kuchukua mikoba, Yaweza ikawa ni mtu anayependwa sana na huyo kiongozi au pia yaweza kuwa akachukiwa sana na huyo kiongozi. Mtoto anapozaliwa ambaye wao wachawi wanamtaka wamuingize kundini huanza kuwekwa alama pale tu anapoanza kunyonya.

Dalili zake hapa mtu aliyekusudiwa huanza kuwa na nguvu za kuogopwa hata akiwa shulen unaweza ukasema kitu mbele ya watoto wenzie na wakamtii. Huwa na ndoto za kutoka usiku ikiwa ni umri mdogo anaweza akawa mtu wa kuhadithia vtu bikubwa wakat mwingine kutoa hata vitisho vya wakubwa.

Sasa tuufahamu mtego wa nyoka na vipi unaweza ukaingia mtegoni na ukajidhuru mwenyewe. Hapa kuna njia tatu za kutegwa, unaweza ukategwa mwenyewe au mtoto, baba, mama, mke, au mtu wako wa karibu. Mtego huu asilimia kubwa hutegewa wanaume wale wenye nguvu sababu wanaenda kutumika kwenye malighafi za kichawi aidha kuwa wafanyakazi au shughuli za uzalishaji.

Kinachofanyika huitwa jini wakichawi akapewa nafsi yako au ya mtu yoyote wa karibu yako hutengenezwa kwenye sura ya nyoka mkubwa. Ikiwa wanataka nafsi yako unaweza ukakaa sehem ghafla ukaona nyoka anakifuata wewe kwa mabavu yako lazima utataka umuue sasa ukimuua ujue umekata nafsi yako haipiti siku saba watu wanazika. 

Pili unaweza ukawa umekaa nyumban au ofisin akaja mwanamke wa jiran yako unayeheshimiana naye akakuomba kuwa kaingiliwa na nyoka ndani kwake na hawez kumuua sasa wanaume tunavyotaka sifa mtu unajitutumua kwenda kuua yule nyoka sheikh umekata nafsi yako siku saba tu kama hujashughulika unaondoka.

Ikiwa wanataka na nafsi ya mtoto wako hutokea nyoka chumba cha watoto wako pigaua lazima utaenda kumuua kuokoa watoto hapa umekata nafsi ya mtoto wako. Ikiwa wanataka nafs ya mkeo hitokea chumbani kwkao na atakayemuona na mkeo ukiua umekata nafsi ya mkeo.

Kama kuna mgonjwa mnauguza mgonjwa na siku akatokea nyoka chumba cha mgonjwa mkimuua yule nyoka yule mgonjwa hachukui saba mbili anaondoka. Sasa ukichukuliwa unaenda wap waweza kukufanya watakavyo wao uwe mfanyakazi wao kama msukule au ufanywe sadaka wakati mwingine hukuchukua kukukomoa tu.

Unaweza mkeo akawa na mimba kisha ukamuona nyoka ukiua hapo mawili unatoa nafs ya mtoto au mama mtu. Anaweza akazaa mtoto akafa na yeye mwenyewe asikae pia akafa.

Jinsi ya kuepuka mitego yao kwanza usipende kuua nyoka hovyo si kila nyoka unayemuona ni nyoka kweli kaa walau dakika tano kumchunguza maana nyoka wakishetan hawez kumudu dakika tano bila kujibadilsha umbo. Pili jikingeni na madawa ya nyoka na hasa dawa za kichawi ili mambo kama hayo yakija yawe mepesi kwako unaua na maisha yanaenda.

Ukiona nyoka kama hao usimuue bila kumtaja Mwenyezi Mungu kwa imani yako unaweza soma ayatu kurusiu na aya saba za surrat yasin kabla ya kumuaa ikiwa ni nyoka wa kijini anapotea mara moja. Kama imani yako ni ya kukemea basi utakemea ila lazima uwe na iman thabiti na uwe karibu na mola wako.

Zipo dawa za kuchanjia kwa ajili ya nyoka wa aina yoyote popote upitapo nyoka hukupitia mbali na hata ikitokea mnaonana uso kwa macho atakukimbia au afe bila kumpiga na chochote. Ni miti maalum fiken kwa wataalam waliopo maeneo yenu hasa waliopo pembezon mwa miji kwenye mapori

Mambo ya kuzingatia si kila nyoka ni wakutumwa muhimu kuangalia mazingira uliyopo kweli anawwza akatokea nyoka wa aina hyo hasa muishio mijini. Pili kuwa makini katika kila ishara au ndoto zako unaweza ukawa unadhuriwa pasina kujua.

Kuna mitego mingi sana unaweza ukaingia kingi bila kujua. Nitayaeleza kwa uref kwenye group pia hapa nitaweka mitego mitatu tu makala zijazo mitego zaid kwenye group.

Una tatzo lolote la afya, uzazi, kazi, biashara, mapenzi, nguvu za kiume, kukuza dhakar kesi kwa dawa niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whstp group ni la kulipia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI