MITEGO YA KICHAWI, FEDHA YAKO INAVYOWEZA KUTEGWA NA KUFILISIKA AU KIFUNGWA BILA KUJIJUA



LEO tunaingia mtego wa pili wanaotumia wachawi katika kudhuru watu na hiiinahusiana na fedha yako yako mwenyewe na utawapa mwenyewe kwa mkono wako. Jana tulizungumzia mitego ya nyoka jinsi unavyoweza kuiingia na namna ya kuepukana nayo kama ilikupita angalia makala ya jana.


Katika kipengele cha kuingia kwenye uchawi leo tutazungumza kuhusiana na kuingizwa na marafiki au jamaa zako wa karibu. Hii ina tofaut kidogo na kurithi kwa sababu kurithi unachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi wa kiti yaan ukiingia na cheo unapewa kila cha mtu wako aliyekurithisha.

 

Kuingizwa inakuwa kama vile unavyojiingiza kwenye makundi na rafiki zako. Mfano ukiwa na marafiki wanaopenda kukopa mikopo nasi kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuingia kwenye mkumbo huo. Hii huanzia kwenye ndoto utakuwa na mfululizo wa ndoto za kuwa upo kwenye sherehe, mnakula vyakula vya kila aina, unakuwa kama mgeni mualikwa kila mtu anataka ukaribu na wewe kwenye hizo ndoto. Ikiwa hizi zinakujia mara kwa mara ni ishara moja wapo ya kuingizwa kwenye chama.

Ndoto zinapokomaa huja na ndoto za kuwaona watu unaojuana nao katika orodha ya marafiki zako. Na ukiamka asubuh ukikutana nao hao uliyowaota wanaleta sura ya fuaraha kwako na kuutaka ukaribu nawewe zaid. Kuna vtu vingi vitafanyika cha mwisho watakufuata na kukuambia kuwa unaonaje usiku ukilala. Mtazungumza mwisho utaingizwa kwenye chama na ukifikia hapo kutoka inakuwa ngumu muhimu chunguza ndoto unazoota na usichukulie poa kabisa.

Tuingie kwenye mtego wa fedha vipi unaweza kukuingiza matatni na kukifanya ukawa fukara au kufilisika kabisa wakati ulikuwa na uwezo mkubwa. Hapa kuna njia mbili moja ni chuma ulete ambapo huwa wanakufanya kwenye kila pesa unayochuma wao wanachukua asilimia kadhaa kiuchawi. Njia nyingine huwa wanakifilisi kabisa na kukutia ufukara.

Chuma ulete ni jini la kichawi ambalo hutumika kwenye wizi wa fedha. Na huyu anaweza kutumwa akakuingia wewe binaadamu na ukaanza shughuli za wizi japokuwa zaman hukuwa na tabia hiyo. Anavyotengenezwa jini huyu ni shughuli kidogo hapa tufahamu jinsi ya kuibiwa fedha kwa chuma ulete. Machawi huchukukua fedha ya noti huitengenezea na kuiweka dawa zao kwa maagano na huyo jini wao.

kisha wanakuja dukani hutumia mkono wa kushoto kukupa hiyo fedha. Kwanza hukuchanganya na maongez pili huja na kitu kingine aidha mtoto au mzgo ambao atakuwa ameubeba mkono wa kulia ili iwe rahisi kutumia mkono wa kushoto kukupa pesa wewe utakapoipokea utaiweka sehem ya kuifadhia fedha zako. Yeye atanunua kotu ambacho utalazimika umpe chenji, sasa ukimpatia chenjo kama duka lako hujalikinga basi unampa na ruhusa kuchukua fedha zingine ambazo utauza siku hiyo na hii mnagawana mauzo yeye huchukua asilimia 30 ya pato la siku.

Njia ya pili ni kuomba fedha hasa za sarafu, watu wengi mkienda vijijin kwenu mnakutana na wale wabibi au wababu wanapenda sana utani. Ukienda utasikia babu nipe hela ya mafuta ya taa sasa ukitoa hela ukampa hiyo sarafu yeye anakwenda kuifanyia mambo yake wewe fedha zako zinaanza kuporomoka kama upo ofisin utapata mitihan utakuwa mtu wa kutoa tu fedha mpaka ziishe. Hapa sio wazre tu hata vijana wapo wenye tabia hz siku hz kuna watu wanaomba mjini wakikuona omba yao kubwa ni mia mbili mia tatu au miatano kuwa makini sana unapotembea

Unawezaje kujikinga na hv vtu kwanza mtu akikuomba hela ya mafuta vijijin ni her ukamnunulia mafuta kuliko kumpa pesa. Mtu akikuomba mia tano akale kamnunulie chakula usimpe pesa. Ikiwa ni sehmu ambayo huwez kupata huduma jitahd umpe pesa ya noti hata ikiwa ni elf kumi.

Kwa wale wenye maduka mtu akija na staili kama hyo niloyoilezea weka pesa hyo sehem tofaut usiiweke sehem yako ya pesa. Pia mrejeshee kwa mkono wa kushoto. Kingeni miili yenu na bishara zenu dhidi ya wachawi.

Kukinga chuma ulete kabla hujagungua bishara yako yatakiwa ufanye visomo vya kinga na uweke kinga ya wachawi na wizi wa vijicho eneo lako la biashara. Ikiwa tayar umeshafungua watakiwa kabla ya kuweka kinga kwanza usafishe na madawa ya kuua uchawi ikiwa kuna jambo lolote lilifanyika ili uharibu kisha ndio uweke dawa za kinga na mvuto wa biashara.

Kuna dawa nyingi za kinga unaweza ukaweka mtu akija na jambo lake ashindwe na ataropoka mwenyewe. Pia zipo mazindiko ya kugandisha hao wez wa vijicho. Kuhusu kudhibiti wez kuadhibu wezi nishazungumzia angalia makala zilizopita.

Unaweza ukaokota mkaa wa barabaran na ndulele ile ya njano ukaweka kwenye sehem yako ya kuwekea fedha inapunguza hzi chuma ulete kwa wale wasiokuwa na uzoef wa kazi hizo. Ila kwa makonkod wanaiba kikubwa ni kinga ya kitaalam zaid au soma makalabza ambari kwenye ukurasa wangu

una tatizo lolote la uzazi, nguvu zakiume, kukuza dhakar, biashara, mapenzi, kesi, kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group n la kulpia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI