KUMREJESHA MPENZI KWA KUTUMIA PICHA YAKE MAJIBU NDANI YA SIKU TATU



NIMEKUWA nikipokea jumbe nyingi kuhusiana na kesi za mapenzi, wengine wakidai kukimbiwa wangine ndoa kuvunjika. Juma lililopita nilitoa darasa kuhusu mnamata kuna watu wameutafuta huo mti na wamwniletea mrejesho mzuri.


Leo nitazungumza kwa ufupi sana juu ya kuachwa ama kuvunjika kwa mahusiano. Kwqnza yaweza ikawa riziki imekwisha hapa ufanye nini unajisumbua hata nikikupatia dawa atakurejea lakini hutaishi kwa uhuru. Pili kuna husda za watu nakumbuka nilishawahi kuliUngumzia hili pekua darasa zilizopita. Tatu kuna nuksi, nne kuna faraqa yaani imepigwa kitu mkatimuana pia kuna limbwata na mambo mengine mengi.

Sasa kila sababu ina mafumbuzi yake sasa kama utataka tu kumrejesha wakati wewe una nuksi atarud lakini hata kuwa sawa. Halikadhalika malimbwata na mahasada vilevile yana usumbufu wake pasina kuyafanyia ufumbuzi. Fika kwa wataalam wakuangalie nini chanzo na vipi utavuka kikwazo

Hapa nawapa baadhi ya vitu vya kurejesha mpenzi ila ifahamike pasina kutibia tatzo atarudi lakini hata kaa sawa

KUMVUTA MPENZI KWA KUTUMIA PICHA

   Kuna njia nyingi za kumvuta mpenzi aliyekukimbia au kuongeza mapenzi kwa uliyopo nae pitia group la dawq za kisunna na tiba asili hapa fb sababu huwa tnatoa hv vtu.

   Leo nitatoa njia mbili fupi mujarabu na rahisi za kuvuta mpenzi

      1. KARAFUU MAUA
tafuta karafuu maua itwange
Kisha changanya na shomari

Utaitumia kwa kuchoma kwa muda wa ck saba kila alfajiri watu wakishuka mciktn
Hakksha unachoma kwa manuizi unayoyataka juu ya huy mtu
Zoez hl lnqpendeza limalizikie ck ya ijumaa.

NB anayefanya zoez hl hatakiwi kuwa nuks anaweza acpate matokeo
Hivi vitu vyote vinapatikana maduka ya dawa asili popote ulipo

       2. KWA KUTUMIA PICHA
Unatakwa uwe na picha ya mkusudiwa
Kitambaa cha hariri cha njano
Ubani mushtaka

Ck ijumaa baada ya mshuko jitwayarshe kaa chumbani kwko
Tandiika mswala au mkeka
kaa chini tandika hicho kitambaa

Weka picha juu ya hcho ktambaa ongea na hyo pcha km unaongea na muhusika
Ongea nae kwa huruma na upole mbembeleze ukimaliza ifunike hy picha kwa kuzungusha hcho ktambaa
Fukza na ubani mushtaka ukiendeoea kunuia

Ukimaliza ihifadh juu ya kabat au sehem yoyote iliyopo juu yenye utulivu utapata matokeo baada ya ck ttu
Zoez hl huleta matokeo zaidi kwa watu wenye nyota ya mizani

+255621442936

Mwnye tatizo la mapenzi, nyota, biashara maradhi nitumie ujumbe inbox maswali uliza hapa chini kuhusu namba zangu niachie ujumbe wa tatzo lako inbox

Comments

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Kwa majina naitwa Petro jakobo fideli mm shida yangu haswa kupata wapenzi nilikua na mpenzi vijana wenzagu tulio nao hapa kazn wakanizunguuka mpaka leo sipo nae so ombi langu niwe na nyota kali ya wanawake

    ReplyDelete
  3. Naomba kueleweshwa inawezekanaje mwambie tumekaa miaka zaidi ya kumi nanane tuko na watt wawili familia tulifuga ndoa bomani bila kuweka mahali, ss leo familia yangu imetuma barua ukweni kwangu yakutaarifu cku ya kupeleka mahali MKE WANGU ANASEMA ATAKI KUOLEWA
    UNAWEZA KUNISAIDIAJE HAPO
    MAANA BADO NAMUITAJI SANA MKE WG.

    ReplyDelete
  4. Habari inawezekanaje mwanamke nimekaa naye zaidi ya miaka kumi nanane tuko na watt wawli kiume juzi kati familia imetuma barua kwao ya kujulisha cku ya kupeleka mahali alafu mke wg anasema kwamba hataki kutolewa mahali na na kujiuliza 7bu nini ataki tu naweza kumfunga je mke wg ,bado nampenda nini nifanye

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI