NDOTO ZA KUSAFIRI NA VYOMBO VYA KUSAFIRIA NA TAFSIRI ZAKE



LEO tutazungumzia ndoto za kusafiri na kupanda vyombo vya usafiri kama gari, baiskeli, pikipiki, ndege na vyombo vyengine. Kama umepitwa na darasa za ndoto zilizopita tembelea ukurasa wangu mtabibu asili tz au jiunge group la whatsap.


Ndoto za safar ni ndoto zenye maana kubwa sana katika maisha yako kwa mtu aliye makini. Unaweza ukaota ndoto moja ikatasfr maisha yako yote mpaka unakufa.

Ukiota umeachwa na gai yaan ulkuwa stend alafa gar ikakuacha tafsiri yake ni ishara ya kukosa kazi au kuna jambo ulilotaka kulifanya basi ujue halitotimia. Ukiota umepanda gari iwe ya abiria au private na ukasafiri salama ni ishara ya ya kupata ulichokusudia na mambo yako yataenda sawiya. 

Ukiota umeachwa na chombo chochota cha usafiri kwa kulala yaan ile mida imefika wewe umelala. Maana yake mafanikio yako yapo karibu ila huchangamki umebetekwa aidha kwa uvivu au kuna watu wanatembelea nyota yako. Ukiota umeachwa na usafiri ila kuna mtu kakuchelewesha aidha ki makusud bimaana muda wa kusafr anakupigisha stori ni ishara ya kuwa kuna mtu anakuchelewesha kwenye mafanikio yako yaweza ikawa mpenzi wako ndugu au jamaa zako.

Ukiota umeshapanda kwenye chombo cha usafri kisha ukashusha ikiwa sababu ni nauli bas ni ishara ya kuwa mbali na mungu. Ikiwa umeshusha kwa chuki na kwenye hilo gar wapo wachamungu viongozi wa dini ni ishara ya kuwa unaupenda na kuabudu sana uchawi na utakuchelewesha kwenye mambo yako.

Ukiota unaendesha gari ama pikipiki ni ishara ya mafanikio kupata ulichokusudia mipango yako kutimia. Ukiota upo safarkwa mguu kisha ukapewa lift ni ishara ya kusiadiwa utapata msaada lakini ni mara moja tu au upo shamba ghafla ukaona gar ni ishara pia kumaliza matatzo yako lakin pia kuna ishara ya msaada. 

Ukiota unaendesha baiskeli ni ishara ya mafanikio yako yapo karibu lakini hakupasa utumie nguvu na uwe mvumilivu sababu baiskeli bila kunyonga kwa nguvu haiend. Ukiota umepandishwa kwenye baiskeli ni ishara ya shughuli unayoifanya au kazi itakucheleweshea mafanikio lakini utayapata ila kwa nguvu na uvumilivu.

Ukiota umepanda ndege ni ishara ya kuwa wewe ni mtu muhimu sana kwenye jamii yako na utakuwa juu kimafanikio. Ukiota upo ngani na usafiri usioeleweka aidha upo kwenye ungo au unasafiria kwa kuelea angani ni ishara ya kuchukulia kichawi kwenye safari zao.

Ukiota unaikimbiza gari ni ishara ya wewe kwamba una njama za kuzulumu siku za uson. Ukiota unakimbizwa na gari kwa speed kubwa na wewe unakimbia ishara ya mafanikio yako kuwa karibu lakini hujishughulish au pia kuna watu watakuwa wanakudhulumu ikiwa ni mchapa kazi.

Ukiota unasafirisha maiti na ukawapeleka sehem yenye mkusanyiko ni ishara ya kuuza kirahs unachouza au kupata kile ulichokusudia. Pia ukiota upo kwenye usafr na mpo na maiti ni ishara ya kuwa katika kazi au bishata zako kuna msaliti humo hayupo pamoja nawe. 

Ukiota upo kwenye chombo chochote cha usafiri kisha ukapata ajali ni ishara ya kupata huzun na mawazo na kuna jambo litatokea kwako. Pia ukiota unawaona nduguzo wamepata ajali kuna huzun itatokea kwenye ukoo au familia yako.  Pia ukiota upo kwenye chombo kibovubovu kikuukui yan chombo ambacho kina mashaka ya kusaifri ni ishara ya kuwa na haliduni katika maisha mambo yako kuzorota

Maswali kuhusi ndoto yaulizwe hapa chini

Una tatzo la nguvu za kiume uzazi bishara kesi kuibiwa kuuza mapenz nk kwa dawa niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la kulpia

Comments

  1. Nimeota naendesha baiskel mwendo mrefu Sana huku nafurahia.pia nilikuwa nimeshikilia vijiti flani katika kuiongoza.baadae nilitelezea kwenye kamlima na chini kulia kwake kulikuwa Kuna nyumba ambayo kulikuwa na ndugu zangu ingawa mi siwajui.niliiacha baiskel kwenye kamlima kale nikateremka kwa mguu kuvuka Barabara niende kwenye ile nyumba,nikamkuta kijana eti ni mtoto wa ndugu yangu akaniomba ela nikampa buku akaikataa eti ni ndogo nikaichukua.kumbe mda wote ule naendesha baiskel nilikuwa nanyeshewa mvua.ivyo nilivyotaka kuondoa katika nyumba ile nikaumbuka nimesa hau masweta yangu na mzula nikarud kuvifuata.mara nafuata baiskel nakumbuka pia Kuna vifimbo nilikuwa naiendeshea nikavifuata pale kwenye kimlima nilipoangukia.baadae nakukuta Sina baiskel naikuta sehemu flani umekuwa kuukuu ingawa sikumbuki Kama baiskel ilikuwa mpya mwanzo.pale nilipoikuta kulikuwa na watu wengi wamemkamata mwizi kaiba baiskel kwahyo mi nilipofika nkachukua ile kuukuu nikaendelea na safari.nikashtuka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ya mtu anayesumbuliwa na mikwamo ama vifungo vinavyosababishwa na uchawi wa watu wa karibu

      Ishara ya mambo kwenda kidogo katika utafutaji pia pia itymie nguvu nyingi

      Delete
    2. Naota nikisafiri kwa ndege nafika kabisa airport lakini huwa siondoka na ndege yenyewe sioni ni ndoto inayo jiridi mara kwa mara

      Delete
  2. Nimeota naendesha baiskeli na mama angu
    Ina maana gani??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Isharq ya kuyatafuta mafanikio kwa kutumia nguvu

      Delete
  3. Nmeota nipo mjini madina mm Na ndugu yangu na Dada yangu wote wa kike tukakuta msikit una majina mawil aishat lililoandikwa kwa lugha ya kiarabu na jina la pili Ahmad limeandikwa kwa kiswahili,sijajua tumetimia usafiri gani lkn ndo nmejikuta tushafika tu tukiwa na furaha,naomba kujua maana yake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Isharmra ya kuwa mtukufu ama kutenda mambo yatakayowanufaisha watu

      Delete
  4. niliota mara mbil nasafir na ndege

    ReplyDelete
  5. Nimeota nilikuwa nasafiri kwa basi la abiria.tulifika mahali tukashuka mimi nikiwa na kijana mmoja niliyehusiana naye kimapenzi miaka kadhaa iliyopita, tulivyoshuka tulikuwa tumeshikana mikono na huyo kijana baada ya mda aliingia mahali kama nyumba hivi, nikaanza kumwita atoke twende maana gari ilikuwa karibu kutoka lakini huyo kijana hakutokea basi mimi nikarudi kwenye basi na kuendelea na safari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ga vifungo ama mitihani katika mahusiano yako ya kimapenzi

      Delete
  6. Nimeota nilikuwa nasafiri nikashuka kwenye Basi(sijui Ni kwa sababu gani) alafu gari likaniacha nikachukua pikipiki kuanza kulikimbiza lakini sikufanikiwa kulipata na bahati mbaya Dereva bodaboda alikua akinivunja Moyo licha ya kumuahidi gharama yoyote endapo tutalipata Basi. Nilishuka jikamlipa na kuachana nae bodaboda yule lakini Basi sikulipata ndoto hii inajirudia sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ya vifungo mikwamo katika mambo ya utafutaji wako wa kimaendeleo pia guahsiria watu unaowaamini ndio wanaokuhusudu

      Delete
  7. Nimeota nyoka wa kijani anatokaea angani akaja akaniingia mwilini kupitia shingoni upande wakushoto,nikawa namvuta anateleza tu hatoki anazidi kuingia mwilini , nikawa namwambia mama anisaidie kumvuta atoke, akanambia huwa akivutwa anakatikia , hadi nyoka akaingia mwilini, nikashtuk, yaani hadi leo upande wa kushoto wa shingo unauma


    Hii unamaana gani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ya kuingiliwa na jini mwilini hivyo huashiria kuwa unasumbuliwa na jini mwilini

      Delete
  8. Nmeota tulikua na wenzangu tumeenda kweny kambi la kidini,tulipomaliza wakati wakuludi nyumbani mim nlikua napanga vitu,ghafra Basi likaanza kuondoka likaniacha nikaanza kufukuzia kwa umbali mrefu sana bila kuchoka,cha ajabu lilikua linaenda polepole tu Ila nalikimbiza silipati,ghafra mchungaji wangu akampgia simu Yule dereva wa Basi asimamishe nipande dereva alikataa lakin mwisho alikubali, hatimaye nikalipata nikaingia ndani nikakaa,wenzangu wakawa wanashangaa tu,hii inamaana gani???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ishara ya kuwa na mitihani katika utafutaji yako inamaanisha mafanikio yako yapo mbali hitahd kupambana na kupata msaada wa kiroho kwa imani yako

      Delete
  9. Nimeota nimekwenda MareKani na wenzangu na ndege nilipapenda sana nikamuhahid mwenyeji wangu nitarudi...safari ya pili nilipanda ndege kwa ajili kwenda MareKani peke yangu bila wenzangu ndege ili paa angani baadae ikapata itilafu ikatua chini kwa dharura ...nilipanda NikiWA DSM ndege ikatua kigoma kwa dharura apo ndo ikawa mwisho WA safari..Ina maana gani

    ReplyDelete
  10. Nimeota cku 2 mfululizo, cku ya kwanza nimepanda meli ya kwanza ipo majini na nyingine inatembea nchi kavu na cku ya 2 nimeota nimepanda ndege kasafiri kwa ndege. Nn maana yake msaada plss

    ReplyDelete
  11. Nimeota nimebebwa ndani ya gari na wazungu wote ndani ni weupe .wakaniambia ingia tukupeleke.ikawa tuko safari .

    ReplyDelete
  12. Nikaota tena tuko kw gari dogo.mume wangu ndiyo dereva.nyuma nimekaa mm na dadaake.tukafika tulipokuwa tukienda akatufungulia mlango tukashuka.nini maana yake tafadhali.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Juzi niliota nimepanda tax naenda airport ili nisafiri niende marekani ila nilipofika nikawa nimechelewa pale ndani kwahiyo sikuweza kupanda ndege

      Alafu sikumoja pia niliota nimefika hadi airport lakini nikawa nimesahau tiketi

      Delete
  13. Nimeota tulikuwa tunasafiri kwenda marekani, lakini tukapewa meli lakini kulikuwa kuna ndege angani ikawa kama inatuongoza, lakini baada ya muda ikatuacha tulipofika kwenye round about hatujui tufate njia ipi na ndege tulikuwa hatuioni tena

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI