SIRI NA MAAJABU YA MUOSHA FEDHA KATIKA MIVUTO YA MAPENZI NA BIASHARA



NIMEWAHI kuongea mara kadhaa kuhusiana na mti wa muosha fedha na faida zake leo naleta muendelezo wa faida za mti huu kama kuna somo lilikupita acha uvivu pekua makala za zamani utapata darassa zangu zilizopita


Mti huu ni mdogo kiumbo lakini ni mkubwa kimatibabu. Upo katika mfumo wa mti lakini hasa hutumika zilizokatika mfumo wa unga bimaana huanikwa na kusagwa zipo maduka ya dawa asili popote ulipo.

Kwa shughuli za biashara

Utachukua maji ya bahari utaweka muosha fedha unga mwinula pigia deki au nyunyuzia eneo lako la biashara pia choma muosha fedha changanya na mwita mfunguo na muharaka itapendeza zaid kama utapata buhuri za ufunguzi kulingana na nyota yako

Hayo bahur n mambo ya kitaalam fika kwa wataalam karb yako sina maelezo ya hili

Kuupa mwili nuru 
Muosha fedha marashi jabal, Habati nuksi, Nyota ya jaha,mwitai, Mfunguo mauarudi, muaharaka na mvumo

Changanya vyote saga tumia ku oga siku saba asubuhi na jion ni vizur ukaimailza sk ya alhamis jioni kisha ijumaa baada ya swala ya ijumaa ukawapa sadaka watoto kitu chochote iwe pipi juic ama fedha.

Kuvuta ridhki

Chukua muosha fedha mafuta ya misk na unga wake  upate ua la mkuyu na karafuu kisha weka kwenye chupa au kopo weka na mafuta ya nazi matumizi paka mara mbili kwa siku 14

Kutuliza mume au mke 

Hapa kuwa makini soma uelewe usikurupuke kuuliza swali kabla hujamaliza kusoma chukua chumvi ya mawe na muosha fedha na dawa inayoitwa poza upate na jumba la konokono yaan kono aliyekufa akaacha jumba usimuue ukute kafa mwenyewe upate na chungu cha zamani.

Maelezo yake nitayaeleza kwa uref kwenye group la whatsap leo usiku na hapa kwenye ukurasa nitaweka leo saa mbili usiku kwa muda dkk kumi kisha nitalifuta.

Vitu nlvyotaja vinapatikana maduka ya dawa asili mnamoish unaweza kwenda kununua ukihitaji dawa ndo unitafute. Maswali uliza hapa chini

Una tatzo lolote la uzazi nguvu za kiume kuibiwa mapenzi kesi nguvu za kiume uzazi kukuza dhakar nk kwa dawa na mafanyo niachie ujumbe inbox

+255621442936

Km umelipenda darassa ruksa kushea

Group la whatsap ni la kulipia kwa mwwnye kuhitaji

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI