IFAAHAMU NYOTA YAKO SIKU YAKO YA BAHATI NA NAMBA YAKO YA BAHATI



BAADA kuzungumza kuhusiana na ngekewa na ile makala ya pete za bahat, na majini maswaliengi yalikuja hata wengine hawafahamu nyota zao ni zipi.


Sasa leo jitahidi kuwa makini kwenye hili somo nitazungumzia nyota na kuichambua vzuri tafadhali angalia tarehe na mwez vzur

Soma makala kwa makini usiniulize swali ambalo nimeshatolea ufafanuzi hapa. Jitahidi kuwa makini na kuelewa ninaposema mtu aliyezaliwa kuanzia 21 mwez wa tatu mpaka tarehe 20 mwezi wa nne namaanisha watu waliozaliwa kuanzia tarhe 20, 21, 22 na kundelea mpaka mwezi wa nne kuanzia tarhe moja,2,3........mpaka20 zinaenda hivyo angalia tarhe na mwez wa kuzaliwa kisha angalia upo upande gani utapata majibu hujui mwez wa tarhe ya kuzaliwa nitafute ila utachangia.

Yafuatayo ndio machambuzi ya nyota siku yako ya bahati, nani ushirikiane nae rangi gani ya bahati nk

NYOTA YA SAMAKI,PIECES,HUWT.

Watu waliozaliwa kuanzia 21 februar mpaka 20 Mach
Inatawala siku ya alhamisi
Tabia yake maji.
Namba yake nzur kumi na mbili.
Nyota ya Mapenzi yake MASHUKE.
Rangi yake nzur zambarau.
Siku yake mbaya jumamosi kuanzia saa nane mchana
Siku ya bahati yake jumanne.

Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito BLOOD STONE rangi ya zambarau .itengenezwe mchana wa alhamisi na ifukizwe ubani kandir,udi,uvumba,na tufah jini.

NYOTA YA PUNDA

Hapa nawazungumzia watu waliozaliwa kuanzia tarehe 21 mwezi machi mpaka tarehe 20 April
Nyota hii inatawala siku ya jnne.
Tabia yake moto.
Namba nzuri moja.
Nyota ya mapenzi yake MIZANI.
Rangi nzur nyekundu.
Siku yake mbaya alhamisi  kuanzia saa nane mchana.

Siku ya bahati yake ni ijumaa
 Pete ya chuma kito ruby nyekundu
Itengenezwe siku ya jnne ifukizwe udi na uvumba

Kwa mapenzi au ushirikiano apate mtu wa nyota ya mizani au mtu mwenye tabia ya nyota ya upepo ndo mafanikio yatapatikana haraka.

NYOTA YA NG'OMBE, TAURUS, THAUR

watu waliozaliwa kuanzia april 21 mpaka may 20
Inatawala siku ya ijumaa.
Tabia yake udongo.
Namba nzuri mbili.
Nyota ya Mapenzi yake NGE.
Rangi yake nzuri kijani.
Siku yake mbaya jumanne kuanzia saa moja asubuhi mapaka saa nane mchana.
Siku yake ya bahati jumatano.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa Pete ya fedha kito EMARALD cha kijani.
Itengenezwe siku ya ijumaa .
Ifukizwe ubani KANDIR,UVUMBA , UDI NA AMBARI 

NYOTA YA MAPACHA ,GEMINI,JAUZAA

watu waliozaliwa kuanzia May 21 mpaka 20 June
Inatawala siku ya jumatano.
Tabia yake upepo.
Namba yake nzuri tatu.
Nyota ya mapenzi yake MSHALE.
Rangi yake nzuri njano mpauko.
Siku yake mbaya ijumaa kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa saba mchana.
Siku yake ya bahati jumatatu.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito cha AGATE ya njano.
Itengenezwe siku ya jtano.
Ifukizwe ubani zukra na uvumba,habat rishadi,tufah jini

NYOTA YA KAA,CANCER,SURTWAN.

Watu waliozaliwa kuanzia June 21 mpaka July 20
Inatawala siku ya jumatatu.
Tabia yake maji.
Namba yake nzuri nne.
Nyota ya Mapenzi yake MBUZI.
Rangi yake nzur NYEUPE.
Siku yake mbaya jumatano kuanzia saa moja asubuhi Mpaka saa saba mchana.
Siku yake ya bahati jumapili.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito RUBY nyeupe.
Itengenezwe siku ya jumatatu.
Aifushe filfil abyadh,kafur,na uvumba.

NYOTA YA SIMBA,LEO,ASAD.

Watu waliozaliwa kuanzia July 21 mpaka August 20
Inatawala siku ya jumapili.
Tabia yake moto.
Namba yake nzur tano.
Nyota ya Mapenzi yake NDOO.
Rangi yake nzur njano.
Siku yake mbaya jumatatu kuanzia saa moja asubuhi mpaka saba mchana.
Siku ya bahati yake jumatano.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya dhahabu kito SADONIYX rangi ya njano.
Aifukize ubani uvumba ,kandir,tufah jini.

NYOTA YA MASHUKE,VIRGO,SUMBUULA.
Watu waliozaliwa kuanzia August 21 mpaka Sept 20
Inatawala siku ya jumatano.
Tabia yake udongo.
Namba yake nzur sita.
Nyota ya Mapenzi yake SAMAKI.
Rangi yake nzur nyaupe na nyeusi drafti.
Siku yake mbaya jumapili.
Siku ya bahati yake ijumaa.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito AGATE rangi mchanganyiko
Aifukize udi na jawi.

NYOTA YA MIZANI,LIBRA.

Watu waliozaliwa kuanzia Sept 21 mpaka oct 20
Inatawala siku ya ijumaa.
Tabia yake upepo.
Namba yake nzur saba.
Nyota ya Mapenzi yake PUNDA.
Rangi yake nzur bluu na kijani.
Siku yake mbaya jumatano kuanzia saa nane mchana.
Siku ya bahati yake jumanne.

Ukiitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya shaba nyekundu kito opal cha kijani au bluu.
Itengenezwe ijumaa mchana aifukize udi na uvumba na ubani dhukra.

NYOTA YA NG'E,SCORPION,AQRAB.

Watu waliozaliwa kuanzia octb 21 mpaka novemb 20
Inatawala siku ya  jumanne.
Tabia yake maji.
Namba yake nzur nane.
Nyota ya Mapenzi yake NG'OMBE.
Rangi yake nzur kahawia.
Siku yake mbaya ijumaa kuanzia saa nane mchana.
Siku ya bahati yake alhamisi.

Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito cha rubiy rangi ya kahawia.
Itengenezwe mchana wa jumanne.
Ifukize udi na uvumba na ubani na tufah jini.

NYOTA YA MSHALE,SAGITARIUS,QAUS.

Watu waliozaliwa kuanzia november 21 mpaka Dec 20
Inatawala siku ya alhamisi.
Tabia yake moto.
Namba yake nzur tisa.
Nyota ya Mapenzi yake MAPACHA.
Rangi yake nzur zambarau.
Siku yake mbaya jumanne kuanzia saa nane mchana.
Siku ya bahati yake jumamosi.

Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito turquoise rangi ya zambarau. Itengenezwe alhamisi asubuhi na aifukize ubani kandiry uvumba na udi.

NYOTA YA MBUZI,CAPRICORN.JADY

Watu waliozaliwa kuanzia Dec 21 mpaka Januar 20
Inatawala siku ya jumamosi.
Tabia yake udongo.
Namba yake nzur kumi.
Nyota ya Mapenzi yake KAA.
Rangi yake nzur nyeusi.
Siku yake mbaya alhamisi kuanzia saa moja asubuhi hadi saa saba mchana.
Siku ya bahati yake jumamosi pia.

Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito GARNET cheusi .
Itengenezwe asubuhi ya jumamosi ifukize ubani kandar udi na uvumba

NYOTA YA NDOO,AQUARIES,DALUI.

Watu waliozaliwa kuanzia Januar 21 mpaka feb 20
Inatawala siku ya jumamosi.
Tabia yake upepo.
Namba yake nzur kumi na moja.
Nyota ya Mapenzi yake SIMBA.
Rangi yake nzur kijivu.
Siku yake mbaya jumamosi pia kuanzia saa moja asubuhi Mpaka saa saba mchana.
Siku ya bahati yake alhamisi.

Ukihitaji mafanikio makubwa na bahati vaa pete ya fedha kito AMETHIYST rangi ya kijivu 
Itengenezwe mchana wa jumamosi ifukizwe uvumba udi nadi na miatusaila.

Faida yake ni nini mfano unahtji ktu au kuanzisha kitu na mtu angalia ck yako ya bahat hilo jambo lianze kwenye saa yako ya bahati na ikiwezekana uvae rangi zako za bahat na km n mpenzi wa pete basi pia uvae pete yako ya bahat

Kingine usianzisha biashara au mahusiano na mtu ambaye tabia za nyota haziendani ukiona tabia ni maji basi zinaendana na udongo au maji mwenzie ukiona moto mwenzie ni upepo au moto mwenzie.

Km huijui tarehe yako ya kuzaliwa una mtihana mkubwa kwan kinachobeba uzito wa nyota yako ni tarhe yako. Japo unaweza kujua kwa kupitia jina lakn haina nguvu kwa sabbu wengi hupewa majina zaid ya moja wanapozaliwa fika kwa wataalama watakuchambulia kwa kutumia majina yako.

Ufafanuzi nmejitahidi kupambanua ili kukuweka sawa katika matafutaji yako na mahusiano yako. Km unahtaj kutengenezewa pete za bahat niachie ujumbe inbox
Km unahtaj vito fika kwa masonara nunua njoo ofcn utatengenezewa kwa hitaji lako

Somo hili nmelimaliza hapa maswali uliza hapa chini inbox nashughulikia watu wenye matatizo binafs 

Una tatizo la nyota, uzazi, ndoa, mahusiano, kazi, biashara, kesi mapenzi nk niachie ujumbe inbox
+255621442936

 group la whatsp group n la malipo.

Comments

  1. Asalaam aleykum maalim mm Nina tatizo la kimausiano kila ninapo jalibu kuingia sifanikiwi shida ni Nini maalim

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI