KUKUZA DHAKARI 'KIBAMIA' NA KUREFUSHA KINEMBE 'KISIMI'

MAKALA haya yameandaliwa na mtaalam wa tiba asili Tanzania Mtabibu Asili TZ kwenye ukurasa wa facebook unaweza tembelea kwa madarassa na dawa zaidi.

Leo tutazungumzia kuhusiana na jimai yaani tendo la ndoa. Kuna wanawake wamekuwa wakisumbuka kutokana na vinembe vyao kiwa vidodo au vifupi hivyo kuukosa ule msuguano mzuri wa uume wakati wa jimai. Pia kuna wanawake ambao wameathiriwa na mila za ukeketaji hivyo kukosa kabisa hamu ya tendo lenyewe maana kwenye jimai kinembe ndio chumvi yenyewe.


Kuna sababu nyingi za kufanya kinembe kuwa kuwa kifupi au kidogo zipo sababu za kirithi. Zipo sababu za makabila mtindo wa maisha wa ulaji vyakula na uvaaji lakini pia kuna maradho mengine ukiumwa kwa muda mrefu huweza kukisinya kinembe.

Kuna dawa nyingi za kunywa. Na kupaka pia hirejesha hamu ya tendo kwa wale wasiohisi raha kama utahitaj kuna namba mwisho wa makala haya. Kwa njia rahs tafuta tura au ndulele iloyokamaa mpaka ikaanza kuiva itobe juu minya ule umajimaji wake tumia kuchua kinembe kwenda juu  yaani unakivutia kwa juu dumu hivyo kwa siku 14 mara mbili kwa siku kila sk tafuta tura mpya.


Kabla ya kukivuta upake maji vuguvugu ukimaliza ndio utafanya dawa niliyoelekeza hapo juu ukimaliza tumia mafuta ya zaituni kukipaka.fanya zoez kuanzia dakika tatu mpaka tano utaleta majibu.

Najua kuna wimbi kubwa la wanawake wanateseka lakini huwa hawawi wawazi katika mambo yao. Niliwah kuulizwa kuhusiana na vile vinavyoitwa vipipi je ni vya asili na havina madhara jibu lake ni moja isome makala ya shabu utakachokikuta hakina tofuat na utakachokipata

Kwa wanaume ni fedheha kama utakuwa na uume mfupi alaf hauna nguvu inakuwa ni fedheha mara mbili. Kuna sbabu nyingi zinazofanya uume kusinyaa ikiwa ni pamoja na punyeto maradhi ya muda mref kirithi nk.

Upigaji punyeto huathiri zaid uume lakini pia punyeto ni dawa. Katika ukuaji wako ikiwa hukuwah kupiga punyeto kuna matatzo makubwa ya uume wako kuwa mdogo lakini punyeto ukiizidisha ina madhara makubwa ikiwa kusinyaa uume na nguvu kupotea haya masuala ya kuzaa kwako yatakuwa na mtihan kidogo

Dawa zake zipo ofcn kwa wahitaji fanya mawasiliano hapo chini ila tafuta mti unaitwa muegea au muinge chimba mzizi wake ukaushe vzur utwange upate unga wake gm 30 kisha upate na mafuta ya khardar ml 20 upate na unga wa khardar gm 30 changanya vyota matumizi yake ni kuchua kwenye uume kutoka kwenye shingo kwenye juu kwenye kichwa fanya kwa siku 21 

Kila siku ufanye mara mbili na iwe dakika tano 

Kwa wanawake huwa si rahs kuzungumza kwamba hahisi raha wakat wa jimai na pia wanawake wamekuwa na tatzo hilo pasipo kujua kujua ni ufupi wa kinembe. Samahan kwa kutumia neno hilo lakini ndio tiba na ndio uzima

Kwa dawa zakukuza tulizonazo utapata dawa ya kula na kuchua eneo husika namba angalia mwisho wa makala

             MAMBO YA KUZINGATIA

HAKIKISHA UMESOMA VZUR MAELWZO NLIOYATOA SABABU NMEELEZA KWA UPANA. KWA WALE WANAOTAKA DAWA HAKIKISHA UMEPERUZI VYA KUTOSHA BLOGG YANGU PIA PITIA UKURASA WANGU WA FACEBOOK UNAITWA MTABIBU ASILI TZ KAGUA KILA KITU JIRISHISHE KWANZA NDIPO UNITAFUTE USINITAFUTE UKIWA UNA WASWAS.


Una tatizo lolote la uzazi afya nguvu za kiume biashara mapenzi kesi nk niachie ujumbe ibox

+255621442936

Whatsp group na la malpo kwa wanaohtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI