JINSI YA KUPUNGUZA UNENE KWA KUTUMIA TANGAWIZI NA LIMAO


Baada ya kufanya vizuri kwenye makala mbili zilizopita ambazo zilikuwa zinazungumzia 1. Juu ya kupunguza unene na tumbo 2. Jinsi ya kuulinda uke usiwe mkubwa na kutoa maji na kupata mrejesho mzuri sasa tuongelee jinsi ya kupunguza maziwa tumbo na mikono.

  Kama ulipitwa na masomo tajwa hapo juu tafadhali tembelea kwwnye ukuta wa akaunti hii utawwza kuyaona masomo hayo na mengine mengi.

   Kwa kawaida wanawake na wanaume mmekuwa mkisumbuliwa na unene. Na gharama za kupunguza unene zimekuwa kubwa watu wanauza dawa mpka 120000 hazina matokeo mazuri.

  Kama muhanga wa tatizo hill fuata taratibu zifuatazo vzuri kabisa. Kuwa makini wakati unasoma usije ukauliza swali wakati majibu yapo Juu.

Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo na mikono iliyoning'inia manyama uzembe

mahitaji tangawizi mbichi limao au ndimu. Zoezi hili ni vyema ukalifanya ukiwa huna SHUGHULI nyengine ya kufanya.

     JINSI YA KUFANYA

 Twanga tangawizi hadi ilainike sana kisha kamulia limao lako au ndimu mchanganyiko huo jisugulie kwenye mikono kwa mda wa dk2 had 5 ILI KUONDOA NYAMA ZILIZONING'IA MKONONI


Paka mchanganyiko huo matiti yako hayo unayotaka yapungue pakaa kwa mzunguko kwa kuvutia juu au katikatiya chuchu huku ukisugua taratibu kwa muda wa dk2 acha ikauke

KWA KUPUNGUZA TUMBO chukua maji weka tangawizi,kisha chemsha ikichemka subiri iwe vuguvugu kamulia limao au ndimu moja kunywa alafu paka tumboni mchanganyiko wa tangawizi mbichi na limao na usugue sehemu zote unazotaka zipungue

  fanya lile linalokuhusu tu.kama ni titi mikono au tumbo tanga wiki ikikauka unapaswa ufanye mazoez

  Kumbuka mazoez yote ya mikono husaidia titi lisianguke na pia lisimame dede fanya hivyo mara mbili kwa siku ndani ya wiki mbili utapata matokeo mazuri sana

Kama unahitaji dawa zilizoandaliwa tayar zenye matokeo mazuri na

+255621442936

Comments

  1. Tangawizi nimejaribu kupaka tumboni jamani nimeungua tumbo nimesikia Moto mpaka tumboni

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI