SIKU NA SAA NZUR YA KIFUNGA NDOA YA KUFANYA MIKATABA YA MASHIRIKIANO KIBIASHARA KAZ NK.



BADO tupo kwenye milango ya nambari za saa au saatul habar. Tumeishaizungumzia namba za kujua je unayetaka kuonana nae yuakufaa na nikachambua nn ufanye ikiwa ninkweli unamuhitaj lakini mahesabu hayapo sawa kama limekupita angalia makala iliyopita kwenye ukurasa wangu.


Tuingie katika mada yetu je ni masaa gani mazuri kufunga ndoa na ni siku bora zaid. Katika milango ya mapenzi na mahaba siku ya Ijumaa imetawaliwa na hvyo vtu sasa tufafanue hiyo siku ya ijumaa muda gani unafaa na nn kitatokea iwapo utayakosea hayo masaa.

Saa moja asubuhi ni saa mbaya hakuna heri ndoa itakuwa na mitihan mpaka mtaachana.

saa mbili asubuhi na saa tatu asubuh iwapo utaipata hii utapata watoto wengi wenye heri lakini pia ndoa yenu itapendwa na ndugu wa upande wote na ufalme utakuwa kwa mwanaume. Saa tano na saa saba ni nzuri utapata riziki na watoto utapata.

Saa sita sio nzur utaporomoka kimaisha hasa ukioa tarehe ambazo hazigawanyiki. Saa nane utapata mabalaa kwenye ndoa hasa kwa wakwezo. Saa tisa mlango wa kufilisika utarud nyuma kimaendeleo  Saa kumi na mbili jion sio mbaya ila harusi yako itasimamiwa sana marafiki yaan nguvu kubwa utaipata kwa jamaa na sio ndugu.

Siku zilizobaki nitaweka masaa tu mazuri ya kumfunga ndoa mfano  jumamosi saa zake ni saa saba ndiyo nzur kufunga ndoa jumapili saa zake ni saa moja asubuhi saa tatu asubuhi na saa saba mchana jtatuu saa zake ni saa mbili asubuhi 

Wakati siku ya Jumanne saa nzur za kufunga ndoa ni saa moja, saa tano, saa sita mchana saa nane na saa 10 jioni katika masaa hayo unaweza kufanya jambo lako nablikawa na heri. Jumatano saa zake ni asubuhi kuanzia saa tatu, saa sita mchana na saa nane. Alhamimi saa zake ni saa nne asubuhi na saa saba mchana

Kama unataka kuoa kabla ya kuoa kwanza angalia vtu vya muhimu kama nilivyoeleza kwenye makala zilizopita. Sasa kila siku ina nyota yake na mtu mwenye nyota ya siku hyo akilifanya jambo huanzia na baraka hasa akifauatisha masaa na tarehe.

Jumatatu inasimama nyota ya kaa rangi zake za bahati ni nyeupe blu na rangi ya fedha, jumanne ni siku ya bahat kwa nyota ya nge na  punda, jumatano ni mapacha na mashuke rangi za bahat ni blu na njano alhamisi ni mshale na samaki, ijumaa ni ng'ombe na mizani rangi ya bahati ni kijani, jumamos ni mbuzi na ndoo, jumapili ni Simba na rangi zake ni nyekundu dhahabu na rangi ya machungwa

Hapo namaanisha kufunga ndoa lakini pia kuanzisha makubaliano na mtu iwe yakibiashara mikataba ya kazi unaweza saini katika siku yako ya bahati na masaa yale yenye kuleta heri kama nilivyoeleza. Lakini pia siku hzo unaweza kuzitumia katika mambo yako mengine ukilinganisha na rangi za bahat za nyota yako mfano unataka mpenzi bas siku ya kwenda kukutana nae angalia rang za bahat na siku ya bahat 

Hapo nmezungumzia masaa ya mchana usiku nitafafanua sikubzinazokuja au unaweza jiunga na group la whatsp kwa maelezo zaid ya masuala ya nyota na tiba za asili.

Una tatzo lolote la afya kazi biashara uzazi nguvu za kiume mapenzi kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la kulpia kwa wanaohitaji

Kujua nyota yako kiundani soma makala kwa kubonyeza hapa http://tabibuasili.blogspot.com/2020/08/ifaahamu-nyota-yako-siku-yako-ya-bahati.html

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI