FAHAMU KUHUSU MTI WA MCHACHAA KATIKA TIBA ZA MAPENZI KUMVUTA MPENZI NA KUMREJESHA MPENZI NDAN YA SIKU TATU


UCHAWI WA ZAMANI SEHEMU YA 3

HAPA NAFAFANUA MATUMIZI YA MZIZI WA MCHAACHAA KATIKA KUTIA WATU KICHAA CHA MAPENZI

ANAYEFANYIWA HIVI HAKIKA ANAPATA KICHAA LAKIN CO CHA KUOKOTA MAKOPO NI CHA MAPENZI

MAHITAJI
MZIZI WA MCHAACHAA
MZIZI WA PILIPILI KICHAA
PESA YA SARAFU AU NOTI YA NYEUPE AU SILVA MFANO ELF MOJA AU TANO YA TZ

CHUKUA HYO PESA 
CHUKUA MIZIZI YOTE HIYO MIWILI UWE UNAISUGUA HIYO SARAFU KWA JUU NA CHINI HUKU UKISEMA MANENO YAFUTAYO

ewe fulani bin fulan nataka upate kichaa na uwashwe kama uliyekula pilipili kichaa, upate ukichaa co wakuokota makopo bali ukichaa wa mapenzi kila unionapo uwashe nikiwa mbali uwashwe unipende mimi mengine utaongezea mwenyewe

UKIMALIZA MPE MUHUSIKA HAKIKISHA ANANUNUA KITU CHA KUKILA KWA HYO PESA HAKIKA AKILA TU UTAPATA majibu ndan ya ck 3 au mnunulie wewe kitu cha kukila.

Kama huwez kuonana nae utachukua vitu vyote kasoro sarafu kisha utatafuta karatasi nyeupe itaandikwa majina ya wahusika na bibi na bwana majina matatu  kisha utaenda kuifukia kwenye jiko la kuni linalotumika pale panapochochewa kuni utaizika kwa manuiz maalumu juu ya kile ukitakacho

Hii pia waweza mfanyia bosi wako kiongozi wako wa kazi au mtu unayehtaji kitu kutoka kwake

Mmbo yakuzingatia pilipili kichaa n zile pilpl ndogo  mzizi wa mchachaa agiza inbox yetu hii ni ngumu kidogo kupatikana  mchachaa ni mti ambao una kazi nyingi kuanzia majani mpaka mizizi kupatikana kwake ni vigumu kidogo na elewa ni mchaachaa na si mchaichai na sina picha
 

Una tatizo la
Hedhi biashara, nguvu za kiume, ndoa kesi nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Km umependa darasa shea na wwnzio usikopi
Grroup la whatsp n la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI