NYOTA NA TABIA ZAKE KATIKA MAFANIKIO NA MAPENZI 'NYOTA YA PUNDA



NITAWALETEA mfukulizo wa darassa za nyota na tabia zake katika mafanikio ya biashara kazi mali utafutaji pamoja na mafanikio ya kimapenzi na. Ufafanuzi huu utahusu nani ushirikiane nae matatizo ambayo nyoya yako lazima yaipitie. 

Pia nitagusa mafanikio na vipi ufanye ili upata mafanikio na kupata kile unachohitaji. Nyota zipo 12 jaribu kufuatilia kila siku nitaweka nyota moja kuanzia leo huwenda ya leo isiwe nyota yako ila vumilia itakapofika siku ya nyota yako utapata maelezo ikiwa una haraka zaid kuna namba mwisho wa makala utaitumia utachangia gharama utafafanuliwa.
Leo tuanze na nyota ya PUNDA sababu ni nyota ya kwwnza katika msimamo wa nyota 12. Hii ni wale waliozaliwa kati ya tarahe 21 mwez machi mpaka tarhe 20 April pia watu maboa hawajui nyota zoa watu wenye majina yanayoanziwa na heruf A,M,Y,L na E. Ninaposema kuanzia 21 mwez wa 3 mpaka 20 wa nne najumlisha 21,22,23,24 mpaka mwsho wa mwez na kuanzia tarhe 1,2,3 mpaka 20 mwez wa nne kuwa makini.

          SIKU NA NAMBA ZA BAHAT

Siku yake nzur katika jambo lako ni jumanne, ikiwa unahtaj mpenz mfuate alhamisi. Namba zake za bahat ni 1, 8 na 17. Asili ya nyota hii ni Moto jinsia yake ni dume. Sayari yake ni Marikhi mpenda vurugu. Jini wa nyota hii anaitwa Abuu Muhriz, Malaika wa nyota hii anaitea Izrael ndiye mtoa roho. Alama ya nyota hii ni punda hupenda msisitizo, ngono na kuwa juu ya wengine, ujasiri.

Rangi  za bahat ni nyekundu huwakilisha moto hii huwapa nguvu katika mapambano. Rangi za bahat na mapenz ni rangi za kijani kibichi au mpauko kuhusu manukato au pafyumu upate marashi misk au vtu vilichoanganywa na asali.

            NANI USHIRIKIANE NAE

Nyoya hii inaendana na nyota ya Simba na Mshale kama utafanya jambo ukiwa na hawa basi jambo lako litaenda vizur tena kwa uharaka zaidi. Watu ambao hawaendani ni Mizani na Mbuzi hapa utachelewa jambo lako kifikia. Mtu ambae atakupa nguvu kama una jambo lako ila unahtji ulitilie nguvu iwe kipesa ni mtu wa nyota ya Ng'ombe. Ukitaka msaada katika ubunifu au kujifurshisha ni nyota ya Simba. Ikiwa wahtaji msaada wa kidini zaid watu wa Mshale na Samaki

   TABIA HALISI NA VITENDO VYAO KIMAUMBILE NA MAPENZI

Watu wenye nyota hii ni watu wasiokuwa na subira. Hufanya mambo yao haraka haraka muda huo huo. Wanapenda uongozi wanakuwa majasiri n hawaopog kitu katika majukumu yao. Wanajiona wajuaji sana na wanaamini kuwa wwnajua kila kitu.

Pia wakali na wachangamfu, wana hisia wanauwezo wa kuismama mbele za watu na kujieleza vizur na wanapenda kusikilizwa na wanachokitaka kiwe sasahivi.

Wachapakazi, huwa hawajivungi kwenye kazi hawachagui kazi.

Wanapofeli hawaoni shida kuanza upya na hii inawapa nguvu katika kufanikisha majambo yao na kujiamini kunakuwa kukubwa. Wanapenda kutumia nguvu nyingi kuliko akili, 

Kimapenzi Punda ni watu wenye mapenzi motomoto, tatizo lao kubwa hawapendi kusikiliza ushauri wa kimapenzi, na hawakubaliani na mambo nusu nusu. Ni watu wenye kutegemea mazuri wakati wote na hawakubali kushindwa. Hupenda kukimbilia katika mapenzi bila kufikiri, wanapohisi wamepata mpenzi wa kweli. Ni wepesi kuvutwa katika mapenzi na wenye miamko ya ghafla au misukumo ya kiwazimu ambayo wakati mwingine inawafanya waonekane wapumbavu.


              KAZI NA BIASHARA VIPAJI
Watu wa nyota hii ili wapate mafanikio watakiwa wapate kazi za uongoz sababu ndio asili ya nyota yao. Kazi zingine unaweza kifanya ni pamoja na michezo bimaana kuwa mwanamichezo kiongozi wa michezo au kuuza bidhaa za michezo, Udaktar wa uoasuaji, jeshi au kazi za ukoaji, biashara za jumla, kubadili fedha, biahsra ya vifaa vya shule na duka la madawa

Kwa mujibu wa nyota hii unaweza kujiajiri au kuajiriwa katika shughuli nilizozitaja hapo juu

Vipaji vyao ni watu wenye hisia kali na kuoenda kutafsiri mambo haraka kwa ufasaha zaid. Wanaweza kuelezea kilichoelezwa na mtu mwingine pasina kupindisha ndoto zao huwa zina ishara ya kweli ikawa ni wacha mungu. Pia wana ilham kuna visaut huwa wanavisikia wanakumbwa na majambo na wakivifuata hupata mrejesho mzur

Kama watadumu kwenye ibada na kuwa karbu na mwenyez mungu wanafunguliwa mambo mengi zaid. Na ukiwa mganga utapata habar za wagonjwa wako kirahisi

      VYAKULA VYA NYOTA YA PUNDA

kama upo kwenye kundi hili la nyota na unataka uendane nalo kwa kila kitu vyakula vyako vya bahati ni nyama ya mbuzi, matunda ni manansi viungo vya kupikia ni pilipili na vitunguu maji na mbuzi. Hii unaweza ukawa unatumia kwenye mlo wako mara kwa mara itakufanya upate nuru na bahat pia katika utafutaji wake hata nguvu za kiume zitajaa kwa watu wa nyota hii


       PETE ZA BAHATI NA MVUTO

Hapa tunazungumzia madini ya vito ambavyo hukaa kwenye pete, watu wa nyota hii wanatakiwa wapate madini ya chuma sasa kama utapata pete ya chuma au fedha. Vito vyake ni ruby, diamond, lazuli, Quartz, Hematite na Citrine na pete yake ivaliwe mkono wa kushoto ikiwa ni shughuli za mapenzi biahsra ama mafanikio uyengenezaji wake ufanyike siku ya alhamisi.

     MAFUSHO NA MAKAFARA YAKE

Kama ni mambo ya makafara mnyama anatakiwa atumike kwa watu wenye nyota hii ni kondoo mweusi yapendeza zaid ikiwa ni dume. Mafusho yake kama utafanya dawa ukachanganyiwa na mafusho haya yanaitwa Qist basi jambo lako linakwenda moja moja. Na kama kazi yako itafanyika siku ya jumanne kati ya saa 12 mpaka saa moja asubuh au kati ya saa saba mpaka nane ndio italeta majibu haraka zaid.

Hiyo inachanganywa na dawa unazotaka kuzifanya mfano unataka bishara iende wateja wakumwaga ukishatoa kafara la huyo mnyama dawa ambazo zitafanyika zitatumia kuchangywa na fusho hilo ili majibu yapatikane kiwepes

     MARADHI YANAYOWASUMBUA 

Maumivu ya kichwa, homa ya ubongo, macho, mifupa kuuma. Pia husumbuliwa na ajali ndogondogo mwilini hasa sehem ya uso mashambulizi ya chunusi na maradhi yanayosumbua kichwa.

Haya ndiyo maradhi yanayowasumbua watu wa nyota hii.


TAHADHARI  YAKE AU MAMBO YA KUZINGATIA KWA WATU WA NYOTA HII

penda kujiweka mbali na vitu vikali jitenge na moto kama ni dereva au unafanya shughuli za moto yahitajika umakini sana, sbabu ndiyo vtu vyenye hatar zaid kwako na vinakuoa kiwepesi

Watu hawa wanapenda kufanikiwa wenyewe hawapendi kuvuta wenzao katika mafanikio. Hivyo ikiwa washirikiana na mtu wa nyota hii kuwa makini katika kumshirikisha.

Kama shughuli zako ni za kuzafiri bas ukitembelea au kuishi nchi hzi utapata mafanikio zaid  Ungereza, Ujeruman, Polandna  Uswis kwa Tanzania upate mji ambao unafugwa sana mbuzi na kondoo.

Vtu muhimu mwanadamu anapozaliwa ile tatehe ya kuzaliwa pamoja na saa aliyizaliwa muda atakaoaziniwa baada ya kuzaliwa jua limesimama wapi au mwez upo wap kama ni usiku vyote vina maana na ishara zake iwapo ukivifuatilia na hii kwa wale wanaoamini na kuzingatia.

Maswali uliza hapo chini umeelewa sema asante umelipenda somo shea usikop

Kesho nitaendelea kundi la pili asubuh tutasoma ndoto alaf tutaendelea ukihtaj madarassa zaid ni whatsp group
+255621442936 ni la kulpia

Una tatzo lolote la mapenzi uzazi nguvu za kiume chango kesi biashara nk niachie ujumbe inbox.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI