NDOTO ZA CHOO HAJA NDOGO KUBWA FAHAMU TAFSIR ZAKE
LEO tuangalir ndoto za kuota haja kubwa, ndogo kuota unakiona choo ama kinyesi na tafsiri zake. Kama ulipitwq na madarasa ya ndoto ya awali soma post zilizopita ili kujipatia maarifa katika ndoto zako anayekuletea tafsr hizi ni Mtabibu ASILI TZ.
Tafsiri ya ndoto za haja zimeagwanyika katika mafungu mawili, kuna ndoto zinazoashiria wema na kuna ndoto zinazoashiria ubaya utakaokutokea siku za uson hapa yategemea na mazingira ya muotaji na yeye yupo katika hali gani. Kitendo cha kutoa haja mwilini kinatafsiriwa kuwa n tukio la kutoa uchafu mwilini na kuwaacha mwili uendelee na mambo mapya ila kumbuka asiyeenda haja pia atakuwa ni mgonjwa.
Mtu aliye katika msongo wa mawazo ana mambo yana mtatiza iwe kodi kesi maden na mambo ya kimapenz, mtu huyu akiota anajisaidia haja kubwa sehem nzur yaan choo kisaf maji ya kutosha ni ishara ya kuwa mambo yake kwa asilimia kubwa yataisha mara moja. Ikiwa ataota anakwenda haja ndogo sehem hyohyo bimaana ni safi na kila ktu cha kwendea haja kipo ni ishara ya kuwa jambo lake litaisha lakini kidogo kidogo na itachukua muda kama asipolitilia mkwazo.
Mtu anayetegeme uvuvi akiota anajisaidia haja kubwa basi kuna ishara kuwa chombo chake kitapata mzigo mkubwa kitavua sana siku hiyo. Msichana anayetka kuolewa au kuzaa akiota anajisaidia haja kubwa sehm nzur kama nlvyoeleza hapo juu ni ishara ya kupata hvyo vtu kwa haraka zaid ikiwa ataoata haja ndogo vitachelewa afanye juhudi.
Ikiwa utaota unakojoa alaf ukaamka umekojoa kweli hii ina maana mbili moja kwanza ni ubongo umekusaidia kukipoza kibofu yaan usiku kibofu kilijaa mkojo na wewe ukawa umechoka ubongo ukaona huyu mtu akiamka hapa atakosa raha ya usingizi ubongo unaruhusu mkojo utoke hali yakuwa umelala hii hutokea sana na ni tendo la kawaida katika mwili hasa kama utafanya kazi ngumu. Maana nyengine ni kwamba kuna wanga walikufuata usiku wakacheza ba wewe sasa wanataka kukuhadhirisha ndio hukuletea ndoto ya choo kizur kisha uanjikuta unakojoa choon au kujisaidia haja kubwa na ukiamka kweli mizigo unaiona kwenye kitanda hao ni wachawi ndugu yangu.
Sasa tufahamu ndoto mbaya za haja ikiwa utaota unajisaidia haja kubwa alaf ukaona kinyaa upo sehem chafu unayojisadia kuna jambo utalifanya la kudhalilika na utahadhirika. Ikiwa upo kichakan unajisaidia haja ukaona umejistiri kisha wakapita watu wakakuona kukukimbiza au kukuzomea ni ishara ya kufumaniwa katika mitikasi yako iwe wizi mapenzi nk.
Ukiota mtu anakupaka kinyesi kuna jambo la kuzushiwa litatokea na litakushusha thamani katika jamii au watu wanaokuamini. Ikiwa unamuona mtu anajipaka kinyesi kuna mtu wa karibu yako atajishughulisha na mambo haramu, ikiwa unamshuhudia wewe tu basi jambo hilo haram wewe ndiye utayelijua na ikiwa anashuhhudiwa na umma wa watu basi ajiandae kuhadhirika.
Ukiota unajinyea au kujichafua kwa kinyesi ni ishara ya kuaibika mbele za watu na utajichafua mwenyewe kwa matendo yako na si watu wengine. Ukiota unaona kinyesi kuna jambo la kukura litatokea ukiota unawapaka watu kinyes au kuwatushia vinyes ni ishara ya kuwa utakuja kuwadhulia watu mambo ya kuwachafua.
Ukiota unajisaidia haja kubwa sehemu ya waz na watu hawakuon mfano stend shulen sokon nk ni ishara ya kujishughulisha na mambo na macho machagu lakini bado watu hajagundua uchafu wako na hii unatahadharishwa kuacha hayo mambo na ikiwa unajisadia wanakuona ni ishara ya kuwa kuna mambo machafu unayafanya kuna siku umma utakuja kujua na utapata aibu mbele ya jamii yako.
Ukiota unakojoa damu au kukiona choo kichafu ni ishara ya kifungo, ikiwa unaota unataka kwenda haja alaf umefika msalan hiyo haja haitoki pia ni ishara ya vifungo. Ukiota unakisafisha choo kichafu ni ishara ya kujisafisha n dhambi au uovu ulioifanya. Ukiota unakula choon ni ishara ya kujishughulisha na shughuli haram lakini pia kuna ishara ya uchaw na jini mahaba
Mambo ya kuzingatia nimezungumzia mazingira ya ndoto yaan sehem utakayoota pia mazingira ya muotaji aliyeota ni nani na nini wakati huo huenda watu wawili wakaota ndoto moja lakini maana zikawa tofauti. Haja kubwa jambo lako n kubwa kama kuhadhirikakutakuwa kukubwa na kama kupata jambo bas ni haraka zaid haja ndogo jambo lako huenda kidogokidogo.
Una swali lolote kuhusu ndoto uliza hapa chini inbox utachangia
Una tatzo lolote la mapenz afya kes uzazi nguvu za kiume biashara nk niachie ujumbe inbox yangu
+255621442936
Whstsp group n la kulpia
Okay mm ninalo swali...mfn mm nimeota tupo safarini Niko na ni watoto wa Dada yangu ghafla wakataka kujisaidia..nikawapeleka choon..Wakat nawasafisha na mm nikajikuta eti nimejinyea yaan naskia haja kubwa ishatoka IPO kwa chupi...na hakuna haliyegundua hilo..je hiyo INA maana gan?
ReplyDelete