WATU WENYE MIDOMO AU KUFUATILIA SHUGHULI ZA WATU JINSI YA KUWAZIBA MIDOMO 'MAWIFI, WAKWE, OFISINI NK



SOMO hili ni kwa ajili ya kuziba watu midomo hasa wale wanaofuatilia mambo yako na kukukosesha raha. Ikiwa waishi nyumba na watu wenye kuongea sana mawifi wakwe ofisini fuatalia hili darasa mpanga mwisho.
    MASHARTI KWA MFANYAJI

Yatakiwa kweli iwe umeonewa na wasemwa kwa ubaya ikiwa wewe ndiye mbaya unataka kuwafanyia wenzio kwa kuwaonea itakurudia na kukudhuru.

Mahitaji ya shughuli hii yatakiwa upate kitu alichotema kwa mdomo wake mfano mswaki punje za ubuyu machungwa au mchanga aliotemea mate.

Ikiwa wataka umfunge na mwendo asiweze kutembea kupeleka habar zak utachukua na unyayo wake wa mguu wa kuume. Mchanga alipokanyagia mguu wa kulia ukiwa bila viatu bimaana peku.

Utatafuta kitambaa cheusi kirefu ganda la konokono aliyekufa usimuue umkute aliyekufa akiwa wa baharini ni vzur zaid, upate unga wa muinamo, poza .

Kazi yako utaifanya siku ya jumatatu saa tano asubuhi au jumanne saa moja asubuhi. Utawkea vifaa vyako sehemu moja utachukua utaweka kitu kilichotoka mdomoni mwake kwenye hicho kitambaa utaweka na unga poza utasema napoza kauli zako zisiwe kali kwangu nafunga mdomo wako usiniongelee mimi kila unachokijua au kukiona kwakngu kikae moyoni mwako. Utafunga fundo kisha utaweka mchanga kidogo ulichukua utaweka fundo jengine utasema nafunga miguu yako kama safar ziwe namanufaa kwako usinisema mimi kwa ubaya kwenye safar zako kisha utafunga hilo fundo vindo la tatu utaweka mripu na barut na muinamo utasema mimi ukiniona uniinamie kama umemuona mtu unayemuogopa moyo wake uripuke pindi unapotaka kuniongelea mimi kwa ubaya yaani unipotee moyon.

Hakikisha hayo mafundo yawe madogo madogo ili huo mzigo upate kuingia kwenye jumba la konokono kww ndani kisha utafunga na kitambaa kingine cheusi kwa juu kama mpira wa rede wa watoto au kama utaoata soks nyeus si mbaya iwe mpya ambayo haijavaliwa isiwe mtumba.

Utavininginiza hvyo vtu kww siku tatu sehem inayopikwa hasa ikiwa jiko la mkaa kisha uyaenda kuvifykia sehemu yenye mti mkongwe uliopigwa na radi au uliokufa wenyewe. Utasema kama konokono anavyoenda kidoodogo basi ubaya kwangu wa kusemwa na hawa uwe mdogo kama jiti hili kubwa lilivyokufa lenyewe basi maneno yao kwangi yafe kabisa fukia endelea na safar zako.

Huwez pata vtu hvyo nilivyovitaja kuna njia ya kutumia mwana sesere mfano ni hyo picha hapo chini lakini hii shughuli yake ni ya kitaalam kidogo fika ofisin na majina yake tutashughulika nayo


Maswali uliza chini

Una tatzo lolote la afya mapenzi kesi biashara kuibiwa kuuza nk +255621442936

Whatsp group ni la malpo

Maelezo zaid kuhusu darasa hili na picha bonyeza hapa chini



Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI