KWANN UNASAFISHWA AU KUSHUGHULIKIWA KISHA TATIZO LINAJIREJEA.



WATAALAM wengi hukupa dawa kutokana na maelezo yako hasa wataalama wa mjini hawasumbui vichwa kujua tatizo. Nuksi inajulikana kwa maelezo tu mtu akijieleza wajua hii ni nuksi sasa kinachotakiwa ni kujua chanzo cha nuksi na utibie chanzo.

Nini nuksi? Nuksi waweza kuita mkosi. Nuksi AMA mkosi ni aina ya tatizo ambalo aliye na tatizo hili huwa ni mtu mwenye hali ngumu sana kwa sababu kila analo Fanya huwa hafanikiwi Mtu mwenye nuksi huwa ni mtu mwenye hali zifuatazo

 1 kila analo fanya huharibika
 2 kuchukiwa na watu bila sababu 
3 kutengwa na watu
 4 watu kukupuuza na kuto kukujali 
5 ugumu wa maisha kwa kukosa msaada
6kupewa ahadi zisizotimia.
7kukosa fedha au ukipata haikai.

VISABABISHI VYA NUKSI 

1 kuna nuksi unaipata kwa njia ya uzinzi 
hii kama utaingiliana na mtu aliyefungwa au mwenye nuksi basi na wewe kuna uwezo mkubwa wa kupata nuksi. Mfano mke akaenda kwa mchepuko mwenye nuksi kisha akarud kwa mumewe kuna uwezekano mkubwa kutoa nuksi kwa mchepuko na kumpa mumewe.

2 kuna nuksi unaipata kwa kuwa na tabia ya kutooga janaba, hasa wale ambao huvaa mawigi au usukaji rasta. Hapa hata ukilimbikiza hedhi zikikutanatana tatu pasina kujisiha una uwezo wa kupata nuksi. 

3 nuksi ya uchawi 
Hapa ndo kuna vifungo vya ridhki vifungo vya kuolewa vifungo vya safar kama msafr vifungo vya mimba nk.

4.nuksi ya njiani  5 nuksi ya kukosa radhi ya wazazi

NUKSI YA INAYO LETWA NA JINI

Yaweza kutokana na:-

1 jini ankis 
2 jini ashki (Ummu subian) 
3 pia mwanandoa kuwa na jini mahaba aina yeyote

Kuhusu nuksi ya mwanandoa kuwa na jini mahaba, ni pale ambapo mambo huharibika baada ya kuingia ndani ya ndoa na hali kabla ya ndoa mambo yalikuwa vizuri

Ila nuksi ya kukosa radhi ya wazazi basi la hii haina dawa Lakini hizo zilizo bakia zina dawa Nuksi ya njiani hiyo hupatikana kwa kukojoa katika miti ya matunda yanayoliwa Ima katika kujisaidia kwenye madimbwi ya maji au mitaro ya maji machafu.

Kila nuksi ina aina yake ya dawa
Kuna visomo kuoshwa kusomewa kutoa sadaka nk
Fuatilia post zilizopita 

Muhimu kuna nuksi pia inasababishwa na hasdi kijicho. Kila tatzo nililoeleza lina njia yake ya kumaliza fika kwa wataalam karibu nawe au niachie ujumbe inbox

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI