FAHAMU KUJIFUSHA KUHUSU CORONA



NIMEPOKEA maswali mengi sana nikiulizwa kwanini hutuelezi tunajifushaje kuhusu corona wakati Mheshimiwa Rais ameruhusu tujifushe kama kinga dhidi ya janga hili. Nimeona nisijibu mmoja mmoja niweke somo kila mmoja ajifunze ila tahadhari ukiona haikufai usisumbue wenzio wanaohitaji.

Kama n mfuatiliaji mzur wa darasa zangu huwez kusumbuliwa na janga hili maana nishafundisha sana jinsi ya kukinga mapafu na kumaliza ttzo la mafua na kifua ila wengi wenu mnashupalia habari za mapenzi na mivuto vtu vya afya hamvizingatiii

Ni vpi unaweza kujifusha
Hapa tunazungumzia kuhusiana na nyungu kwa watu wa vijijini ukiupata mti unaoitwa mtambaa na nyoka ni majani fulan yanatambaa juu ya mti mwingine hoatikana sana eneo la makaburini huu ni mujarabu utachanganya na majani ya mkaratusi na majani ya mvinje na tunda zake


Kwa watu wa mjini tafuta vtu hv


 Tangawizi,  limao , mchaichai na manjano majani ya muarobaini na majani ya mvumbasi

chemsha sanaaa usifunue kabisa kisha jifunike shuka mvuke muumeze uingie kooni na mwili utoke majasho mengi haswaaaaa kuua hao bakteria mwilini 

Mtumie sambamba na dawa za kunywa

Mnatengeneza chai zenye mchanganyiko wa Limao tangawizi Kitunguu saumu Asali
Mnakunywa ikiwa na uvuguvugu 

Kama utaweza kupata ile niliyoeleza kwenye post ya mvinje kwa kunywa ndio yenyewe mujarrabu isome kwenye makala ya mvinje nilizungumza kuhusu mapafu watu waliotumia wamenipa mkono.

Matumizi wakubwa kikombe kimoja watoto chni ya miaka 15 kikombe cha kahawa chini ya miaka 5 vijiko viwili vya chakula
Fanyen hata mara mbili au tatu kwa wiki huku tukiendelea kumuomba mungu

Hii pia ni dawa kwa wenye matatzo 

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI