DAWA YA UKOJOZI KITANDANI KWA WAKUBWA NA WATOTO
KUKOJOA KITANDANI CHANZO NA TIBA YAKE
AWALI ya yote napenda kuwakumbusha kuwa nina jumbe nyingi inbox yangu hivyo nitaendelea kuzijibu kidogokidogo kuwa na subira ujumbe wako utajibiwa na wale wanaohitaj group la whatsap link ipo chini ya makala.
Kuna ukojozi wa aina mbili ambao huwafanya watoto wadogo na watu wazima kujikojole kitandani. Umri wa kujua kama mtu ana tatizo la kukojoa kitandani ni kupita miaka sita. Kuanzia miaka sita kuja chini hapo ni tatzo la malezi na sio tatizo la kiafya.
Unatakiwa mtoto usimzoeshe kumvalisha pempas wakati wa kulala humfanya alilax akiwa usingizin hvyo tendo la kujikojolea huwa zur kwake iwapo utamvalisha nep itakuwa inamuasha akijikojolea hvyo humpa karaha humjengea woga.
Aina ya kwanza ya ukojozi ni ukojozi wa mishipa hii hata wakubwa huwatokea lakini si mara kwa mara unaweza ukalala ukaota unakojoa alaf ukakojoa kweli, tendo hili kitaalam halina madhara. Wakat ukiwa umelala na kibofu kikajaa mkojo na kinahtaji uchafu utoke ili wewe binaadam usidhurike kibofu kinapelekea taarifa kwenye ubongo na ubongo uruhusu mkojo kutoka pasina wewe binaaadamu kuamka yaan hauhitajuki kusumbuliwa wakat umepumzika.
Ila endapo itakuwa ni tatzo la kujirudia basi ni tatizo la mishipa dawa yake unaweza paka mafuta ya zaituni kichwani kabla ya kulala kwa siku 21.
Pia unaweza kuchemsha ndevu za mahindi kwa siku 7 ukawa unakunywa kutwa mara mbili. Zoezi la mwisho tafuta kijiti cha kuokota nenda kakifunge kwenye mpapai dume kwa siku saba kisha kakifunge afungwe mgonjwa kwa siku saba kiunoni kisha munfungue tatzo litaisha.
Hiii wakat unaenda kufunga kijit kwenye mpapai mgonjwa atakojoa sana yaan itazd kupta mara ya kwnza hapa ndo atakuwa anatoa sumu.
Ukojozi wa pili ni ukojozi wa majini mgonjwa atakuwa anaota anatishwa au kukimbizwa au ndoto za kutisha kisha ndo hukojoa hapa dawa yake umtafute mtaalam amuangalie ni jini gani anahtaji nini km wakutolewa atolewe mgonjwa ataacha kukojoa
Pia endpo utatumia dawa nlzoztaja mgonjwa hakupata nafuu ujue ni ukojozi wa majini.
Mmbo ya kuzingatia mpapai dume ni mpapai usiozaa unatoa maua marefu.vtu nlvyotaja vnaoatkana maduka ya dawa asili.
https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6
Comments
Post a Comment