FAHAMU FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA MBUYU KATIKA AFYA NA TIBA ASILI

FAHAMU FAIDA NA MATUMIZI YA MTI WA MBUYU KATIKA AFYA NA TIBA ASILI

BAADA ya kuongelea kuhusiana na mkuyu sasa tuangalie mti wa mbuyu. Mbuyu ni miongoni mwa miti mikubwa duniani na ndio miti inayoongoza kwa umuhimu kulingana na ukubwa wake. Mti huu hutumika kwa shughuli nyongi za kichawi na tiba na afya kwa ujumla.

Kichawi hutumika kuhifadhi vitu vyao kama ungo wa kusafiria. Chuma ulete. Vitu vya kuadhibia watu. Huhifadhia misukule pia wakati mwingine hutumika kama eneo la makutano vitu hivi. Ukiosogelea mbuyu wenye mapango ukithubutu kuchungulia ndani iwapo macho yako mazuri utaona vtu vya ajabu na vikubwa vinavyofanyika hiv sitaviongelea.

Pia mbuyu hutumika kufungia watu vifungo kama eneo unaloish kuna mbuyu mkongwe angalia utaona misuli imepigiliwa na vikaratas au bati ujue kashapigwa mtu lock hapo kufanikiwa mtihani.
 
Tuangalie faida za kiafya
Majani ya mbuyu ule mchanga hutumika kama mboga hasa upande wa pwani watu hula sana. Ulaji wa mboga hii inaweza kukupa faida zifuatazo, hutibu vidonda vya tumbo huongeza nguvu mwilini na kupandisha cd 4, hutibu maradhi sugu ya taifod lakn pia huongesha akshi katika tendo la ndoa.

FAIDA ZA MAFUTA
mafuta yanatibu maradhi ya ngozi, kuondoa makunyazi michirizi, mabaka na kumaliza muasho unaweza ukaogea sabuni ya ubuyu na kupaka mafuta yake.

JUISI YA UBUYU unaweza kuitumia kama busta vile hata alkasusu mujarabu ile yenyewe kabisa ina mchanganyiko wa unga wa ubuyu.

Magome yake hutumika kama tulizo la maumivu ya kichwa au mtu aliyekuwa anaaumbuliwa na jini huweza kumtuliza kwa kutumia magome yake angalia yale makavu au yaanike juani kisha yasage upate unga wake utatumia kwa kujifukiza 
Hii hata wale wanaotembelewa na vtu mwilini hutuliza hii ila haitoi jini inatuliza 

Mtoto aliyebemendwa unaweza ukachukua magome ya mti huu ukachanganya na mti wa mpingo mabome ukaweka kwenye maji moto ukatumia kumkanda mtoto kwenye viungo huku ukitumia majani yake kwa kumlisha km mboga au kunywa 

Mti huu hutumika kupumbaza watu kimapenzi pia maua yake kwenye shughuli za malimbwata pia hutumika hutumika kwenye shughuli za utajiri na wale wanaotaka kumiliki majinj pia kuna njia za kuwakamata kwenye mti huo
Masomo haya utayapata kwenye group la whatsap 

Una tatzo lolote la linakusumbua unahtaji msaada niachie ujumbe inbox
Maswali kuhusu mada uliza hapo chini vitu nilivyosema nitavzungumzi kwenye group sitajibu maswali yake hapa.

Link ya group la whtasp ukiingia utapatiwa utaratb wa malpo group sio bure

https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI