FAHAMU KUHUSU MVUMANYUKI, MVUNJA HUKUMU MTISA DISEMBA FAIDA NA MATUMIZI YAKE



UNAFAHAMIKA kwa majina mengi moja kati ya majina makuu ni mvuma nyuki, mvunja miamba mtu wa tisa disemba nk.

Mti huu kila inapofikia mwez disemba bimaana mwez wa 12 hutoa mdudu ambaye kwenye mabawa yake anakuwa na namba 9kila bawa. Sababu hyo pia mti huu huitwa 9 disemba.

Unamaajabu mengi makubwa lakini leo ntazungumza kwa uchache faida na matumizi katika dawa asili. Mti huu kila unachokiona kina faida. Kuwa makini katika usomaji vtu ninavyosema n vyakitaalamu sina maelezo navyo ni ufanyaji tu wa kazi kwenye matatizo hayo.

Kuutia mwili nuru

Ukichukua maua ya mti huu ukachanganya na machicha ya nazi iliyodondoka yenyewe sio kuanguliwa. Yaan namaanisha nazi ya mdondo unaikuna ile nazi yake unachanganya na maua ya mti huu na donge la karafuu unalisaga ule unga wake utachanganya pamoja

Utachukua kitambaa cheusi na cheupe. Na mkeka au busat. Anza kutandika mkeba au busat chini kisha tandija kitambaa cheupe chini kiwe kikubwa cheus kiwe kidodo 
Kaa chini ukiwa huna nguo tumia huo mchanganyako kujisugua mwilini kwako huku ukinua mambo yako 
Mfano mm fulan bin fulan najisafisha na kuutia mwili wangu nuru nipendwe kila nitakae kutana nae utazungumza utakacho

Kile kitambaa cheusi utaumia kujisugulia. Jisugue hasa kam wali wanavyosuguliwa ukimaliza kusanya zile taka zako usizishike kwa mkono funga kile kitambaa cheupe kikiwa na uchafu wake na kitambaa cheusi ndani ukimaliza katupe jalalani sema natupa mizigo yangu hapa kama zinavyotupwa taka na watu kuondoka wakiwa wasafi nam kuanzia sasa niwe msafi

Kwa kuvuma
Chukua mzizi wa mti huo uliokauka tafuta jiwe kongwe la zamani nenda sugua ule mzizi utoke unga, ukimaliza chukua huo unga ugawe mara mbili moja weka na mafuta ya naz nyengine changanya na dawa inaitwa muharaka mafuta tumia kupata hyo nyengine utatumia kuchoma.

Biashara 
Ukitumia maua yake kuchoma kwenye biashara inaleta mvuto ndani ya siku ile uliyochoma

Sasa ukihtaj kazi hasa ya mvuto wa biashara ya kuikinga.


Utengenezaji wako ni wakitaalam kidogo kinachukuliwa kijiti cha mti huu kilichokauka ndicho kinatumika kuandikia talasimu maalumu ya mvuto wa bishara zinakuwa tarasim za aina nane 
Saba za kuchoma moja yakutundika eneo la bishara nitzungumza kwa upana kwenye group la whatsap kwa uhtaji dawa hii nifahamishe

Mdudu wa mti huu ni hatari ukimpata ukapata na ua alilokuwa amekaa unakuwa na bahat mara dufu ukimpata njoo nae ofisin shughul yake n kubwa.

Pia mti huu huitwa mvunja hukumu unaweza kumaliza kesi, unatumika kwenye shughuli za mapenzi una mambo mengi  pia njia zake ni za kitaalam zaid.

Facebook page mtabibu ASILI TZ

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI