NGEKEWA MWENYE NGEKEWA ZAKE NA DAWA ZA NDERE

NGEKEWA MWENYE NGEKEWA ZAKE NA NDERE

BAADA YA KUZUMZA KUHUSU PETE ZA BAHAT NA MAJINI LEO TUFAHAMU KUHUSU NGEKEWA

KAMA uliwahi kusikia kuhusiana na ngekewa basi leo nataka nikufumbue masikio vzur. Ngekewa ni mnyama aishie porini moja ya tabia kuu zake ni kupendwa na wanyama wenzie. Anapokaa ngekewa hukuta kila aina ya wanayama na ndege na hawamdhuru.


Kwa maana hiyo ngekewa ni mnyama ambaye anapendwa na kila mnyama alie mbugani hali hii inasababisha vtu vyake kutumika kutengenezea dawa za mivuto.

Mnyama huyu hupatikana kwa msimu na kumuona kwake ujue una bahati sana anaishi kwenye majani marefu kandokando mwa mito au maziwa makubwa.

Dawa za ndere
NDERE zmegawanyika katika makundi mengi kulingana na uhitaji wako ila mara nyingi ngozi ya mnyama huyu ndio hutengenezewa ndere. Manyoya yake huchomwa na kutoa unga kisha huchanganywa na dawa nyengine za mivuto huchanjwa mtu ambaye anahtaj ndere ya mapenzi basi atafukuziwa na kila mtu na kila atakayeongea nae atampa atakacho.
Pia unaweza kutembea nayo kwwnye walet mkoba au mfukon kwako kwa wanawake hutengenezewa kwa mfumo wa shanga huvaa kiunoni wale wadada watembezi wanafahamu hii kitu na maajabu yake.

Kuna ndere za biashara ambapo hutumika ngozi yake kwenye utengenezaji wake hupewa mtu na kuhifadhi sehemu yake ya biashara 


Kupata ufuasi
Mara nyingi mnyama huyu anapotembea hufuatwa na wanyama wengine nyuma. Mkia wake hutumika kutengeneza dawa kwa watu wanaohitaji wafuasi mfano wasanii, wanasiasa wanaofanya kazi za kutembea na kuongea mbele za watu.

Kiufupi mnyama huyu hutengenezewa dawa nyingi za kuvuta wapenzi kuvuta mali nk nitaeleza kwa urefu kwenye group la whatsap ila iwapo unahtaji dawa hizi niachie ujumbe

Anapokanyaga mnyama huyu na wewe ukakanyaga kama kazi zako ni za kusafiri utapata safar mpaka utazichoka


Ukichukua majani aliyelalia mnyama huyu ukayaanika ukamuwekea mtu sehm anapolala au kwenye maji ya kuoga kitakachotokea huyo mtu atakuwa hana kauli kwako iwe bosi mpenzi nk.

Nmejitahd kuelezea vnavyoelezeka  visivyoelezeka vnahtaj utaalam 
Mambo muhimu vnavyotumika n vtu vya ngekewa vnapatakana kwa wataalam maeneo mnayoishi 

Kwa shida yoyote +255621442936

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI