KUHUSU KITUNGUU MAJI TIBA NA KUREJESHA MPENZ

KUHUSU KITUNGUU MAJI KATIKA AFYA NA KUREJESHA MPENZI.

Leo nitaonglea faida za juic ya kitunguu maji kisha nitagusia kidogo katika kurejsha mpenzi. Masomo haya huwa tunaeleza kwa upana kwenye group la whatsap kila ifikapo saa mbl usku.

Chukua kitunguu maji kikatekate vipande vidogo kisha saga upate juisi yake. Hakikisha huwek maji hata kidogo wakat na baada ya kusaga. Chuja iwe saf makapi katupe soma makini matumizi yake.


Juisi yake kama utapaka kwenye nywele zako kisha baada ya nusu saa ukaosha na maji bard itakuza nywele zako na kuzifanya kuwa nyeus pia hukmbiza mvi.

Ukinywa kikombe cha kahawa kuna uwezekano mkubwa wa kukinga na kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo.

Ukinywa nusu saa kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume kuna uwezekano mkubwa wakuhimili tendo hilo kwa muda mrefu zaidi ya kawaida yako.

Ukiweka matone matatu sikioni humaliza maumivu ya sikio na kusafisha uchafu uliopo sikioni

Ukichukua juis hyo ukachanganya na asili na mafuta ya zaitu uwiano sawa ni tiba ya maradhi ya ngozi na michiriz mwiln

Ukichukua kitunguu ukakifuna ina uwezo wa kuponesha ugonjwa wa meno na kuua vijidudu

Ukikata kitunguu ukakiweka waz wadudu kama nzi mbu mende hukimbia eneo hilo

Kuhusu kurejsha mpenzi
Chukua kitunguu kikubwa chukua karatas nyeupe na peni nyekundu kitambaa cheupe na sindano tatu kubwa za kushonea nguo.
Andika majina ya huyo muhusika yawe matatu lake baba na mama kwenye hyo karatas kutoka kulia kwenda kushoto
Pasua kitunguu vipande viwili ikate ile karats iwe kipande kidogo pale tu kwenye majina kisha iweke katikat ya kitunguu kisha vibane vile vipande viwili viungane funga na hcho kitambaa cheupe zungushia kitunguu chote.

Chukua sindano moja toboa mpaka itokee upande wa pili kila unapotoa sema mm fulan mzaliwa wa fulan taja jina lamama sitoboi kitunguu natoboa moyo wa fulani mzaliwa wa fulani huko alipo moyo wake uripuke aniwaze mimi tu utamaliza maneno unayotaka kila sindano unanuia mpaka ziishe.

Ukimaliza toka nyumbani kwako kakitupe sehemu ya mbali na kwako hakksha watu wasikuone.



Uspopata majb ndan ya week fka kwa wataalam karbu nawe tatzo n kubwa




Kwa makaka pitia ukurasa wangu mtabibuasilitzfb

Lnk ya group la whatsap ukiingia utapewa utaratbu wa malpo

https://chat.whatsapp.com/FliiJufC9CpCcr0qnmMDh6

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI