UGONJWA WA CHANGO KWA WANAUME NA WANAWAKE

Asilimia kubwa watu hufahamu kuwa chango la uzazi ni ugonjwa unaowapata wanawake tu. Sivyo hivyo ugonjwa huu huwapata mpaka wanaume.

Tunapozungumzia ugonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni.

Wanaume hupata wakiwa na umri mdogo zaidi ni moja Kati ya aina za ngiri kwa wanaume. Kwa upande wa wanawake wao hupata pindi wanapovunja ungo.

Ugonjwa huu husumbua zaidi kuanzia umri wa miaka 16 na kuendelea. Ukiwahi kuitibu haraka hupona na kukuepusha na madhara utakayoyapata usoni.

Baadhi ya madhara makubwa ya ugonjwa huu ni utasa kwa wanawake na kwa wanaume huua nguvu za kiume.

Tuangalie baadhi ya dalili na nadhara ya ugonjwa huu kwa pande zote mbili.

Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha dhakar vizuri. Ni vigumu kumpa mimba mwanamke japo co wote.

Unaweza ukawa na ngiri ukaona dalili zote ila ukaweza jumps mwanamke mimba.

Mda mwingine dhajar inanywea na kuwa ndogo zaidi mngurumo wa Tumbo nk.

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-

Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi Kupatwa hasirakali/jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke. Kuchukia kushiriki tendo la ndoa Kupata uvimbe kwenye kizazi Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wakat mwingine huhisi Maumivu km unachanwa au kuchomwa sehem ya haja kubwa.

Madhara yake kwa mwanamke

Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba, anaweza kuwa tasa kabisa. Kuingia na kutoka kwa mimba. Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni. Kuwa na uke mdogo sana wakat mwengine kuwa mkavu ukeni.

Kukosa hedhi au kupata kwa mfululizo.

Uvmbe kwenye mji wa uzazi

Wakati kwa mwanaume utakosa uwezo wa kubebesha mimba kabisa. Dhakar kusinyaa na kuwa ndogo. Kuwa na manii mepesi.

Tatizo hili linatibika chakufanya ni kutafuta tiba sahihi kulingana na tatizo lako na unaweza ukapina na ukaendelea na shughuli za uzalishaji.

Kwa kutuliza maumivu tafuta tura zianike saga upate unga tumia kuweka kwenye glass ya maziwa moto vjko vwl fanya unapokuwa na maumivu kwa wanawake

Pia waweza tumia mizizi yake kwa kuchemsha na kunywa pindi unaposikia maumivu ila hii huwafaa sana wanaume.

. Kwa mahitaji ya dawa 0621442936 na ushauri 

Comments

  1. Ninaomba jamani nifahamu hilo duka labda huenda mkatatua tatizo langu ninasumbuliwa na change pia nauvimbe kwenye kizazi ninaomba nipate no zasm

    ReplyDelete
  2. Je huambukiza kwa kufanya tendo la ndoa kwa mwanaume?

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI