NDOTO ZA KUWAONA WATU ULIOHITILAFIANA NAO NDOANI, MAHUSIANO, KAZ MAANA NA TAFSIRI ZAKE
KARIBU tana kwenye ukurasa wa Mtabibu ASULI TZ. kwa uchambuzi wa nyota, ndoto, ufafanuzi wa miti, taraaimu na mambo mengi yadunia usiyoyafahamu. Leo nakueletea uchambuzi wa ndoto za kuwaona watu uliohitilafiana nao na kuchana wakija ndotoni wanaleta ishara gani.
Kilichonisukuma kuyandaa makala haya baada ya kupokea maswali mengi yakiwa na mlengo moja yote yakiukuza kuhus mtu uliyeachana nae kisha akakujia ndotoni inakuwas na ishara gani. Ndoto hutafsiriwa kwa mazingira ya aliyeota alikuwa kwwnye mqzingira gani lakini pili mazingira yenyewe ya ndoto yapoje.
Niliwahi kuzungumza kuwa ukimuona mwenziwako ndotoni anakusaili au anafanya mipango ya kukusaliti kuna ishara mbili noja itakuwa ni mawazo yako dhidi yake lakini pili kuna usiri mwenzio anaufanya kuna kitu anakifanya wewe ukijui yawwza kuwa biashara, kanunua kitu hujui aua ana mpenzi mwingien. Hili swali naulizwa sana majibubyake ni hayo.
Tukirud kwenye ndoto za leo niyazigawa katika mafungu matatu kuzitafsr. Ndoto hizi zina maana pana sana hasa kwa muotaji au mtu anayeisho na muotaji. Ikiwa uliwahi kuwa na mtu mkaachana kisha ukapata mtu mwingine huyu uliyempata akimuota yule wa kwanza kuna mazingira yatakiwa yaangaliwe ila asilimia kubwa huwa ni ndoto za mawazo.
Kundi la kwanza ni ndoto za mawazo ikiwa uliachana na mtu kwa lengo la kwenda kuishi kwa mtu fulan au kuna mtu alikulaghaia atakupa kitu fulan alaf ulichokiwaza hakikuwa. Kisha yule uliyemsaliti Mungu akamnyooshea ni lazima utapata ndoto juu yake. Ubongo wako bado utabaki na taswira yake kutokana na wema aliokufanyia. Kuna wngine huachwa na watoto alaf huduma zikawa finyu unahangaika sana kwa madawa kumrejesha ila mambo hayawi wewe kumuota huyu mtu ni kawaida na ndoto yako haina tafsiri ni ubongo tu unakufariji kutokana na mahangaiko unayoyapitia.
Kundi la pili ndoto zinazoashiria kifuatiliwa hapa utulize akili kidogo ikiwa utaota mtu aliyekuacha ana kubembeleza au ana mazungumzo ya kwamba mrejeane kuna mambo mawili. Jambo la kwanza inaashiria kuwa kuna vtu vinafanyika ili mrejeane aidha anatafuta suluhu kwa wazee au anafanya madawa. Ishara ya pili anaweza asiwe anafanya dawa lakini kichwani mwake bado unaishi na anahitaji hiyo suluhu. Ila ndoto hizi huwapata wale watu wasafi wapo karbu na Mwenyezi Mungu.
Kundi la tatu ni ndoto zinazoashiria vifungo au mkwamo wa jambo. Hapa ikiwa utaota mambo yale ya zamani mliyokuwa mkiishi pamoja na nyumba mliyokuwa mkikaa, chumba kilekile kila kitu vilevile hakuna mabadiliko yoyote. Hii ni roho ya kukurudisha nyuma kimaendeleo na inaingia kwenye alama za vifungo vya maendeleo.
Uchambuzi wake hapa unatofautiana na wajuu hakuna jambo jipya atakaloongea ndotoni ni yaleyale ambayo mlikuwa mkiyaonge zamani wakati wa mapenzi yenu. Kama mlikuwa mnapenda kutembelea pahala fulan basi utapaota hilo eneo hizi ni ndoto za kurudi nyuma kitiba zinaingia mlango wa vifungo vya kukwamisha jambo fulani.
Na ukiwa unaota ndoto hizi mambo yako hayataenda sawa. Ukipata mtu hamtadumu ukiwa na ahadi hazitatimia. Jambo muhimu sio kwamba yeye amekuroga, hapa kuna mambo mawili aidha uliachana nae kwa kumkashifu kisa hana kitu fulan hivyo alikuacha akiwa na kinyongo na alimuomba Mungu amlipie hii tunaita laana na mara nyingi huwapata waliovunja ndoa sio uchumba.
Ikiwa mtoto ambaye unaishi nae baada ya kutalikiana akimuota babae au mamae tunachoangalia ni mazingira ya ndoto umri wake na muda walioachana. Yaan hapa kwa watu mtakaouliza maswali yanayohusiana na watoto kuwaota wazazi ambao hawaish nao swali liwe na umri wa mtoto na kipindi alichoachwa mfano utauliza swali lakobkisha utasema mwanangu ana miaka 18 aliachwa ana miaka saba wakat huu ushaandika maelezo yanayojitoshelea sio kuukza tu mwanangu kamuota babaake na tulishaachana weka maelezo ya kutosha.
MAMBO YA KUZINGATIA NDOTO NI ISHARA NITAKACHOKITAFSR NI ISHARA UKIUTAKA UNDANI NI MASUALA YA KUANAGALIA NA KUUPEKUA UNDANI. ASIYEKUMBUKA ANACHOOTA AU HUOT KABISA NI MOJA YA ISHARA YA VIFUNGO.
maswali kuhusu ndoto yaulizwe hapa chini inbox utachangia gharama
+255621442936
Whtsp group ni la malpo
Comments
Post a Comment