FAHAMU KUHUSU MVUTO WA MWILI KUTIMIZIWA HAJA



UHALI gani mpenzi mfuatiliaji wa darasa zangu kupitia ukurasa huu wa Mtabibu ASILI TZ. Leo tutazungumzia kuhusiana na kuupa mwili mvuto  katika mambo yako unayoyakusudia kuyafanya. Wapo wengi huulizia nataka mvuto sasa soma kwa umakini hii makala ikufumbue macho na pili utakuwa balozi kwa wengine wenye shida yako maana makungwi na wataalam ni wengi siku hizi kuliko hata wagonjwa wenyewe.

Kwanza yatakiwa ufahamu kuna tofauti kati ya kutoa nuksi na kuupa mwili mvuto. Watu wengi wanachanganya kuhusu nuski na mvuto. Lakini si kila kinachopostiwa ni chauongo ila asilimia kubwa ni dawa za kuupa mwili nuru au mvuto na si kutoa nuksi. Niliwahi kuzungumza mara kadha kuwa nuksi zina uingiaji wake na utoaji wake baada ya mtaalam kuangalia ulivyoipata yaan aliyekutenda kaweka vitu gan, kuna husda jana nmetoka kuirudia makala yake na nikazungumza na utokaji wake.

Mfano mtu aliyefungwa kwenye kabur la zaman lilioshauliwa akafungwa milango yote yakutoka ridhki uzazi alaf unakuta sehm kumeandikwa kaoge mpendwa mpendwa wakat aliyeroga katafuta vitu na kapoteza muda. Kwa hyo kikubwa kwenye nuksi ni kujua tatizo na kulitatua. Ukishatatua tatzo au wewe huna tatizo kwenye mwili wako wala nyota yako fuata maelezo haya utakuja kunikumbuka kwenye maisha yako. Tafuta peni na karakas na fauata maelezo hapa chini.

Nenda sehem wanayopend kucheza watoto vizia vile vijiti wanavyochezea itapendeza zaid kama utakipata walichokuwa wanakigombania. Kama ikiwa ni kibichi kianike mpaka kikauke kikiwa umepata kilichokauka ni kizur zaid. Nenda sokon okota ganda la ndizi iliyomenywa kisha ganda likatupwa likiwa limekauka au bichi utalianika nenda pwani wakati maji yanatoka chukua maji lita moja kisha angalia kuna mchanga unakuwa kama unawaka fulan wakati maji yakiwa yanatoka una asili ya kumeremeta ikiwa ni mtu wa kutembea Pwan utakuwa ushakutana nao.

Nenda duka la dawa nunua misk nyeupe, ngekewa orijino, mvumo, muharaka, muosha fedha, mpendwa pendwa,habbat nuks, nyota ya jaa na nazi ya mdondo iliyoanguka yenyewe. Upate na marashi jabbali kisha upate maua ya muasumini na maua ya mvuma nyuki. Muasumini ule unaotumiwa na wazee kupambia harufu vitanda vyao, mvuma nyuki nishauleze angalia makala ziliopita. Hivi vtu viwil maua ya asumini na mvuma nyuki havipo madukan.

Ukishavipata hivyo kwanza vunja nazi kawaida kabisa kisha maji uyaweke kwenye bakuli kunia nazi humo humo kwenye maji kisha weka maua ya asumin na maua ya mvumanyuki nayo yapo kama machicha kisha utaweka na karafuu ya unga utachanga mpaka vichanganyike kisha utaviacha kwa dakikia saba. Ingia ndani peke yako vua nguo zote ubaki mtupu uweke chini kanga nyeupe mpya au kitambaa cheupe alaf ukae kwa juu jisugue mwili mzima na hayo machicha huku uzingumza kuwa nautia nuru mwili wangu kama vile naz inavyooendwa kwenye chakula na mm nipendwe kama nyuki wanatengeneza asali bila maua na mm watu wasifanye yao yakiwa yananihusu bila kunishirikisha jisafisha mwili wote hakikisha kila kona makwapan kwa babu kwa bibi kichwani.

Ukishamaliza huzo taka zifunge na hicho kitambaa au kanga kisha katupe sehem watu wanakutana sana stend sokon nk mwaga kitambaa au kanga tafuta mtu mpe usikitumie. Ukimaliza hivyo litafuata zoez la kuoga kwa siku tatu sio choon na ni asubuh na jion. Utaweka muosha fedha, nyota ya jaa, mpendwa pendwa na habbat nuks utavichanganya pamoja utakuwa ukiweka kidogo kwenye maji ya kuoga na utaweka na marashi kidogo na yake maji ya bahari. Hii ni ya kuoga na ni siku isiogewe choon ikiwa huna sehem ya kuoga asubuh basi koga usiku tu.

Zoez la mwisho utatwangwa au kusaga kile kijiti ulichokipata kwa watoto upate unga wake kisha utachanganya na unga wa ngekewa utaweka na muharaka pamoja na mvumo na unga ule ganda la ndizi utakuwa ukichoma kwa kujifusha kwa manuizi maalumu unayoyataka upendwe ufuatwe kama ngekewa, uvume mambo yako yaende haraka ugombaniwe kwenye mambo yako.

Kisha ule mchanga uliouchukua baharini utaweka na misk na ngekewa kidogo ndan ya hizo siku tatu ukiwa unaoga na kuchoma hizo dawa asubuh jua likitoka simama kuelekea barara kuu hapo nyumba kwako usimame kuelekea sehem ilpo barabara kuu ya mkoa au wilaya kisha chukua huo mchanga uliouchanganya sema nilikuchukua kula baharini kwa kazi yangu lakini bado nikikushusha utaungana na mchanga mwenzio basi nami hata kama nikikosa kikubwa basi kidogo cha kunifaa nisikose kama unavyobadilika kulingana na mazingira namm watu wasiniozee kiubaya.

Nimejitahd kufupisha maelezo ili makala isiwe ndefu ikakuchisha kitu cha msingi ni kuandika kwwnye karatas vtu nilivyoviorodhesha ili kuvitafuta ikiwa kama unataka kuifanya hiyo kazi.

MAMBO YAKUZINGATIA KILA KITU NIMEELEZA KINAPOPATIAKANA NATUMAI MASWALI SIJJI NTAPATA WAPI MCHANGA NMEELZA. IKIWA ULPO HAKUNA BAHAR MAJI YANAPATKANA MADUKA YA DAWA ASILI MCHANGA UTAAGIZA. NAREJEA TENA KAMA UNA NUKSI ISHUGHULIKIE KWANZA NDO UFANYE ZOEZ HILI

Maswali kuhusu mada uliza hapo chini

UNA TATZO LOLOTE UNAHTAJI DAWA USHAUR kikazi, mapenzi, biashara, kesi, nguvu za kiume, uzazi nk niachir ujumbe inbox

+255621442936

Whtsp group ni la malipo

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI