NDOTO ZA KUCHEKA, KULIA MAANA NA ISHARA ZAKE


TENDO la kucheka ndotoni huashiria furaha aipatayo muotaji. Wakati kulia ndotoni huashiria huzuni, kinacholeta picha halisi ya ndoto ni mazingira ya ndoto na hali ya muotaji wakati huo wa ndoto. Anayekuletea uchambuzi huu na ndoto siku ya leo Alhabib Mtabibu ASILI TZ.


Mara nyingi ndoto huja kwa mazingira ya muotaji wakati huo. Mfano mwanamke anayetaka kuolewa aliyekuwa akisubiria ndoa kwa hamu ikafikia pahala keshatolewa kila kitu anasubiria ndoa tu huyu njozi zake zitakuwa za furaha wakat wote hata kucheka usingizini ni jambo la kawaida.

Pia mfano mwengine mwanamme ambaye mipango yake haiend huyu kuota huzun kulia ni kawaida kwake, kuota unakimbizwa, upo shulen kwenye mambo ya kutia huzun, kuachwa na usafr ndoto za ajali ni hali ya kawaida kwake na kinachotakiwa ni kuwa makini na kile unachokiota kisha ukakifanyia kazi ikiwa kinahtaji ufumbuzi.

Ukiota unacheka mwenyewe utapata furaha au taarifa itakayokupa furaha moyoni mwako. Ukiota watu wanacheka kuna taarifa ya utaletewa na watu za kufurahisha juu jambo usilolikusudia. Ukiota watu wanakucheka utapata taarifa au jambo la aibu litakukumba na kukufedhehesha mbele ya watu. Ukiota watu wanakushangilia ishara ya utukufu nabutafanya jambo litakalowafurahisha na kuwapendeza watu kwa ufupi jambo lenye manufaa.

Ukiota watoto wanakucheka ni ishara ya kuhadhirika tena pakubwa. Ukiota watoto wakushangilia na kukumbatia ishara ya kupanda daraja la imani kwa watu wako au utuku kama unagombea kitu basi utapata bila shaka itahitajika sadaka kidogo. Ukiota upo shule umefanya vyema watu wanakufurahia ishara ya kupanda kimaendeleo hasa eneo la kazi akili na uwezeshaji.

Ukiota unalia ni ishara ya huzun utapokea taarifa isiyo nzuri kama misiba ajali kuunguliwa nyumba kutaoeliwa nk pia inaashiria maradhi. Ukiota watu wanalia utapokea taarifa kutoka kwa watu ambayo si nzuri kwako. Ukiota watu wanakufuata kukulilia ni ishara ya kuwa unatakiwa usaidie watu wenye shida pengine huwa unapuuza shida za watu ambao una uwezo wa kuzitatua. 

Ukiota watoto wanakuzomea si ishara nzur angalia imani yako na matendo yako mbelr ya watu wako. Watoto wakikulilia ni ishara ya kuwa unatembea na matatizo ila mwenyewe hujijui. Ukiota unafanya jambo kisha mwishowe ikatokea huzuni au kulia kinachotafsriwa ni tukio lenyewe moja kwa moja lakini pia huzun itatokea mbele yake.

Mfano umeota upo shule ukafeli mtihan au ukafanya kosa kisha ukaadhibiwa na mwalimu baada ya kuadhibiwa ukawa unalia kwa huzuni baada ya kulia wakaja wanafunzi wenzio wakawa wanakuzomea na kukucheka. Ndoto hizi zikiwa zinajirudia hiyo is ishara nzuri inataafsiri una kifungo kikali cha maendeleo ya maisha pia utapata habari ya kuhuzunisha juu ya hicho kifungo chako.

Mathalan umepanga nyumba basi utahashirika kwa wenye nyumba kwa kushindwa kulipa pango. Ikiwa una mke asiye simile basi anaweza kukutolea siri zako kwamba wewe kwa sasa ni apeche alolo huna kitu jikon kalala paka. Cha nwisho heshima yako itashuka sababu taarifa zako zitakuwa zimesambaa.

MAMBO YA KUZINGATIA KUNA ISHARA YA MSIBA NIMEILEZA HAPO JUU HUWA HAIZUILIKI NI MIPANGO YA MUNGU. MAMABO MENGINE YANATIBIKA IKIWA UTAWAHI KUJUA CHANZO CHA TATIZO NA KUKIFANYIA KAZI MAPEMA. MASWALI KUHUSU NDOTO ULIZA HAPO CHINI INBOX UTALIPIA GHARAMA.

una tatzo lolote la nguvu za kiume mapenzi kazi biashra nyota kesi bawasiri nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI