FAHAMU KUHUSU ASALI YA MWAROBAIN TIBA NA DAWA KWA MARADHI YA NGOZI



JANA niliongelea kuhusiana na Mti wa Mwarobain nikaeleza faida zinazopatiakana katika majani yake. Pia nikaorodhesha magonjwa na jinsi ya kuitengeneza dawa ili iwe tiba. Katika ufafanuz wa awali niligusia kuhusiana na asali muarobain nikasema niyauzungumza kwenye makala zijazo. Hii ndio makala ya ufafanuzi wake kwa kina.


Asali ninayoizungumzia hapa ni ule utomvu unaotoka aidha ukiukata mti wa muarobain au ukiukwangua hutoa utomvu fulan ambao ukiganda unakuwa na rangi ya asali na hiwa ina asili ya kuganda mkononi iwapo utaishika kwa kuimimnyaminya. 

Nchi zilizoendelea zinatumia asali hiyo kutengeneza bidhaa za kutumika kwwnye ngozi. Kama sabuni losheni pamoja na mafuta ya kupaka. Uandaaji wake ni wakitaalam kulingana na hitaji au malengo ya kampuni husika. Leo nitakupa faida kadhaa ya asali hyo ambayo unaweza ukaitengeneza mwenyewe nyumban na ikawa tiba.

  MATAYARISHO ILI IWE TIBA KWAKO

Chukua huo utomvu ulioganda ambayo inaitwa asali. Chukua za kutosha weka kwenye sufuria kisha bandika jikon kwenye moto wa wastan yaan moto wa kupashia vtu. Ikoroge iwe ujiuji yaan iwe laini.

Matumizi kwa mapele ya watoto mambalanga  utachanganya na utomvu wa alovera kisha utampaka mtoto pahala penye ugonjwa. Kisha anywe uji uliochanganya na unga wa kiberiti upele.

Atumia mara mbili kwa siku ndani ya majuma mawili mpaka matatu yatagemea na ukongwe wa ugonjwa. Hii hata kwa watu wazima wanaweza kutumia lakini iwe mara tatu kwa siku na uji ujazo kikombe kikubwa cha chai wakat kwa mtoto ni kikombe cha kahawa. Uji wa sembe.

 Matumizi kwa michirizi utachanganya na mafuta ya zaituni utatwanga na chumvi ya mawe ya bahar upate unga wake tia pamoja tumia kupaka eneo lenye michirizi. Iwe mikononi mapajani tumboni makalion na sehemu yoyote ya mwili.

Utakoga kwwnza kwa maji vuguvugu kisha utapaka huo mchanganyo wako. Fanya mara mbili kwa siku ndani ya majuma mawili watak unatumia mafuta yako yawe ya nazi epuka kuapaka mafuta yenye kemikali itakuwa unaiumiza ngozi kufanya kazi mbili kwa wakat mmoja.

Makovu utapaka yenyewe bila kuweka chochote nayo pia ni mara mbili kwa siku ndani ya majuma mawili. Makovu ya upareshen weka na asali ya nyuki paka kwenye makovu ya mshono.

Nmshazungumzia majani na asali yake bado magome mizizi na mti wenywe fuatilia makala zijazo au pitia group la whatsp kwa maelezo zaid.

Una tatzo lolote la uzazi, nguvu za kiume, biahsra kazi, kuuza kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whsto group ni la malpo 

Kuhusiana na majani yake soma hapo chini

http://tabibuasili.blogspot.com/2020/10/tiba-kwa-maradhi-arobain-yanayotibiwa.html

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI