LEO TUFAHAMU NAMNA YA KUTUMIA NAMBA ZA BAHATI ZA UZAWA NA ZA NYOTA YAKO KATIKA MILANGO YA MAPENZI NA NDOA.


KILA mwanadamu ana password yake ya maisha yake. Ili ufanikiwe uatakiwa uitumie vzur hiyo password yake. Leo tufahamu namba zako unavyoweza kuzitumia ili kukupa mtu sahihi na lini ufunge ndoa. Chukua peni n karatasi maana leo siku ya mahesabu. Nakusihi chukua peni na karatas unakili vtu muhimu kwako.

Kwwnye maisha kuna namba za aina mbili za bahati na kila namba zina matumizi yake. Pia zina mahesabu yake jinsi ya kupata kulingana na hitaji labmuhusika. Namba za kwanza hii ni siri yako wakati wa kuzaliwa na inatakiwa uwe nayo mwenyewe si kila mtu unaweza muambia anaweza akaharibu baadho ya matukio yako. Namba ya pili hizi zipo kwenye nyota yako ambao huwa zinatumika pia n watu wa kindi lako.

Utofaut wake ni kwamba namba yako wewe ya bahati kwa uzawa ni yakwako pekee. Wakati namba za nyota ni za kundi. Mfano nyoya Punda nikiweka nambaz zao za bahati basi watu wote wenye nyota ya Punda zitawahusu. Tuangalie jinsi unavyoweza ipata namba yako yakipekee ya bahati.

Siri ipo kwenye tarhe yako ya kuzaliwa leo tumuangalie Hamadi Ally aliyezaliwa tarhe 15 mwezi wa 8 mwaka 1989 namba yake ya bahati ni ipi. Tutachukua tarehe zake tutazijumlisha sababu zimepita mbili. Hapa namaanisha mamoja na makumi na mamia yaani namba ikiwa ni moja haijumlish ikiingia kwenye makumi na kuendelea tunazijumlisha. Kwahyo tutachukua 15/8/1989. Tutaanza na 1+5  alaf kwakuwa mwez una namba moja tutaindika 8 alaf ule mwaka itabidi tuzijumlishe zile namba zote.

Tunaanza (1+5) +8 (1+9+8+9)=.  Tutapata 6+8+ 27 = kinachofuata tutajumlisha kama zilizvyo ili tupate jibu 14+27= 41 jibu tutakalopata tutajimlisha kwa lenyewe ili tupate namba ya bahati. Tutachukua 4 +1 tunapata 5. Hamad namba yake ya bahati ya uzawa ni tano. Lakini Hamadi anatakiwa awe namba yake ya bahti ya kundi lake la nyota. Tunarudi kwenye tarehe yake tena alizaliwa 15 Agost Nyota yake ni Simba namba za bahati za Simba ni 1 na 4


ZINAFAIDA GANI HIZI NAMBA NA ZINTAUMIKAJE.

leo nmeongea kuwa nazungumzia mlango wa mapenzi na ndoa lakini hizi namba unaweza kuombea mkopo na ukapata na usikushinde kulipa. Unaweza ukaombea kazi na ukapata, unaweza kutongozea mwanamke au mwanamme na ukampata. Kwa wabishiri wa michezo ya kubahatisha unaweza tumia hizo namba zinatumikaje huko fuatilia darasa zijazo au jiunge na group la whatsp.

Bwana Hamad ili apate utulivu na nafsi anatakiwa mke mwenye jina la lilioanziwa na herufi A, akitaka mafanikio zaid aoe jina la D. Kwa ufafanuzi hzo heruf ndizo namba za bahati za nyota ya Simba ikiwa we ni mwanamke tafuta mume wa heruf hzo utakuja kushangaa kila kitu kinafunguka.

Mipango ya harusi rejea kwenye namba yako ya uzawa ambayo ni 5. Ili harusi yako isiwe na mgogoro tarehe ipange kwenye namba tano. Hapa kuwa makini si lazima iwe tano kamili unaweza ukainyambua mfano ukasema unaoa tarhe 14 ukichukua moja jumlisha nne imerud tano. Ukisema tarhe 23 ukijulisha imerud tano. 

Utaratabu wakuzichambua hizo namba zinaingia kwa kila namba isipokuwa 4 na 8 hizi namba zina mikosi kwahyo huruhusiwi kutumia ikiwa itabaki nne utatumia namba moja na ikiwa itabaki 8 utatakiwa utymie namba tatu na unaweza kuzichambua mfano namba 1 uchambuzi ni 1, 10.19. 28 hizi ukizivunja inarudi moja.  Ikiwa namba yako itapita tarakimu mbili mfano 11 utaijumlisha itabaki mbili ili uitumie kwenye masuala ya mapenzi ila kiridhiki maisha zinatumika mpaka namba hamsini yategemea na majibu utajayopata baada ya kujumlisha.

Ile namba tano ya Hamadi ikiwa atapata matatizo mtu atakayemsaiidia kihaki ni mtu mwenye namba 6. Hamadi yeye kiafya atakuww vizuri aidha kuwa daktar au mganga au anaweza saidia watu matatzo kifaya kama kuchangia damu kuchangia gharama za matibabu.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA YATAKIWA UWE MAKINI KWENYE KUHESABU NA KUFUATA KANUNI NILIZOZIANDIKA NA JIBU LAKE ULIJUMLISHE MARA MOJA TU KISHA ITAYOBAKI NDIO NAMBA YAKO YA  BAHATI ISEVU SEHEM SIKU NIKIJA KUENDELEA N MADARASA MENGINE INAKUWA UNAIJUA NAMBA YAKO KUHUSU NAMBA ZA MYOTA ANGALIA MAKUNDI YA NYOTA HAPO JUU HUIJUI NYOTA YAKO ANGALIA POST ZILIZOPITA UNAONA UVIVU NTAKUCHAMBULIA KWA KULIPIA. LEO CHANGAMSHA AKILI KWA MAHESABU HUWEZ KUWA MTAALAM KAMA HUJUI MAHESABU YA ABJEDIA

una tatzo lolote la kibiahsra mapenzi kazi nyota kuuza kuobiwa nk niachoe ujumbe inbox
+255621442936

Whtso group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI