NAMNA YA KUTENGENEZA MWILI KUUPA KINGA DHIDI YA WACHAWI NA MVUTO


KUNA watu wengi wanachanjiwa au kupatiwa kinga na watu lakini hawapati matokeo walioyakusudia hii inatokana na mambo mawili moja mtendewa kutokuwa na imani kwa maama anafanya kwa kujaribu sio kudhamiria lakini la pili wataalam wengi waamekuwa wavivu kutafuta viingira au yan vtu ambavyo kweli vinaweza kukupa kinga lakini pia wengi hawana weledi ama karama utaalam unahtaj karama.

Leo nawapa darasa la kuupa mwili kinga na mvuto na nguvu pia ukitembea au ukiwa ofcn watu wakuone lulu. Nmekuwa nikiandika sana juu ya mambo ya kichawi na madhara yake sasa leo tufahamu juu ya kujikinga kwake.

 Tafuta kiota cha ndege kilichohamwa chandege yoyote hatakunguru  alimradi kiota ambacho ndege kashakitagia akatamia mayai  nakabangua vifaranga  utakuta kiota kina aina mbali mbali za miti  namanyoya mbali mbali pia utakuta kinyesi cha makinda chenye rangi tofautitofauti kisha kitwae kiota. 

kiota kilichoachwa

Kiweke kwenye chombo chochote ukipata ungo ni bora zaid kiweke kwenye mkao wakwaida kisha  chukua mti waa mvumbasi au kivumbasi. Kisha chambua majani yake  yaondoshe ubaki na shina uliloling"oa udongoni liweke kwenye  kinu litwange  lilainike kiasi changanya kwenye kiota kisha tafuta mti wa mbaazi chuma majani  makavu kama mkono mmoja kisha changanya  nautafute udi wowote wenye manukato uuvunjevunje nauchanganye kwenye kiot  kisha chukua mayai viza ma3 ya kuku wa kienyeji ila itapendeza zaid yawe yamelaliwa na kuku mweusi yapasue  mwaga  maji yake bakiwa na maganda  yakiwa vipande 6 changanya  humo. chukua kitambaa cheupe mita 1chekundu 1 cheusi 1.

 chukua mchanganyiko wako ufunge kizigo kwenye kitambaacheupe  kisha funga kitambaa chekundu kama ulivyokifunga cheupe kishaa nje funga kitambaa cheuisi kisha ukisha funga hakikisha vitambaa vinafichna yaani cheupe hakionekani kwenye chekundu na chekundu hakionekani kwenye mfungo wa mwisho wa kitambaa cheusi  ukishafunga kimakini tafuta  kuni za mnazi  kama n karara, kuti kavu au makumbi au vifuu washa moto mwingi choma  mzigo wako ispokuwa kuni zako ziwejuu yakitu kama bati ili dawa isimwagike chini kisha vikishachomeka nakuwa jivu zoa weka kwenye chungu hiifadhi pahala tulivu 


Matumizi kwa kuoga

Chukua maji ya visima saba vya waz vil3 vyakuchota na ngata sio vya kupampu upate na maji ya bahari ya kujaa utaweka dawa yako kiasi kwa manuizi ya kinga

 Nunua vitambaa viwili yaani cheusi na chekundu   ambavyo utatumiavkuoga dawa yako kwa siku 3 siku ya kwanza cheusi utakifunga kama msuli  na chekundu utakifunga usawa wa kifua kama wamama wafungavyo kanga mbili yaani moja juu nyingine chini na utaanza kuoga.

 Siku ya pili utabadili vtambaa chekundu chini cheus juu na ya 3 utafanya km ck ya kwnza ila dawa hii haiogewi chooni na ni mara moja kwa ck ndan ya ck 3. Utapata majibu km ulkuwa ukichezewa bas watakuogopa na kukuheshimu.

Kuchanja hii ina kazi kidogo inahtjika upate msimamizi anayejua haya mambo. Mchanganyiko utauchanganya na mafuta ya simba orijino kisha utanunua vitambaa viwili km nlvyoeleza hapo juu cheusi na chekundu utajifunga cheusi chini chakundu juu

Upate kigoda au kinu au kiti cha enzi vyote viwe vikongwe yaan vtu vya zamani tafuta sehemu yenye muinuko yaan ukikaa unaona mji kwa chini na ukikaa kwenye mji unaliona hilo eneo lipo juu


Ukiwa huko kaa juu ya kinu au kigoda au kiti cha enzi angalia mji kisha nyoosha miguu yako 

Msimamiziwako anatakiwa akushike sikio awape taarifa km una majini kisha amuombe mungu shughuli yako iende salama. Unatakiwa utamke maneno haya "mimi fulan bin au bint fulan leo nipo juu ya kilima hiki naona mji kwa chininataka watu wanaonizunguka wasidhuru kwa ubaya wowote na niwe juu hapa nilipo" congei mengi inatosha. Atakuchanja kisha mtaondoka 

Mashart ya dawa hii

Kwanza itumike ck tatu mfululizo ukiruka hata ck moja unaanza upya Haiogewi chooni Usifanye tendo la ndoa usishiriki mazishi ndani ya ck hzo tatu hata km umechanjwa. Maana kile kiota kina miti mingi unaweza ukakumbwa na kitu kibaya mazishini.

Ieleweke hapo hayo ni mashart sasa ctegmei swali kwanini nisizini nimefafanua

Faida nyengine za dawa hii inasaidia timu za mipira, wale wasanii wanaotaka kung'ara wao wanaongezewa na vtu vingine hii inakupa kinga nguvu na mvuto wa mwili. Akichomewa mtu hii kivyovyote vile hatoki.

Kukinga nyumba yatakiwa kwwnza uwe umejikinga mwili wako ndio ukinge nhumba ukianza na nyumba kabla ya mwili wakija usiku watashindwa kukudhuru ila watakutegea vtu kwenye mji wako utakapotoka nyumbam kwako utakumbana navyo njiani na kukudhuru.

Kuna mti unaitwa mvuma nyuki nishawahi kuelezea mara kadhaa soma makala zilizopita kuuona na picha. Utachukua vijiti saba utavipanga kwenye makundi matano kila kundi moja liwe na vijit saba kisha kila kijiti utakichonga kama penseli kule juu na ukipanga sehem zilizochongwa zielekee juu utazifunga na vitambaa viwli chekundu na cheupe ila sehem ya juu kwenye ncha kuwe waz utafukiwa pande za nne za nyumba yako na na katikati ya uwanja kwa manuiz maalumu.
mti wa mvuma nyuki
 Uchumaji wake ili iwe dawa yakupasa uwende umevaa kitambaa cheusi chungu na mtama ukifika utauita ule mti jina lake kisha utaumwagia mtama kwa kuutaka uondoke nao uwende ukakusaidie kwenye kazi yako kisha utaukuta vipande unavyotaka utaweka kwenye chungu na kurejea navyo nyumban kwako siku ya kuchimba ni jumanne asubuh. Mti huu nishaueleza soma post zilizopita.

Kuna kinga za mwili za kuoga kupaka kula, kuna makafara ya kondoo hii mtu akikugusa mzigo unarudi kwake mwenyewe mfanyaji hii pia unaweza fanya familia nzima kisha ukazika kichwa kichwa cha huyo mnyama nyumban kwako habar wataipata.

Una tatizo lolote nyota, kazi, mahusiano, ndoa, biashara nk Niachie ujumbe inbox

Maswali uliza chini

+255621442936

Whatsp group ni la kulipia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI