IJUE NYOTA YAKO YA UZAWA KUPITIA TAREHE YA KUZALIWA




KUNA makundi 12 ya nyota kulingana na miezi inayounda mwaka. Nyota hizi hutokana na tarehe ya uzawa ya muhusika.
Pia kuna nyota kuu zipo saba ambazo hizi hutumika sana kwa watabiri na wapiga ramli hizi ndizo zinazochomoza jua kulingana na cku husika.

sasa ili upate unachotaka kwa wanaocheza michezo ya kubahatisha au kitu chochote lazma ujue nyota yako cku yako ya bahat saa yako ya bahat ndan ya ck hiyo na namba zako za bahati ukitumia kama ilivyo utapata utakacho.

Pia kuna rangi za bahati vito vya bahati ambavyo mtu ukivaa kulingana na nyota yako unapata bahati maradufu. 

Kwa ufupi mwanaume huvutwa na bahat kwa kutumia pete ya fedha sasa kito kitategemea kulingana na nyota yake. Kwa mwanamke wao huwa dhahabu 

leo tuangalie jedwari la nyota za uzawa kwa kupitia tarhe na mwezi uliozaliwa

1.PUNDA-ARIES(MARCH 21-APR 20).

2.NGOMBE-TAURUS(APR 21-MAY 20).

3.MAPACHA-GEMINI(MAY 21-JUNE 20).

4.KAA-CANCER(JUNE 21-JULY 22).

5.SIMBA-LEO (JULY 23-AUG 22).

6.MASHUKE-VIRGO(AUG 22-SEPT 23).

7.MIZANI-LIBRA(SEPT 23 -OCT 22).

8.N'GE-SCOR PION(OCT 23-NOV 22).

9.MSHALE-SAGITTARIUS(NOV 23-DEC 20).

10.MBUZI-CAPRICORN(DEC 21-JAN 19).

11.NDOO-AQUARIUS(JAN 20-FEB 19).

12.SAMAKI-PISCES(FEB 19-MARCH 20).

HIZI ni nyota za uzawa sasa utaangalia tarehe yako ya kuzaliwa na mwez utalinganisha na hilo jedwali hapo juu. Ufafanuzi wake nikisema kuanzia mwezi mach 21 hadi April 20 hapa wote walio zaliwa kuanzia Mwez wa Tutu tatehe 21, 22,23,24,25,26, mpaka 31 na kuanzia tarege 1mwez wa nne 2,3,4,5,6,7 mpaka 20. Elewa hivyo siwez kuandika kila tarehe nmeweka kwwnye makundi angalia tarahe yako na kwez angalia kundi lako

sasa kuna tabia za nyota ambazo hizi mara nyingi ndo znalinganishwa kibiashara mahusiano na mapenzi zisipoendana bas watu mlioungana aidha kibishara au kimahusiano hamtawwza kudumu wala kupata faida.

NA tabia hizo ama sifa za nyota ndizo zinazokuongoza ufanye kazi gani ili kupata kipato cha haraka hata wanaopenda pesa pia kuna vto vya pete za bahat ambazo znaendana na nyota 

Uchambuzi wake angalia makala zilizopita ykishajua nyota yako tafuta ufafanuzi wa kundi lako makala zote zipo hapa hapa kwenye grouo ukiona uvivu kusoma nilipe nitakufafanulia.

+255621442936


Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI