JINSI YA KUMUHAMISHA KUMPEPERUSHA MTU ALIYEKUFANYIA UADUI

KUMUHAMISHA AU KUMPEPERUSHA ADUI

KAMA una uadui na mtu labda amekutendea uovu, amekudhulumu amekuchukulia chako amekuchukulia mke mume. Kwa mke na mume uwe na uthibitisho kweli maana ukifanya kwa kuhisi utaondoka wewe na kuiacha nyumba yako.

Utavizia anapokanyaga chukua nyayo zake km n wakike mguu wa kushoto km n wakiume mguu wa kulia kisha utarejea navyo nyumbani kwa utulivu na kutafuta vtu vifuatavyo.

Upate kipande cha Sanda kilichobaki wakati wanavalisha maiti. Unga wa ilipili kichaa nyekundu zile ndogondogo
Bimbilisa mavi na mzigo wake ni vzur umpate aliyekufa

Saga vtu vyote hapo juu changanya huo mchanga wa unyayo wake

Weka kwenye sanda funga vzuri
KAa chini somea Surat munafiqun Mara Saba kisha Tia nia 

Subr jua linapozama nenda kwenye mkondo wa maji unaotembea 

Sema hivi ." Kama pilipili kichaa inavyowasha nataka na Huyu adui wangu fulan bin fulan awashe aone mji mchungu achukue mizigo yake kama mdudu huyu bimbilisa mavi anavyozurura basi na yeye aelekee mbali kabisa na mj na kama maji haya yanarudisha mizigo bas arud na kama yanapeleka tu bas atokomee" Weka mzigo wako majini utembee ondoka usigeuke nyuma

Ukfka nyumbani haitafka ck tatu atabeba mizigo yake na kupotea

Usifanye kwa kuonea muogope mungu

Una tatizo la mahusiano, nyota, nguvu za kiume, biashara, kazi nk 
0621442936

Wale wqnaohitaji uchambuzi wa nyota na kuangalia majina yanayoendana na wapenz wao ni elf mbili

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI