TIBA KWA MARADHI AROBAIN YANAYOTIBIWA NA MTI WA MUORABAIN


JUMA hili niliuliza kuhusiana na mti huu. Niliweka picha nikataka watu wautaje jina lake waelezee jinsi wanavyoufahamu. Muitikiko ulkuwa mkubwa wengi wwnaujua kww kuuoan ana wengine wanaujua kama tiba lakini hawana taarifa rasmi unatibu nini na unatumikaje ili uwe tiba bimaana matayarisho yake.


Leo ntazungumzia kiundani maradho yanayotibika kwa mti huu. Nitaugawanya katika makundi manne, kuna majani yake, kuna mizizi, kuna magome yake na pia kuna tunda na asali yake. Mti huu ukiusogelewa ukaukata kwenye mti wenyewe baada ya siku kadhaa hutoa kama utomvu ambao huwa na rangi ya asali ile ndio inaitwa asali ya muarobaini ina tiba yake. Hapa nitazungumza kuhusiana na majani siku nyengine mungu akitujaalia uzima na afya tutazungumzia kuhusiana na vtu vingine. 

Neno Mwarobain pekee huwakilisha neno mwisho au dawa. Twende pamoja katika ufafanuzi huu wa ili iwe faida kwako. Kama si kwako kwa familia ndugu na jamaa zako huwenda siku ikatokea mtu akabanwa basi ukamsaidia kiwepesi.

      MALARIA SUGU ISIYOISHA

Chukua majani yaliyokomaa ya mwarobain kiasi cha kiganja chako utayaosha kisha utaweka kwenye sufuria. Utaweka maji lita moja utaacha ichemke kwa dakika kumi na tano kisha utaacha ipoe. Utachuja kisha utaweka kwenye glasi moja.

Matumizi utakunywa asubuhi mapema kabla ya kula chochote na usiku utakunywa tena kabla ya kulala. Muda wa kutumia ni siku saba ni mara mbili kwa siku. Hakikisha unafuata utaratb niliongea mti huu ni mchubgu sana hvyo usizidishe vipimo.

Mchanganyiko huu pia unaweza kukutibu maradhi yafuatayo, kumaliza minyoo tumboni typhoid kali kikohzi kifua kinachoanza na U.T.I matumizi na utengenezaji ni huo huo nilioweka. Unaweza ukautumia kwa dawa fulan ikakutibu mpaka matatizo mengine yaliyipo mwilini mwako.

Muhimu wakati unatumia dawa hii kunywa maji ya kutosha matunda kwa wingi ndani ya wiki nzima ambayo unatumia hyi dawa ili kupata matukio haraka na ya kuridhisha.

 TUMBO LA KUHARA AU KUKATA SANA.

Ikiwa unapata maumivu makali au tumbo kuharisha chukua majani matatu yaoshe yatafune meza yale maji yake usiogope kuhusu uchungu itakusaidia kumaliza tatzo haraka mno. Wakati unatafuna utalamba na chumvi ya mawe baade usifanye kwa pamoja viachishane muda walau wa dakika tano mpaka saba.


    MARADHI YA GANZI YA MWILI

Chukua majani kiasi cha mikono miwili yako mgonjwa kisha twwnga ilainike weka kwenye sufuria tia maji kidogo sana ipate kulainika kidogo sana. Iache mpaka ilainike weka kipande cha karafuu maiti ukitwwnge kabla ya kukiweka kisha ipua acha ipoe.

Matumizi achuliwe mgonjwa pahala palipo kufa ganzi. Ifanyike hivyo kwa majuma mawili na iwe mara mbili kwa siku na kila leo uandae dawa mpya. Muda wa kuchua ni kwa dakika tano mpaka kumi yategemea na ukongwe wa tatzo hilo. Hii pia hutumika kwa watu wenye fangasi za miguu baada ya kuandaa kama nilivyoeleza hapo juu utaweka kwenye beseb kisha utachanganya na maji mengine ya kawaida kiasi utaweka miguu yako kwa muda wa nusu saa na hiii ni fangasi ya miguun na vidole vya mikononi.

 TETEKUWANGA KWA WAKUBWA NA WATOTO

Chukua majani kadhaa ya mti huu uayagawe mara mbili kundi moja utachemsha kundi labpili utatafuta na mti wa mkambakamba au mlangamia au mtutkanga ni mti mmoja  kasoro majina utatwangwa pamoja kisha utatumia kumpaka mtoto kwenye mapelr na ile uloyochemsha atakunywa mara mbili kwa siku. Ikiwa ni ugonjwa wa muda mref utachemsha majani utawka na magadi kisha ataoga mgonjwa.

Mti huu unatibu magonjwa arobain kuanzia mzizi majani magome mafuta yake. Leo nmefafanua kuhusiana na majani tu maelezoengine nitayaweka kwenye group la whatsp. Kuhusu mizizi na magome fuatilua masomo yajayo. Muhimu zingatia vipimo waja wazito hawaruhusiki kutumia, watoto wadogo wapeww nusu ya dozi ya mtu mzima. Mti huu pia kuna dume na jike lakini kwenye jinsia hutumika zaidi kwemye madawa ya kitaalam kwa maelezo niliyoatoa tafuta mwarobain wowote mrad uwe mwarobain.

Maswai maon weka hapa chini ruksa kushea 

Una tatzo lolote la uzazi, biahsra kazi, mapenzi, kuuza kuibiwa nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whtso group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI