KUZIMA UADUI WA MANENO KWA MAADUI ZAKO



LEO niliongea kuwa ni siku nzur ya kuanzisha vita na maadui zako. Ukiikosa siku ya leo basi siku nzuri ni siku ya Jumanne. Kitaalam ndio siku zinazokubalika haraka masuala ya kuanzisha vita au mambo ya kuzima vtu. Hapa nazungumzia kuuzima uadui wa maneno.


Ikiwa pahala unapofanya kazi au sehemu unayoishi kukiwa kuna fitna za maneno dhidi yako. Ikiwa yuwasemwa kwa ubaya au kuna jambo linazushwa dhidi yako unataka ulizime ndio maana ya kuzima uadui wa maneno kwa lugha nyenpesi kuzima mdomo.

Kwanza yatakiwa uanzishe ukaribu na huyo mtu anauekusema ili iwe rahsi kufanya jambo lako. Mahitaj yatakiwa upate kipande cha mua, ukikosa upate tikiti maji au ubuyu ila ni murarabu kama utapata mua ndio inaleta majibu haraka zaidi.

Utachukua huo mua kisha utatayarisha moto kwnye chetezo uwe na utasomea aya saba za urat Munafiqun kisha utataja jina la mtu wako utapuliza huo mua utafanya hivyo mara saba. Yaan utasoma aya saba mara saba na kila unapomaliza utatja jina la muhuiska kisha utapuliza.

Utatia nia ya kumaliza lile neno linlolismbaa dhidi yako. hata wakiwa wengi watilie nia wote utataja jina moja unapuliza hata wawe mia na unaweza kuweka miwa mengi au pakti la ubuyu au tikiti maji. Utakuwa ukichoma ubani mushtaka na miatun Saila wakati unafanya hyo shughuli.

Kampe au wape maadui zako wale hvyo vtu kisha tegea hizo taka watakazozitoa mdomoni mwao. Tafuta kitambaa cheusi weka hizo taka nenda kafukie kwenye mti uliokifa wenyewe karibu na mto au bahari.

Utasema kama huu mti ulivyokufa wenyewe hapa na wabaya wangu waache kunziungumzia wenyewe kila mmoja afanye mambo yake. Kama mti huu unaweza kuotesha majan au kuwa tena mzima basi lile jambo lifufuke na niongelewe ikiwa hlo haliwezekani na jambo hili nalizima hapa ondoka kafanye shughuli zako.

Ikiwa huwez kuwapa vtu bimaana ugomvi ni mkubwa sana hamuongea na unataka liishe niachie ujumbe inbox tutalitengeneza kitaalam zaid.

Maswali uliza hapo chini

Una tatzo lolote la mapenzi kazi mapenzi biashara kuibiwa kuuza nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whstp group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI