MTI WA MTOPETOPE PORI NA FAIDA ZAKE KATIKA ULIMWENGU WA DAWA ASILI



HII miti ipo ya aina nyingi na kila mmoja unatumika katika matibabu. Leo tuuzungumzie mtopetope pori kama unavyouona pichan una majani mapana kiasi matunda yake yana rangi ya njano yanapoiva hauwi mkubwa sana. Matunda yake yanaliwa hasa watu waliokulia vijijini wanaufahamu huu mti unapenda kuota karbu na miembe na mikoroshi na Mifuu mikubwa.

Nitauzungumza walau kwa uchache kwenye makala hii ya kwanza mungu akitupa uhai na afya tutazidi kuudadavua japo wengi mnapata faida z darasa lakini wagumu haya kuombeana uhai mref ili tuzidi kufunguliana akili kwwnye miti na madawa kwa magonjwa yanayotuzunguka.

Mti huu hutumika kuponesha vidonda haraka hata baadhi ya mangariba hutumia katika kuponesha wanapowatahiri watoto magovi. Kama una donda pahala haliponi chukua gozi la mti huu litwange upate ule umajimaji wake weka juu ya hilo donda ikifika jion bandua wka jingine dumu hata wiki moja.

Kwa vinundu au majipu machanga pia unaweza kuweka baada ya kulainisha au kutwanga majani yake mabichi kisha ukaweka juu ya nundu lako litapotea kwa haraka zaid. Dumu kwq muda wa siku tatu weka mara tatu kwa siku Allah atakupa tawfiq.

Hutumika kama kinga na tiba ya saratani inayoanza na maradhi mengi sana ikiwemo vidonda vya tumbo tyfoid sugu tumbo kukata chukua majni makavu au chukua mabichi uyaanik pahala psipokuwa jua usichome zile njia z dawa ikikauka utatwanga kisha utatumia unga wake kuweka kwenye uji au mani vuguvugu.

Upo shamba tumbo la kuhara likkushika twanga au pekecha au tafuta majani haya kisha umeze yale maji yake tumbo litakata. Ulaji wa matunda haya huimarisha misuli ya uume kwa watoto. Hii ndio sababu wale vijana wa shamba wana sifa za kuhimili tendo huanza kutengenezwa udogoni.

kwa maradhi ya ngiri korodani kupanda juu kunywea tumia unga wa majani yake, upate unga wa majani ya mkunaz na unga wa majani ya mvumbasi mdogo. Utachanganya pamoja kisha matumizi utatumia kwenye uji wa sembe ule mwembamba hakisha unapikia pamoja ili ichemkie humo. 

Vipimo utaweka vijiko viwil kwwnye maji lita moja wakt wa kupika huo uji wako acha uchemke matumizi kikombe kimoja kutwa mara tatu kwa siku 14.

Kwa wamam wenye matatzo ya uzazi mizizi ya mti huu inatumika lakini kwa wenye tatzo la mirija kuziba. Tuelewane usitumie tu madawa mpaka ujue tatzo lako unaweza ukawa unaongeza tatzo na si kutibia. Unachotakiwa kifanya nenda kachukue mizzi ya mti asubuh kabla jua kuchomoza itapendeza kama utaenda na sadaka ya nafaka yoyote chukua mizizi saba rejea nayo nyumba nenda sokon chukua na punje saba za kunde usinunue we zugazuga chukua saba kisha changanya chemsha tumia kwa kunywa mara mbili kwa siku ndani ya wiki itapendeza ukitumia wakat wa bleed.

Ukitaka mizizi iliyotayari niachie ujumbe inbox. Mambo muhimu kuna miti mitatu inafafana huu ni ule wa pori hauna sifa yakuota majumbani mwa watu.

Mti huu pia hutumika katika mambo ya kiza mapenzi kuroga nk. Haya sina maelezo nayo kama una shida fika ofisni ufanyiwe matibabu

Una tatzo lolote la uzazi afya, nguvu za kiume, kukuza dhakar, mapenz nyota biahsra nk niachie ujumbe inbox

+255621442936 
Whtsp group ni la malpo

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI