MTI WA MUASUMINI MNUKIA FAIDA NA MATUMIZI YAKE KATIKA ULIMWENGU WA TIBA NA MAPENZI.


HUU ni mti mdogo kimuonekano lakini ni mkubwa kimatumizi. Upo sana maeneo ya Ukanda wa Pwani hasa Unguja, Tanga, Bagamoyo nk. Hutumika kamaanukato na mapambo kwa maharusi. Wazee wa zaman hasa kwetu Tanga huchuma majani yake na kuyamwaga kitandan wakti wakiwa wamekitandika vizuri.


Bwana anapokuja kutoka kwenye mishughuliko yake hukuta chumba kinanukia na kitanda kinavutia jinsi kilovyorembwa 'Tanga Raha' ila si kwa mabinti wa majini wanaujua walau hata kwa kuuona huu mti. Unaitwa Muasumini au mnukia fahamu walau kwa uchache faida na matumizi yake.

Maua yake ukichanganya na karafuu na marashi mazur ukamsinga mumeo huongeza mahaba pia humuachia harufu nzuri. Kudhibiti mtu kimapenz wakat unamsinga hakikisha zile taka zinazotoka unazikusanya sehem moja kisha utatafuta unga wa mzizi wa mchaachaa huu nishauzungumza siku za nyuma upo ofisin. Utakuwa na unga wa mmeremere na kitambaa cha kanga ambayo mtakuwa mmeitumia katika kusingana. Utakata kipande hyo kanga utaweka hzo taka na utaweka unga wa mzizi wa mchaachaa na mmeremere au mmeremeta.

Utanuia unachokitaka kwake awe kichaa kwako akuone unameremeta kisha utafunga kama mpira wa rede kafukie pahala kwenye jiko la kuni pale zinapochochewa kuni hakika penzi litashikika. Kusinga maana yake ni kitendo cha kusua mwili kutoa taka ndio kusinga ikiwa unasinga kwa lengo la kudhibit mtu hakikisha taka zako hazimo yaan umsugue mkusudiwa tu.

Kwa wanawake wenye tatzo la hedhi isiyoisha yaan inatoka tu chukua majani na maua ya muasumini yaponde yalainike kisha weka kwenye chombo cha dongo tia maji lita moja koroga iache waz kwa siku nzima kisha ichuje matumizi utakunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu kwa siku tatu. Ikiwa umemaliza hzo siku haijakata wewe umepigwa kichawi kwanza uteguliwe kisha utumie tena hyo dawa.

Kupunguza maziwa yaan wale wadada wenye mizigo kifuan au maziwa ndala yaliolala uendee huo muasumini mapema asubuh chukua maua yake. Matumizi utayaaanika yale maua mpaka yakauke utayatwanga uoate unga wake kisha utachanganya na mafuta ya zaituni matumizi utakuwa unachua maziwa yako kwa kuyakanda kuyarudisha ndani kisha pale kwenye chuchu ukimaliza zoez la kuchua weka ua la muasumini kisha bana na blazia 'sidiria' fanya kwa siku 21 mpaka 42 kulingana na ukubwa wa ziwa.

Ukichukua maua ya mti huu na maua ya mti hina ukayaanika ukayakaanga kwenye chungu upate sembe yake nyeusi ukichoma sehem ya biahsra huvuta wateja kwa siku ile uliyochoma. 

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA MTI WA MUASUMINI NA HINA UNAPATIKANA MAENEO MNAYOISH MTU AKIKOSA NDIO ANITAFUTE. PILI KUNA MKILUA NA MUASUMINI NI MITI MIWIL TOFAUT ILA YOTE INANUKIA. VTU VINGINE VIPO MADUKA YA DAWA ASILI KASORO MIZI YA MCHAACHAA. NA KUWA MAKINI SI MCHAICHAI NI MCHAACHAA

una tatzo lolote la kazi biashara mapenzi kuibiwa kuuza nk niachie ujumbe inbox

+255621442936
Whtsp group ni la kulpia

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI