KUHUSU NGUO YAKO YA NDANI 'CHUPI' UCHAWI TEGO NA MADHARA KWA WATOTO



WAPO watu wameathiri watoto wao kwa namna moja ama nyengine pasipo wenyewe kujua. Nguvu urijali wa mwanamme huanza kutengenezwa akiwa mtoto. Urembo usichana uimara wa mwanamke huanza kuundwa pale tu anapozaliwa na kuanza na kukua. Kuna pahala mzazi ukikosea unamuathiri mtoto moja kwa moja soma kwa makini makala yaha usijesema hukuambiwa.


Kuna wimbi la watu hasa wanawake wanahamasishana kwenye kuwatengeneza waume zao ili wawe na wao tu katika tendo la jimai. Zipo dawa ambazo unaweza kufanya zisikuletee shida lakini zipo dawa kwa kutokujua au labda tu kusoma pahala kwa wale watu wanaocopy na kupaste na wewe ukalifanyia kazi kumbe unamdhuru mumeo na mwanao. Simaanishi kila dawa zina madhara ila kuna dawa zinadhuru moja kwa moja na huathiri mtoto wako.

Hii si kwa wanawake tu hata kwa wanaume ipo nimeshapta kesi hizi sana kuzitatua mara baada ya mambo kwenda kombo. Nguo yako ya ndani hutumika kwa mambo mengi yakichawi hasa watu wakikutaka kukufunga kwnye mambo ya uzazi na mapenzi hutumika hizo nguo.

Chupi hutumika kwenye matego hasa kwenye shughuli za mapenzi. Ikiwa unataka kumtega mpenzi wako akifanya jimai aidha uchi wakebusionekane au kiwapate kitu chochote wakiwa faragha hutumika nguo yake ndani kimatengenezo. Utaagizwa hyo nguo na vtu vingine kulingana na utaalam na ufanyaji wa mtu uliyemuendea kisha pale katikati panapokaa mashine yenyewe ndipo hukatwa na kifanyiwa hayo matego. Pia hiyohiyo nguo ya ndani watu wanaweza kukutengeneza ukawa malaya yaan kila mda yuwawashwa tu wataka kitu kiingie ndo unakuta mtu hakatia akiitwa si kama apenda kuna mambo hayapo sawa kwake.

Kwenye utengenezaji wa mtego kuna mambo ukiyafanya unaweza kuwadhuru watu wanaokuzunguka ambao ni ni jinsia yako. 

Ukimtega mkeo kuwa akiingiliwa na mtubmwingine yule aaathirike aidha miguu nk. Kinachofanyika hapa kwa baadhi ya mitego hutengenezwa kwa maana mtu atayaeingia katikati ya miguu ya mkeo akiwa si wewe. Ninachomaanisha mtu yoyote mwenye jinsia ya kiume akiikaa au kuingia katika ya miguu ya mkeo hata si kwakufanya jambo basi ule orogezi humpata hapa ndipo wengi wanawadhuru watoto wao wa kiume pasipokujua.

Mama huyu aliyetegwa akimruka mwanae wakiume atakuwa ameingia katikati ya mapaja na miguu miwil hivyo lile tego humvaa mtoto. Hapa uelewe kiundan kwwmba kuna aina matego ukifanya mwanaume anayetaka kupita katikati ya miguu ya mkeo bimaana kunuingilia uume wake usinyae basi unawwza ukamdhuru mwanao baadae.

Kwa upande wa wanawake pia ikiwa utamfanyia tego mumeo asiweke kupita mwanamke yoyote kati ya miguu yake basi akimruka mwanae wa kike kile ulichokikusudia humpata mwanao. Ikiwa nlitengeneza kwamba atakayeingia kwwnye miguu ya mumeo asipate hedhi basi tatzo litakuwa kwa mwanao hilo.

Kama utaenda kwa mtaalam kwa  lengo akitengenezee tego kmhakikisha unapata maelezo yakutosha. Kwwnza jinsi ya kunuia na kitengeneza muwanuie watu atakaofanya ngono na si kila atakaypita katikati ya mapaja yake. Pili ikiwa mtanuia kila atakayepita katikati ya mapaja yake basi muwakinge kwwnza watu wa nyumban kwako wenye jinsia yako wewe mfanyaji ili usilete madhara nyumbani.

Pia ubaya wa tego hata ukija kufa wewe uloyefanya utawapa tabu watu waliobaki ambao watataka kushiriki nae tendo iwe kindoa au kimapenz maana kile ulichokusudia bado kitaendelea kufanya kazi. Zipo njia nzur wala si za kutega unampumbaza mtu akili hata akiitwa njian akirud anakuambia fulan kaniita kaniambia hvi na hivi na hawez kutoka kwenda sehem bila idhini yako. Kama utahtaji njoo ofisin hii haina maelezo.

Mambo ya kuzingatia msiwakande watoto wenu wadogo kwa lengo la kutaka watembee haraka zipo njia nmezifafanua angalia makala zilizopita. Chupi yako haga kama umeichoka usimpe mtu avae wala msivalie chupi hata ikiwa ni mapacha kuna mambo ya kinuski mtaambukizana pia ikiwa chupi mliovaa wawil ikienda kurogewa upo urahs wakupata wote madhara.

Kitu cha mwisho wale madada wa mjini watu wanaofanya biahsra za kutembea hupat wateja tafuta mafuta ya kumbikumbi yaliyosemewa kimvuto pakaa ukienda kwenye habar zako utakuja nishukuru.

Maswali uliza hapa chini

Una tatzo lolote la afya mapenzi kazi biahsra nguvu za kiume chango kukuza dhakar ngiri nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malpo kwa wahtaj

Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI