MAFUTA YA MRONGE KWA AFYA NA UREMBO WA BINAADAM
FAHAMU FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA KUTUMIA MAFUTA YA MRONGE KIAFYA NA UREMBO
MARA kadhaa nimekuwa nikiandika makala zinazohusiana na faida za mti wa mronge. Nimeshawahi kuandika juu ya faida za unga, mbegu pamoja na mizizi ya mlonge katika mwIili wa mwanaadamu.
Kama ilikupita tembelea wall yangu au ingia group la afya ya uzazi kwa njia za asili hapa facebook utayaona masomo yaliyopita. Kama ni mfuatiliaji wa makala zangu utaona umuhimu wa kufuatilia kila post inayotoka maana inakubadilisha kifikra.
MAFUTA YA MRONGE NI NINI Mafuta mronge ni mafuta yaliyotokana na mti wa mronge ambayo yameandaliwa kitaalamu kwa ajili ya matumizi ya kibinaadamu.
Mafuya haya unaweza ukayatumia kwa kupikia kama unavyotumia maguta ya korie samli alizeti au mafuta mengine yeyote. Tofuati yake ipo kwenye gharama mafuta haya yana gharama kubwa ukilinganisha na mafuta mengine, ukiweza kumiliki lita moja kwa ajili ya kupikia ujifunge mkanda kweli.
FAIDA ZA MAFUTA YA MLONGE
kama nilivyozungumza kwenye kichwa cha habari kwamba mafuta haya yana faida kiafya na urembo sasa kwanza tuanze na faida zake kiafya. www.tibatanzania.blogspot.com
FAIDA ZAKE KIAFYA Kwanza ili yakupe faida kiafya inakubidi uyatumia kwa kupikia hata mara moja kwa wiki sio mbaya kutokana na gharama zake kuwa juu.
faida zake ni kama ifuatavyo *Itakuongezea vitamin C *Inarekebisha presha ya kushuka *Inaimatisha mifupa na mfumo wa neva *inalainisha choo *Inamaliza vidonda vya tumbo *inasaidia kwenye mmengenyo wa chakula ni nzuri kwa wale waathirika wa ukimwi - baada ya kufahamu faida kiafya sasa tuangalie katika urembo
KATIKA UREMBO IMEGAWANYIKA KATIKA MAFUNGU MAWILI KAMA IFUATAVYO
UREMBO WA NYWELE unatakiwa uwe unatumia kea kupaka kwenye nywele zako kama unavyotumia mafuta mengine na faida zake ni kama ifuatavyo
*kurefusha nywele *kuzipa uimara *kuzuia kukatika *kuondoa mba *kuzifanya nywele zako kuwa nyeusi na zakuvutia *hulainisha ngozi ya kichwa
UREMBO WA NGOZI
MATUMIZI yake utayatymia kwa kupaka kama unavyopaka mafuta mengine. Kama ulikuwa unatumia loshen za kemikali kuna zoeZI itakubidi ulifanye kabla ya kuanza kupaka mafuta haya zoezi hilo utanipigia simu kwamba zilizopo mwisho wa makala haya www.tibatanzania.blogspot.com
faida zake ni kama ifuatavyo *inangarisha ngozi *inatoa mabaka na michirizi *inatoa sumu kwenye ngozi *inatoa harahara na muwasho *inatoa makovu ya kujikata, kuungua pamoja na michubuko
HUO NI UCHACHE WA FAIDA ZINAZOPATIKANA KWA KUTUMIA NA MAFUTA YA MLONGE
kwa maswali maoni andika chini kwa mafuta nitafute private
0621442936 ukhitaj kuungwa na group la whatsap namba hizo hizo
Comments
Post a Comment