CHAI YA MPERA KATIKA KUPUNGUZA MWILI

UNA UZITO ULIOPITILIZA ANZA KUTUMIA CHAI HII YA KIJANI YA MPERA

makala zilizopita za kupunguza unene tulizungumzia kuhusiana na chai ya kijani katika kupunguza mwili.

Baadhi ya chai hizo ni pamoja na chai ya mpera. Katika nchi ya China Mara nyingi watu walioendelea na wanaojali afya zao hutumia chai ya kijani

Jinsi gani unaweza kuandaa chai Hii ya mpera

andaa majani machanga yasiwe mengi sana weka kwenye maji lita moja kisha chemsha kwa dakika 15 mpaka 20

Ukimaliza ipua iache ipoe kidogo ichuje upate chai Yale majani gator

Matumizi

Asubuhi kunywa vkombe vya kahawa vtatu mchana vwili jioni kimoja

Dumu kwa majuma kadhaa ukifanya hv utapata matokeo mazuri

Chai nyengine za kijani
Mchachai
Ndimu
Mstafeli
Nk

Waliopo kwenye group la tiba asili wanajua hlo

Una swali maoni 0621442936


Kwa dawa za kupunguza mwili fanya mawasiliano

Comments

  1. Naomba kujiunga katika group lako ili niweze kujifunza mengi. Namba yangu 0784972173

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fuata namba zifuatazo 0717053804 utaungwa

      Delete
    2. Naomba kujiunga an group. 0722603737

      Delete
  2. Naomba niungwe tafadhali 0766721395

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI