Posts

Showing posts from November, 2017

KUPUNGUZA UNENE ULIOPITILZA

Image
FAHAMU KUPUNGUZA KITAMBI, MATITI, MIKONO NA MINYAMA UZEMBE   Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa makala zangu basi kuna vitu utakuwa unaongeza kwenue kichwa chako kila uchao juu ya utembo kupunguza mwili kuonheza nguvu za kiume na mambo menhine mengi.     Leo nmeamua kuirejea makala ya hii ya kupunguza tumbo kutokana na kupata mrejesho mkubwa juu ya makala haya. Katika dunia tuliyonayo sasa hakika unene unawatesa watu wengi sana kina mama. Wanashindwa kuvaa baadhi ya nguo sababu ya nyama uzembe.   FAHAMU KUHUSU TANGAWIZI NA LIMAO KATIKA KUPUNGUZA MWILI.   Tangawizi na limao ni viungo vinavyoaminika ktk kukausha mafuta na kuyeyusha mafuta mwilini Leo tutavitumia viungo hivi asilia katika kupunguza ukubwa wa matiti,tumbo, mapaja na mikono iliyoning'inia manyama uzembe mahitaji tangawizi mbichi limao au ndimu na Asali safi JINSI YA KUPUNGUZA TUMBO andaa tangawizi yako imenye vizuri kisha itwangwe au usage kwa blenda kamulia malimao mak

KUNENEPESHA MWILI KWA NJIA ZA ASILI 'TIBA ASILI YA KUONGEZA MWILI

Image
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ JITAHDI KUSOMA MPAKA MWISHO KUNA UAFAFNUZI WA MAMBO MUHIMU maziwa fresh KUNA SABABU NYINGI ZINAZOFANYA WATU KUWA NA MAUOMBO MADOGO YAANA WATU WEMBAMBA KWA LUGHA NYEPESI WANAITWA MODO. Kuna maradhi ya muda mrefu mfano mru akkumwa sana magonjwa shambulizi ya kushusha kinga ya mwili kama vile Kifua Kikuu TB, Ukosefu wa Kinga Mwilini UKIMWI hata maradhi ya sukar preha nk hufanya mwili kukosa muonekano ule wa kawaida. Lakini pia mtu kuwa na stress sana aidha kwa wanafunzi au watu wanaotafuta maisha kwa kasi huwa na miili midogo sababu bado nafsi na moyo haojaridhika na hawa si wagonjwa na wala si tatzo ila hupitia tu kipindi fulani cha mwili kuwa katika hiyo. Kuna watu wanarithi yaan ndip nature yao toka kwa babu baba mama shangazi wajomba wote ni wembamba wewe pia si tatzo ndip asili ya mwili wako hata ule nini huwez kunenepa na wala usipoteze muda na gharama. Lakini pia kuna matatzo ya kurogwa siku hzi wanga wanaweza kutengeneza

KUONDOA MADOA MICHIRIZI MWILINI

Image
  FAHAMU NJIA TANO MUJARABU ZA KUONDOA MADOA MICHIRIZI NA MAKOVU MWILINI BAADA ya kuongea kuhusiana na ukuzaji wa nywele kutoa chunusi na makunyazi usoni. Sasa tufahamu kuhusiana na kuondokana na Madoa makovu Michirizi na kuipa ngozi yako afya.   Wapo watu wanatumia gjarama kubwa na muda mwingi kumaliza matatzo haya lakini wanaambulia patupu.     Wapo wengine hawana uwezo wa kifedha lakini pia hawana uelewa kuhusiana na vitu asili ambavyo unaweza ukavtumia kumalza tatizo. Leo nakupa njia tano za kuepukana na matatzo nlyoyataja hapo Juu. Km unatattzo moja kat ya hapo Juu chagua njia inayokufaa ambayo ni rahs kwako dumu nayo kwa majuma kadhaa utapata mabadlko     1.MTINDI Kwa wenye Madoa usoni tafuta mtindi safi fanyia masaji kwa dakika 15 hadi nusu SAA kisha ukimaliza OSHA na maji vuguvugu Fanya hvyo kwa majuma kadhaa utapata mabadiliko.         2.JUISI YA LIMAO Kwa madoa ya mwilini pakaa juis ya limao kwa kutumia pamba chovya pamba pakaa kwenye DOA acha kwa dkka Kumi