Posts

Showing posts from December, 2025

TIBA ASILI YA MARADHI YA ZASA 'NZASA' KUPASUKA KICHWA VICHWA VIKUBWA KWA WATOTO

Image
UCHAMBUZI HUU WA MARADHI YA WATOTO UMEANDALIWA NA KUANDIKWA NA MTABIBU ASILI TZ MTAALAM WA DAWA ZA AAILI NA TIBA KWA WATOTO NA WAKUBWA JITAHD KUSOMA MPAKA MWISHO. NZASA ni ugonjwa unaowapata watoto wachanga. Ugonjwa huu hutokea kichwani pale utosini kujigawa yaan komwe na chogo kisha kati kubonye ndani. Au wakati mwingine kichwa hutoa mistari huwa hakipo sawa. Mtoto anakiwa katika uumbaji wa kichwa chake yaani fuvu la kicjwa chake linaundwa. Hivyo kuna hitilafu zinawez kutokea na mtoto kuharibika kichwa zipo sayans zinasema muache mtoto kicjwa chenyewe kitakaa sawa ila ukiona muda unaenda anza kushughulikia mtoto sayansi huwa haiamin mambo ya asili na ugonjwa huu hauna dawa za hospital toka dunia kuumbwa na ukimchelewesha mtoto unamuhatibu kichwa. Madhara yake ni kuharibika kichwa, pia huweza kumfanya mtoto kukonda kukosa afya njema. Pia huwenda ikamsababishia kifo sababu inatia homa ka mtoto atashindwa kuhimili homa anaweza kupoteza maisha. Tembelea watoto wa vijijin angal...