Posts

Showing posts from March, 2018

KUMTULIZA MUME ATULIE KWENYE NDOA

JINSI YA KUMTULIZA MUME SEHEMU YA PILI   KATI ya naswali mengi ninayopokea kila uchao asilimia kubwa yanahusiana na mapenzi, sehemu kubwa ikiwa ni wachepukaji watu wasiohudumia familia zao.   Kama ulipitwa na makala ya kwanza tembelea wall yangu utaiona kiurahc na nina imani utafurahia baada ya kuisoma. Ili mume atulie unatakiwa na ww mke uwe mtulivu kwenye ndoa yako una adabu na heshima kwa mwenzi wako mnyenyekevu na mkarimu. pia penda ndugu wa mume kwani ukipenda boga penda na ua lake lakn kabla ya ua kuna mboga wenyewe werevu naona mtakuwa mmeshanielewa. SASA KWA WASIOTULIA UNAWEZA UKANITAFUTA KWA NAMBA 0621442936 njia rahisi kuliko zote ni hii hapa katafute ktu kinaitwa poza hii poza ina matumizi mengi unawwza ukaiweka kwenye maji yake yakuoga unaweza ukachanganya na vtu vngne akala pia kwa kutumia hii poza njia rahisi ni hii hapa chukua kjinga cha moto kinachowaka chukua kopo la maji weka hyo poza koroga chukua hayo maji zima hicho kijinga cha moto kwa manuiz unayo

UGONJWA WA CHANGO KWA WANAUME NA WANAWAKE

Image
Asilimia kubwa watu hufahamu kuwa chango la uzazi ni ugonjwa unaowapata wanawake tu. Sivyo hivyo ugonjwa huu huwapata mpaka wanaume. Tunapozungumzia ugonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Wanaume hupata wakiwa na umri mdogo zaidi ni moja Kati ya aina za ngiri kwa wanaume. Kwa upande wa wanawake wao hupata pindi wanapovunja ungo. Ugonjwa huu husumbua zaidi kuanzia umri wa miaka 16 na kuendelea. Ukiwahi kuitibu haraka hupona na kukuepusha na madhara utakayoyapata usoni. Baadhi ya madhara makubwa ya ugonjwa huu ni utasa kwa wanawake na kwa wanaume huua nguvu za kiume. Tuangalie baadhi ya dalili na nadhara ya ugonjwa huu kwa pande zote mbili. Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha dhakar vizuri. Ni vigumu kumpa mimba mwanamke japo co wote. Unawez