Posts

Showing posts from January, 2021

KUHUSU PETE ZA MAJINI UPATIKANAJE WAKE NA MASHART YAKE

Image
PETE ZA MAJINI NA UTAJIRI TOFAUTI  MASHART NA UPATIKANAJI WAKE SEHEMU YA PILI JANA nilizungumzia kuhusiana na pete za bahati kinyota nikagusia na pete za utajiri wa majini. Maswali mengi yalikuwa kuhusiana na utajiri hii inaonesha watu wengi wanapenda pesa bila kushughulikia matatzo waliyokuwa nayo. Nmeamua kutoa sehem ya pili ili kutoa ufafanuzi wa kina zaid ikiwa unachukua hataua za kutafuta huo utajiri ufahamu mambo muhimu kabla ya kuutafuta.Wale wanaohitak pete za bahat angalia mwisho wa makala haya kuna namba za simu uchambuzi huu unaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ. Leo nitakueleza utofaut wa pete za majini na pete za utajiri wa majini ni vitu viwili tofaut. Hapa naacha kidogo pete za bahati ambazo kama ulielewa jana hizi hazina masharti yoyote ni matengenezo tu ni kuvaa kukingana na maelezo utakayopewa na atakaye kutengenezea ila pete za majini na pete za utajiri wa majini zina mashart na utaratibu wake jinsi ya kuzipata na huwa haziptaikan kwa sonara wala maduka ya mapambo.   UF

SADAKA ZA KUNG'ARISHA NA KUSAFISHA NYOTA

Image
KATIKA uchambuzi wa Nyota ninazozitoa asubuhi huwa nazungumzia mafusho ya Nyota. Naweza nikaweka maelezo alaf kwenye ushaur nikasema leo watakiwa ufushe fusho la nyota yako kabla ya kuanza shughuli yako. Makala haya yataaangazia juu ya fusho la kila nyota na utumizi wake. Anayekuletea uchambuzi hii ni Mtabibu ASILI TZ. Niliwashatoa makala za uchambuzi wa kila nyota. Zile nyota kumi na mbili kuanzia Punda mpaka Samaki, nilifafanua siku zao za bahat, watu wa kushirikiana nao siku mbaya kwao, malaika na majini wa nyota zao pete vito na shughuli au kazi za kilufanya ili uendane na nyota yako na kujipatia kipato. Makala hizo zipo peruz post za nyuma utaona ukiutaka uchambuz binafs utanilipa ili nikufafanulie kama utaona kazi kusoma post za nyuma. Fusho ni dawa ambayo hutumika kuchoma aidha kwa kujifusha yaan kujifunika ili moshi ukiungie mwilini au kuchoma kawaida. Hutunika katika shughuli mbalimbalu hasa za kuvuta ridhki kutoa uzito kuleta wepes pamoja na masuala ya kimapenzi. Yatakiwa uwe