KUHUSU PETE ZA MAJINI UPATIKANAJE WAKE NA MASHART YAKE


PETE ZA MAJINI NA UTAJIRI TOFAUTI  MASHART NA UPATIKANAJI WAKE SEHEMU YA PILI

JANA nilizungumzia kuhusiana na pete za bahati kinyota nikagusia na pete za utajiri wa majini. Maswali mengi yalikuwa kuhusiana na utajiri hii inaonesha watu wengi wanapenda pesa bila kushughulikia matatzo waliyokuwa nayo. Nmeamua kutoa sehem ya pili ili kutoa ufafanuzi wa kina zaid ikiwa unachukua hataua za kutafuta huo utajiri ufahamu mambo muhimu kabla ya kuutafuta.Wale wanaohitak pete za bahat angalia mwisho wa makala haya kuna namba za simu uchambuzi huu unaletwa kwako na Mtabibu ASILI TZ.



Leo nitakueleza utofaut wa pete za majini na pete za utajiri wa majini ni vitu viwili tofaut. Hapa naacha kidogo pete za bahati ambazo kama ulielewa jana hizi hazina masharti yoyote ni matengenezo tu ni kuvaa kukingana na maelezo utakayopewa na atakaye kutengenezea ila pete za majini na pete za utajiri wa majini zina mashart na utaratibu wake jinsi ya kuzipata na huwa haziptaikan kwa sonara wala maduka ya mapambo.

  UFAFANUZI KUHUSU  PETE ZA MAJINI

Pete za majini huwa ni pete maalumua ambayo huvaa mtu kwa maelekezo maalumu aliyopewa na jini wake. Mfano mganga wa kienyeji anayeagua kwa kutumia majini ikiwa wale majini watahitaji pete ili aweze kupata nguvu katika kazi zake basi itakuja sababu ya yeye kuletewa pete aidha kimiujiza au mtu tu atakuja atampatia na atakapovaa mambo yake yatakuwa sawa kama alivyoelezwa na wakuu wa kichwa chake.


Pia huwenda kuna mtu mgonjwa ila ugonjwa wake umetokana na jini aidha wakukumbwa au kutupiwa lakini yule jini akataka kukaa kwa yule mtu na kuweka makazi yake akasema ahitaji pete ili aweze kupunguza madhara kwa mgonjwa huyo basi yeye mwenyewe jibi huleta mazingira aidha kifedha ili ikanunuliwe atakapotoa yeye maelezo au itakuja kimiujiza na takapovaa mgonjwa mabadilikio hutokea.

Ila hapa kuna tofaut kuna majini wakutupiwa ambao si wema sasa ukiona jini anaagiza pete halaf hatoi ushirikiano wa kifedha au kimazingira huyo si mwema na msimtafutie anachotaka afukuzwe tu kitaalam. Huwenda pia asitake pete akataka kitu ambacho nyinyi wauguzi na mgonjwa hamna uwezo nacho na akang'ng'ania lazima kipatikane hyo hapo hakuna heri atimuliwe tu msimbembeleze.

Lakini pia kuna watu wa isimu ya majini yaan ukoo wao una majini unaweza ukawa unauza duka ukawa una ndoto za kuvishwa pete zenye vito vya bahari, kijani pete za dhahabu ujue yuwatakiwa kupata pete ili mambo yako yafunguke zaid utatakiwa upate tfsiri na muongozo wa kitaalam katika kulifafanua hilo.

Hapa hakuna shart lolote gumu  kama vile kafara kukosha pete kwa damu nk. Ikiwa ni kusafishwa hyo pete itasafishwa aidha kwa maziwa ya ngamia mbuzi au ngombe wenye rangi nyekundu na nyeupe. Hakuna sadaka ya kila baada ya muda fulan muhimu ni usafi na kujitwayarisha unapomaliza jimai. Ukiwa kwenye tendo hilo na mtu si halal yako uvue hyo pete. Kama umenielewa hizo huja kibahati na maelezo maalum aidha kuiteshwa muhusika au matengenezo maalum kwa wale wenye ukoo aidha kisharif au karama fulan angalia viongoz wengi wa dini mikonon sijasema wote wala sijataja aina ya dini fulan. Hizi haziuzwi kwa hyo swali bei ya pete ya majini au napataje mm npo kigoma sidhan kama yatakuwepo.

      PETE ZA UTAJIRI WA MAJINI

Hapa ndio kuna wengi wanafeli,  mambo ya utajiri kwanza yanataka ujasiri na usiri wa hali ya juu. Pete za utajiri huja kwa mashart maalumu kwa maagano maalum kwa yule mtakaji. Itakapomalizika kufanyika maagano maalumu ambayo ataingia muhusika yaan mtakaji utajiri na mtaalam wake basi hufanyika makabidhiano ya hiyo pete ambayo itatoka kuzimu.



Makabidhiano hayo yatakuwa na kafara kwa muda huo ili kuipa nguvu ya kuvuta mali bimaana fedha. Kafara laweza kuwa damu ya mnyama au mtu yetegemea na ukubwa wa mali muhusika anayoitaka. Atavishwa kwa mashart maalumu ambayo yatategemea na yale maagamo ya kwanza na muhusika ataenda zake kuendelea na shughuli zake. Hapa maana yake mpaka unapata pete basi lile agano la kwanza ushalifiki kama kuntoa mtu kafara kumtia mtu upofu kumuweka mtu msukule wa nje basi utakapofika kwako kile ulochokitaka utaanza kukiona hapo.

Ila huu si utajiri mzur sababu mwisho wake itakuwa mbaya. Utaweza kuua nafsi za watu kudhulumu haki za watu ili kuipa nguvu ile pete iendelee kukupa manufaa. Mfano kama ni mfanya biahsra unaweza kuuza unavyotaka wewe na unaweza kuangiza unavyotaka wewe sababu ile pete kuna majini wanakuwa wanaheshimu kukingana na ile sadaka uliyota siku ya kwanza na pamoja na maamgano unayoendelea kuyaingia kila siku au muda fulan. 

Pia yaweza ukawa na pete hyo kwa ajili ya kazi fulan maalumu hapo juu nmeeleza kuna baadhi ya viongozi wa dini wanazo hizi. Wanakuwa na maagano labda nataka sehem yangu ya kuabudia iwe na watu wengi niwe naaminika niwe nikimuombea mtu kitu nasi kiwe kinatokea watu wawe na imani na mimi. Basi ile pete inakuwa na kiongozi wa majini yeye kazi yake itakuwa ni kutimiza unachotaka watajaza watu kweli na kila unachokisema kitakuwa na utimifu unaotaka ila na yeye atakuwa akitoa kile walichoahidiana kila baada ya muda fulan ndio unakuta watu wanakufa ghafla sehem yake ya ibada na wengine ndio uongezeka.

Kila unavyozidi kutoa sadaka ndivyo mambo yanakuwa mazuri upande wako kwa kile ubachotaka. Mfano mwengine labda kuna mtu anamiliki mabasi au magari ya usafrishaji na anataka afanye kazi kushinda watu wote basi anaweza akafanya maagano na akawa na hyo pete na akawa anasema nayo anavyotaka ukiangalia hata hzi ajali nyingi ni za kitengeneza mwenyezi mungu tuepushe tutembeapo

MASHART NA SADAKA ZA PETE ZA UTAJIRI WA MAJINI

Mashart yake kama nilivyoeleza hapo juu itatgemea na kazi unayoifanyia labda utaambiwa ukishiriki jimai na mtu si halali yako hamjaona basi yatakiwa ile pete uivue. Usiingie sehemu ambayo unajua kunahusiana na shughuli za imani za kimungu zaidi. Yaan kuna maeneo wahusika wake ni wakweli zaid kiurahsi usiingie nayo msikiti wowote sababu ni shughuli za kishetani. Pia kuna msharti mengine ni ya siri mtapeana wenyewe.

Kuhusu sadaka pia itategmea na shughuli unayoifanyia ile shughuli yako ndiyo itakuwa ikitolea sadaka kwa majini ili mambo yapate kwenda vizur zaid.

KAMA UTAITUMIA KWA AJILI YA KUHADAA WATU WAJAE SEHEM YAKO YA IBADA BASI WATU WAKO WATATUMIKA KAMA SADAKA UNAWEZA KUWAPA MARADHI AU KIWATOA KABISA SADAKA.

KAMA NI BISHARA BASI WATU WA KARIBU NDIO WATAKAOTUMIKA KAMA SEHEMU YA SADAKA KULINGAJA NA MAAGANO MLIYOINGIA.

KAMA UNAMILIKI VYOMBO VYA USAFIRI BASI WAFANYAKAZI WAKO NA WATEJA NDIO WATAKUWA SEHEMU YA SADAKA

KAMA NI KWA AJILI YA KUKINDA MIFUGO NA BIAHSRA ZA MAZAOA HAPA YAWEZA KUWA MIFUGO YENYEWE AU WATU WANAOKUZUNGUKA ITATEGEMRA MLIVYOAGANA WAKATI WAMAKABIDHIANO.

PIA UNAWEZA KUITUMIA KWA UVUVI KUMILIKI VYOMBO LAKINI PIA SADAKA NI WAFANYAKZ WAKO NA KUNA KIPINDI UTATOA JAMAA ZAKO ILI KUIPA NGUVU ZAIDI

Kila nyanja lazma utoa sadaka nmezungumza kwa ufupi uchambuzi zaid nitautoa kwenye group la whtsp



Ushaur wangu tutafute kazi za halali tutengeneze shughuli zetu na kuizkinga mambo yatakaa sawa utajiri usiokuwa na shughuli maalumu nao pia unakuwa na mshart maalum. Hivyo kama ni pete jitahd kusoma maelezo nlotoa jana yanaweza kukupa akili ukajua wapi uanze lakini si kushaur mambo ya utajiri wa majini. Kutoa makala haya haina maana kwamba nahamasisha mambo yao nmetoa ili kupunguza maswali na kupigiwa simu juu ya mambo hayo. MIMI SITOI UTAJIRI WA MAJINI WALA SITOI MAJINI YA UTAJIRI NA PETE ZAO NINA PETE ZA BAHAT KULINGANA NA NYOTA YAKO UKIHITAJ NITAFUTE KWA NAMBA ZANGU.

una tatzo lolote la uzazi, nyota, kazi, mapenz, biahsra, nguvu za kiume, kesi, kukuza dhakar, kuibiwa, kuuza nk niachie ujumbe inbox

+255621442936

Whatsp group ni la malipo



Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI