Posts

Showing posts from July, 2021

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO KUFANIKIWA AMA KUTOFANIKIWA SABABU NA UNDANI WAKE SEHEMU YA PILI

Image
BANDIKO hili ni makala ya pili katika mfululizo wa makala zinazohusiana na masuala ya mizimu. Makala iliyopita ambayo ni ya kwanza niliongelea kuhusiana na ufafanuzi kwamba mizimu yenyewe ni nini na ili iwe mizimu yatakiwa ifanyike nini. Pia nikaongelea watu ambao wameteuliwa kuichunga ama kuisimamia mizimu dalilu zako na ndoto zao wanazoota. Pia nikagusia wale wanoteswa na mizimu aidha kuna mafungano yalifanywa na wazee wao baadae mashart yakaiukwa hivyo huwatesa waliopo hai kama umepita rejea makala za chini katika ukurasa wangu. Najitahd kukufahamisha kwamba kuna vtu navifafanua kwa nia njema na huwenda usinheweza kuvipata ama kuvijua hivyo jitahd kulike hii page ya Mtabibu ASILI TZ kupata kujifunza mengi zaidi. Darasa lililosiha niliishia kipengele kinachosema kwanini wewe hufanikiwi ukienda kwenye mizimu. Mfabo mnaweza mkaenda watu wawili shida ikawa moja lakini ukshangaa mwenzio akafanikiwa wewe kwako ikawa ngumu na guweza hali ikawa mbaya zaidi. Sasa leo tutaendelea