NGUVU YA MIZIMU YA UKOO KUFANIKIWA AMA KUTOFANIKIWA SABABU NA UNDANI WAKE SEHEMU YA PILI


BANDIKO hili ni makala ya pili katika mfululizo wa makala zinazohusiana na masuala ya mizimu. Makala iliyopita ambayo ni ya kwanza niliongelea kuhusiana na ufafanuzi kwamba mizimu yenyewe ni nini na ili iwe mizimu yatakiwa ifanyike nini. Pia nikaongelea watu ambao wameteuliwa kuichunga ama kuisimamia mizimu dalilu zako na ndoto zao wanazoota. Pia nikagusia wale wanoteswa na mizimu aidha kuna mafungano yalifanywa na wazee wao baadae mashart yakaiukwa hivyo huwatesa waliopo hai kama umepita rejea makala za chini katika ukurasa wangu. Najitahd kukufahamisha kwamba kuna vtu navifafanua kwa nia njema na huwenda usinheweza kuvipata ama kuvijua hivyo jitahd kulike hii page ya Mtabibu ASILI TZ kupata kujifunza mengi zaidi.


Darasa lililosiha niliishia kipengele kinachosema kwanini wewe hufanikiwi ukienda kwenye mizimu. Mfabo mnaweza mkaenda watu wawili shida ikawa moja lakini ukshangaa mwenzio akafanikiwa wewe kwako ikawa ngumu na guweza hali ikawa mbaya zaidi. Sasa leo tutaendelea pale tuliposhi soma kwa umakini sana haya maelezo. Nilizungumza kwamba Muzimu ni mafungamano ya ukoo fulani na kikundi fylani cha majini. Sasa watu wa ukoo wa Mzimu husikia ndio wananguvu zaidi kusikilizwa kuliko wewe wa pemben. 

Ikatokea mkasaifir kwenda mizimuni na rafiki yako ambaye yeye ule mzimu ni asli yake bimaana ule mzimu utakuwa unamtambua kwa sababu kuna kuwa matambiko ya kitamvulishwa watu wapya wanaozaliwa ili mzmu uwatambue. Maana yake yule mwenye asili shida yake husikulizwa haraka kuliko wewe mgeni. Sasa hapa kuna makosa hufanyika kwanza kuanzia kwa mtu aliyekabidhiwa huo mzimu huwenda ahana uelewa wa kutosha wa kuikabili hiyo mizimu. Pili huwenda pia kabisa sio mtaalam nibmtu ambaye anajua pale kuna mizimu akajivika utaalam akawa anapeleka watu.

KIPI KIFANYIKE ILI MZIMU USIOKUWA WAKO UKUFANYIE SHIDA YAKO

jambo la kwanza linalotakiwa yule muhusika atakiwa akuchukue akutwayarishe kimila ya huo mizimu. Yaani kila koo zina mila zao za kuwakaribisha watu waliokuwa mbali na mizimu kwa muda mref ama mtoto aliyezaliwa nje ya mji akaishi huko muda mref mpaka ukubwa wake siku anapoletwa kwwnye mzimu kuna matayarisho ya kimila anafanyiwa kabla ya kupelekwa kwwnye mizimu. Sasa hapa itategemea na mizimu husika ikiwa ni vinyamkera basi ngoma zitapigwa na mambo mengine yatafuata ikiwa ni wale wa bahari maana yake atahitajika mnyama na baadhi ya makafara si vyema kuyataja.

Kazi ya kwanza wewe utapatiwa utambulisho kuwa ni mmoja wa watu wao kwa kujiunga utapelekwa kwwnye mizimu kwa mara kwanza kwa kutambulishwa na sio kutaka utatuzi wa shida yako. Haoa fahamu ile mara ya kwanza utaoelekwa kutambulishwa. Na huyo anayekupeleka atakiwa awe kiongozi aliyachiwa kuisimamia hyo mizimu. Atakapofuata zile hatua kwa kisha atasubiri, Maana yake atapewa muda yale majini yashauriane kwamba yamekukubali ama laa. Ikiwa umekubaliwa kuna vtu utatkiwa kufanya kisha utaanza kuwa rasmi ni mmoja wanaotambulika na mizimu hapo sasa utafuata tartib zinafuata kulingana na shida yako. Pia ikiwa utakataliwa utapewa sababu na vtu muhimu kama utaweza kuvifauata pia unaweza kuwa mtu wao.

Eleww hatua ya kwanza ni kutambulishwa wewe kwwnye ile mizimu ili ujiunge nayo uwe mshirishika wao. Hatua ya pili baada ya kukubaliwa kuna mambo utaoezwa uyafanye baada ya hapo nawe utakuwa miongoni nwa watu wanaotambulika hapo hivyo zile shughuli za kutambika ama makutano ya kila mwaka nawe utahitajika uhudhurie. Kuna baadhi ya wataalam wanaotumia mizimu huwakusanya wateja wake wale maalum kila mwaka wanakutaba aidha kukanyaga moto na shughuli nyengine za utambikaji ila kiudugu sio ndugu zake ni wateja tu. Hivyo anakuwa amefuata utaratbu huo nilioueleza hapo juu

MAFUNGAMANO YA KIMIZIMU KATIKA KUFANIKISHA JAMBO

wale wenye ukoo wa mzimu huo maana yake wao kila mwaka wanafanya tambiko hivyo wao wakati ule ndio wanawasilisha shida zao pale kwa mkuu wao na mkuu ndiye anawasiliana na Mizimu. Na hata ikitokaa kuna shida ya ghafala yule mwenyw shida hupelekwa kwenye mizimu na kiongozi wa ukoo wake. Hapa itahitajika sadaka ndogo ama maagano madogo sababu ya ile sadaka itolewayo kila mwaka ambayo ndyo inakuwa kafara la kuwatendea mambo yao wanayohitaji ukoo huo.

Mfano kijana ambaye ana matatzo haoi ama haolew ama hazai basi atapelekwa kwwnye mizimu atazungumzwa shida yake wale watatoa matakwa yao labda atazaa mtoto wa kike lakini awe na jina la bibi yeke hiwenda guyo bibi ndio miongoni mwa watu wa kwanza kuingia makubaliano na hyo Mizimu. Sasa hapo mtoto akipatikana ukienda kinyume basi mtoto atapata madhara aidha ya kiafya ama kiakili. Kwa mtu ambaye si mzimu wako kuna makubaliano mengine mtaingia labda ukijifungua ulete kafara la mbuzi na tambiko dogo lifangike nk.

Wengi wanakosea mtu anaenda tu siku hyohyo anataka afanye mambo yake atembee. Ndio maana unakuta hufanikiwi pia kuna sababu ambazo nmezitaja mwanzo hapo hizi zinamuhusu mtaalam wa hyo mzizimu. Huwenda wewe ukawa hujui kitu umeenda kwa kumuani ila kumbe yeye hana utaalam huo labda yeye ni msafishaji tu wa eneo la mizimu ila hana mamlaka ya kuzungumza na kuwaamrisha jambo. Hivyo yakupasa uwe makini katika utafutaj wako wale wanaoamini kwenye hivyo vtu.

SADAKA NA MAKAFARA YA MIZIMU

Kama nlvyoeleza makala ya kwanza kila mizimu ina asili yake kuna watu hutambika kila mwaka. Kuna watu hupiga maulidi na kuchinja kila mwaka na hufanya madua na visomo. Hizi ni sadaka za kila mwaka haifungamani na shida ya mtu mmoja mmoja. Shida ya mtu mmoja mmoja itataegemra na shida ya muhusika mfano kafara la mtu anayetaka utajiri si sawa na kafara la mtu anayetaka kuzima kazi.

Sasa nmeulizwa sana swali hili mm nasumbuliwa na mizimu napata hixo ndoto ulizoeleza kwwnye makala ya kwanza nmehangaika lakini sipati jibu na hali inazidi kuwa mbaya. Jibu lake ni hli ikiwa wewe ndio umechaguliwa labda ndio uwe kiongozi basi fuata wakubwa wa ukoo wako watawwza kukuelekeza namna mnavyofanya katika mizimu yenu. Pia wale ambao wao hawajachaguliwa kuwa viongozi ila mambo yao yamefungamana na mizimu kulingana na makubaliano. Waliacha kufanya utambikaji hivyo mambo yemkuwa magumu fuata pia wakuu wa ukoo wako watakupa muongozo ukihitaji msaafa kiofc naamini namba zangu zpo waz kila post ina namba. Tuombena dua na afya ili tuendee kuhadithiana na kufundshana mambo mrngi zaid. Nasisitiza hili sina wala sitoi utajiri ambao huna shughuli yaani ukae tu upate fedha una biadhara kazi shughuli za kilimo ufundi yaani una sababu ya kupata hela njoo tutaitengenrza kazi yako ila si utajiri wa makafara ni hatari na si kushaur kwa hilo.

KWANINI MABABU WALIOKUFA WANAITWA MIZIMU NA JE UTAJINASUAJE KWENYE KADHIA HII IKIWA WAZEE WAKO WALIINGIA MAFUNGAMANO NA FALME HZO ZA KIJINI NITAELEZA MAJALA IJAYO UTARATB ULEULE KAMA UNATAKA LIENDELEE WEKA COMENT YAKO HAPO CHINI TOA SHUKRAN ZAKO UNA SWALI ULIZA HAPO.

kwa wenyw matatzo ya uzazi, nyota, biashara, nguvu za kiume, kukuza dhakar, chango, bawasili matatzo ya kimapenz kesi nk kwa dawa na mafanyao fanya mawasilino

+255621442936

Jitajd kupiga simu ikiwa yuwatuma ujumbe basi uweke maelezo ya kutosha jina ulpo na ahida yako jumbe fupi kama mambo hi hellow niaje vipi sitazijib heshimu muda wa mtu.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI