Posts

Showing posts from September, 2021

NGUVU YA MIZIMU YA UKOO UHUSIANO KATI YA WATU WALIOKUFA "MABABU,MABIBI" NA MIZIMU

Image
     MUENDELEO WA MAKALA ZA MIZIMU.           SEHEMU TATU    Hii ni makala ya tatu katika mfululizo wa makala zinazohusiana na mizimu nilizowahi kuzoweka hapa. Niliwahi kufafanua mizimu ni nini na kwann inakuwa kwenye ukoo wako. Kama ulipitwa jitahdi kusoma makala za nguma nmeeleza kwa upana na urefu kuhusiana na matatizo haya na wapi yalianzia na pia wale waendaeo kushughulikiwa matatizo yao huko kwenye mizimu pia nmeweka maelezo kwann wanafeli na wapi wanatakiwa waanzie anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.   Watu wengi wamekuwa wakisema natumia mzimu wa babu yangu, ama umewahi kusikia mtu anasimulia kuwa mzimu wa babu ama bibi yangu umenitokea ni kuniambia jambo fulani. Ama wengine huota wakitokewa na mizimu ya watu waliokufa zamani. Yaani hapa wanaota ndugu zao waliokufa wanawajia ndotoni na kuwapa habari fulani ziwe za heri ama shari. Je ni kweli babu ama. Bibi aliyekufa ndiyo kageuka kawa mzimu na ndiye anayekutokea ndotoni.   Wapo watu wanaoamini kuwa mtu uki