NGUVU YA MIZIMU YA UKOO UHUSIANO KATI YA WATU WALIOKUFA "MABABU,MABIBI" NA MIZIMU



     MUENDELEO WA MAKALA ZA MIZIMU.           SEHEMU TATU

   Hii ni makala ya tatu katika mfululizo wa makala zinazohusiana na mizimu nilizowahi kuzoweka hapa. Niliwahi kufafanua mizimu ni nini na kwann inakuwa kwenye ukoo wako. Kama ulipitwa jitahdi kusoma makala za nguma nmeeleza kwa upana na urefu kuhusiana na matatizo haya na wapi yalianzia na pia wale waendaeo kushughulikiwa matatizo yao huko kwenye mizimu pia nmeweka maelezo kwann wanafeli na wapi wanatakiwa waanzie anayekuletea darasa hizi ni Mtabibu ASILI TZ.


  Watu wengi wamekuwa wakisema natumia mzimu wa babu yangu, ama umewahi kusikia mtu anasimulia kuwa mzimu wa babu ama bibi yangu umenitokea ni kuniambia jambo fulani. Ama wengine huota wakitokewa na mizimu ya watu waliokufa zamani. Yaani hapa wanaota ndugu zao waliokufa wanawajia ndotoni na kuwapa habari fulani ziwe za heri ama shari. Je ni kweli babu ama. Bibi aliyekufa ndiyo kageuka kawa mzimu na ndiye anayekutokea ndotoni.

  Wapo watu wanaoamini kuwa mtu ukifa unageuka mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wako. Wapo watu wanaoleta maneno haya katika utani wanasema Afrika ukizaliwa utaishi kwa shida na ukifa utatumika kama mzimu wa kutatua matatizo ya familia yako. Makala haya yataenda kukupanua uelewa kwanini yuwaota wazee wako na kuna fasili gani ukiota watu waliokufa na je ni kweli wao ni mizimu jitahd kusoma makala mpaka mwisho pia ongeza umakini.

    UHUSIANO KATI YA WAZEE NA MIZIMU

Makala za mwanzo nilieleza mizimu ni nini na ilipatikanaje. Sasa kutokana na yale maelezo kwamba yalikuwa na makubaliano baina hao wazee na hicho kikundi cha majini ambacho kimeahidi kuwa pamoja na ukoo wako katika matatizo yote. 

  Hivyo mara nyingi wale waasisi wanapokufa huwa hakuna mtu anayeweza kumudu yale mashart waliyowekeana. Kwahyo kuna huduma zitapungua kwao na kama maagano yalikuwa kuwakinga na vtu fulani kwa ukoo wenu basi hivyo vtu vitarejea ama kutatokea matatizo mengine makubwa ambayo kupona kwake ama kuisha kwake ni lazima murejee asili ya wazee wenu.

  Yale majini humchagua mtu katika familia ama ukoo wenu na huja kwa sura za wazee wenu ambao wao ndio waliokuwa marafiki zao ndio huja usiku aidha kukupa maelekezo vtu vya kufanya ama kuja kuwatesa. Hapa ndipo wengi mnasema mnatokewa na mizimu ya mababu ama mabibi. Si kwelu kwamba wao ndio wanaokufuateni na kuwapa maelezo ama mateso.

  Wapo wengine hawaji kwa sura wala hufunuliwi kama kuna shida ya mizimu ila utaona mambo yako hayaend na kila unaposhughulikiwa mambo hayawi vile utakavyo. Hivyo kama utakutana na wataalam wakakuambia una shida hiyo kifamilia ama ukoo basi yakupasa kuitafutia ufumbuzi haraka ili kuweka mambo sawa.

  Mwanadamu anapokufa anamaliza mambo yake yote haoa duniani na hana uwezo wakukusaidia. Ila wewe uliye hai ndiye unuwe,o wa kumsaidia kwa kumuombea na kumtolea sadaka. Hivyo kwa kesi yoyote ile unayosikia inashirikwisha na Mababu ama Mabibi basi kaa ukijua wale ni manini ambao wanakuja kwa sura za wazee wako lakini wenyewe wanakiwa wapo kaburini huko wanapata walichochuma wakati wa uhai wao.

  Pia mfano bibi ama babu alikuwa mganga ama mwanga ukiona anakufuata usingizin wakati keshakufa anakuoa maelezo ya ile kazi aliyokuwa akiifanya basi jua ni vile viumbe ali yokuwa anafanya navyo kazi ndivyo vinakutaka na sio mwenyewe kama karudi duniani lahasha. Ili kuapata tafsiri ama kuoata maelezo kwaundan ni lazima ukutane na wataalam waliobobea kwenye fani hiyo la sivyo utakuwa ukidanganywa kwenye tafsiri. Makala iliyopita nilieleza mpaka ndoto zinazoashiria kuwa yuwasumbuliwa na mizimu ama mambo ya mikoba.

   NDOTO ZA KUWAONA WATU WALIOKUFA

Nilikuwa na darasa la ndoto na nikazitafsiri karibia ndoto zote kubwa na kama ni mnazi wa ukurasa wa huu utakuwa pamoja kwwnye hili naloongea. Kama ulipitwa post huwa haizfutiki ni kurejea tu kusoma pia nitafungua darasa tena ila litapatikana kwenye group na dawa za kisuna na tiba asili hapa fb. Maana yake asubuhi utapata utabiri kwenye ukirasa huu kisha uchambuzi wa ndoto utapata huko.

   Watu waliokufa wakikujia ndoton hufasiliwa kwa vitendo vyao ama mazingira ambayo yamekujia ndotoni. Yaani ukimuota mtu aliyekufa yupo katika hali duni anaomba kitu anauwa au mchafu au hali yoyote ile inayoashiria ubaya udhalimu ama uzaifu hiyo ni ishara ya kwamba huko alipo anahitaji msaada mkubwa wa kiroho hivyo mfanyieni dua visomo ama maombi kwa imani yenu bimaana wewe na huyo marehem wako.

   Ikiwa yuwaota yupo katika hali nzuri basi yupo sehem salama lakini pia dua zahitajika mara kwa mara. Ukioata anakwambia kitu kinachotafsiriwa ni kauli na mazingira. Ukiona anakupa kitu kinachotafsiriwa ni kitu alichokupa na mazingira aliyokuwa. Ukiona anakukataza jambo jambo ana anakuamrisha kufanya jambo basi jitahd kuliangalia jambo uloambiwa kwa umakini. Tafsiri kwa upana tafuta hyo makala niliokueleza hapo juu.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOPATWA AMA KUSUMBULIWA NA MAMBO YA MIZIMU BASI JITAHDI KUTAFUTA SULUHU MAPEMA VINGINENVYO UNAWEZA KUHARIBIKA MAMBO YAKO ZAIDI. JITAHD KUULIZIA CHIMBUKO LA UKOO WAKO SABABU HUWENDA KUKAWA KUNA SHIDA WALIZITAFUTA MABABU ZAKO NDIO ZINAWATESA. UKITAKA KUACHANA NA HAYO MAMBO PIA FIKA KWA WATAALAM WANAWEZA KUKUSAIAIDA MSAADA KIOFISI FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU.

KWA MAANA HIYO TUSHAFAHAMU UHUSIANO KATI YA MIZIMU NA WAZEE WALIOKUFA HIVYO SITEGEMEI KATA UTADANGANYWA TENA KIAKILI. FAHAMU KUWA NI MAJINI YAWE YA HERI BIMAANA YA KITIBA AMA MAAGUZI YAWE YA SHARI BIMAANA YA UCHAWI WOTE HUJA KWA SURA ZA WATU AMBAO WALIKUWA WANAWAMILIKI ILI KUKUPA UJUMBE AMBAO KWANZA UTAULEWA HARAKA LAKINI PILI UJUMBE UTAKUWA NA URAFIKU NA WEWE CHA MWISHO ILI USIWE NA HOFU KWA KILE WATAKACHOKUAMBIA KAMA WANGEKUJA NA UMBO LAO HALISI UNAWEZA USILALE MWEZ MZIMA KWA HOFU.

+255621442936

UNA TATIZO LOLOTE LA AFYA, NYOTA, AU MASUALA YA KIMIZIMU BIAHSRA, MAPENZI NGUVU ZA KIUME, KUKUZA DHAKAR, UZAZI, NA MAMBO MENGINE FANYA MAWASILIANO KWA NAMBA ZANGU KWA KUPIGA SIMU IKIWA UNATUMA UJUMBE BASI WEKA MAELEZO YA KUTOSHA IKIWEMO JINA PAHALA UNAPOISH NA SHIDA JUMBE FUPI KAMA MAMBO NIAJE HI HELLOW VIPI SITAZIJI. HESHIMU MUDA WA MTU.

WALE WANAOTAKA GROUP LA WHATSP NINA MAJUKUMU MENGI KWA SASA HIVYO ENDELEA KUSOMA KUPITIA UKURASA WANGU NA GROUP KWA KUBONYEZA HAPA CHINI

makala ya pili ni hii hapo chini kama ulipitwa


 




Comments

Popular posts from this blog

MAFUSHO MADINI YA KILA NYOTA NA JINSI YANAVYOTUMIKA

NDOTO ZA FEDHA NA TAFSIRI ZAKE UKIOTA UMEOKOTA HELA. UKIOTA UMEDONDOSHA HELA. UKIOTA UNAPEWA HELA

FAHAMU KUHUSU MTI NDULELE TURA FAIDA NA MATUMIZI KATIKA AFYA NA MAPENZI